Hayati Magufuli aliona bora awavalie miwani ya mbao afanye kazi, wapinzani wakamuita ni dikteta, Rais Samia piga kazi tusizidi kuchelewa

Hayati Magufuli aliona bora awavalie miwani ya mbao afanye kazi, wapinzani wakamuita ni dikteta, Rais Samia piga kazi tusizidi kuchelewa

Alisema "mtanikumbuka kwa mema..." Leo hata wewe unamtaja kukazia hoja yako (ambayo sidhani kama angefanya kama angekuwa hai).

Bila shaka,kwani yote aliyokayafanya hayakuwa mabaya.

Mfano tuliona suala la kuwabana hawa wanaojiita wapinzani na wazalendo kama alikuwa anakosea ila kiukweli alipatia sana kuwanyoosha hawa.

Si unaona sasa wanavyorefusha midomo na kukosa adabu Kwa Kiongoz wa Nchi??
 
Shujaa Magufuli alikuuwa Mtu mwema sana na alichofanya katika Utawala wake ni Sawasawa na Yesu alivyopindua Meza za Walanguzi na Wahuni pale Hekaluni 😀😀

Mufti Zubeir, Shehe wa DSM alhad Musa Salum na Kardinali Pengo walimkubali Sana

Nawatakia Sabato njema!
Acha ujinga kumfananisha YESU na wauaji.
 
Pigeni kazi in deed mpaka muone Al Shabab wapo Tanganyika wale isssiii wameongezeka DRC na Mozambique kujitoa muhanga kumewasili bongo ndio akili itatia akili
Aaaah wapi !...hakuna kitu kama hichi...hii hoja yako imekaa kichochezi tu.
 
Utawala wake ni Sawasawa na Yesu alivyopindua Meza za Walanguzi na Wahuni pale
Shindwa Pepopunda!! Huna tofaut na yule aliesema muumba wetu anapaswa amshukur JPM!! Hili lilikua ni pigo kwake bila kujua, alipaswa akemee na amrudishie MUNGU UTUKUFU wake. Refer kifo cha Herode kila cku unajidai mara Sabato njema, mara Dominika njema, yaan ww ni bonge la FARISAYO!!!
 
Shindwa Pepopunda!! Huna tofaut na yule aliesema muumba wetu anapaswa amshukur JPM!! Hili lilikua ni pigo kwake bila kujua, alipaswa akemee na amrudishie MUNGU UTUKUFU wake. Refer kifo cha Herode kila cku unajidai mara Sabato njema, mara Dominika njema kubwa ni bonge la FARISAYO!!!
Umesahau Jumaa kareem 😀😀
 
Back
Top Bottom