ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Ana ilim akhera huyo. Ilim dunia hana makaratasiUna kiwango gani cha Elimu??kwa Uandishi huo nina wasiwasi kama ulimaliza darasa la Saba
Hizi chuki zako tu sisi mama katuboreshea sana huduma za afya , shule, vyuo vya kati na elimu ya juu. Maji , barabara pamoja na maslahi ya watumishi wa umma
Alisema "mtanikumbuka kwa mema..." Leo hata wewe unamtaja kukazia hoja yako (ambayo sidhani kama angefanya kama angekuwa hai).
Mwenye macho haambiwi tazama.Naomba unipe mafanikio ya SSH popote.
Ndiyo maana sasa mnamkumbuka
Acha ujinga kumfananisha YESU na wauaji.Shujaa Magufuli alikuuwa Mtu mwema sana na alichofanya katika Utawala wake ni Sawasawa na Yesu alivyopindua Meza za Walanguzi na Wahuni pale Hekaluni ππ
Mufti Zubeir, Shehe wa DSM alhad Musa Salum na Kardinali Pengo walimkubali Sana
Nawatakia Sabato njema!
Aaaah wapi !...hakuna kitu kama hichi...hii hoja yako imekaa kichochezi tu.Pigeni kazi in deed mpaka muone Al Shabab wapo Tanganyika wale isssiii wameongezeka DRC na Mozambique kujitoa muhanga kumewasili bongo ndio akili itatia akili
Utakuwa Muhuni!Acha ujinga kumfananisha YESU na wauaji.
Shindwa Pepopunda!! Huna tofaut na yule aliesema muumba wetu anapaswa amshukur JPM!! Hili lilikua ni pigo kwake bila kujua, alipaswa akemee na amrudishie MUNGU UTUKUFU wake. Refer kifo cha Herode kila cku unajidai mara Sabato njema, mara Dominika njema, yaan ww ni bonge la FARISAYO!!!Utawala wake ni Sawasawa na Yesu alivyopindua Meza za Walanguzi na Wahuni pale
Umesahau Jumaa kareem ππShindwa Pepopunda!! Huna tofaut na yule aliesema muumba wetu anapaswa amshukur JPM!! Hili lilikua ni pigo kwake bila kujua, alipaswa akemee na amrudishie MUNGU UTUKUFU wake. Refer kifo cha Herode kila cku unajidai mara Sabato njema, mara Dominika njema kubwa ni bonge la FARISAYO!!!
Nani anatutakia sabato njema?Mtanikumbuka πππππππ π₯π₯
Anawatakia Sabato njema!
Ila JPM alifanya vitu kwa maslahi ya Taifa, uzalendo, uchungu kwβ a rasilimali za nchi zitumike vizuri. Kunuifasha taifa.βRare moments β . Leo wewe au FaizaFoxy mmsifie JPM! Really βrare moments β