Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

If Magufuli couldn't travel abroad because of his heart condition and not due to the orchestrated charade about cost cutting, then he shortchanged this country greatly in a very selfish way.
 
If Magufuli couldn't travel abroad because of his heart condition and not due to the orchestrated charade about cost cutting, then he shortchanged this country greatly in a very selfish way.
We don’t know that for sure. It’s just speculation for now.
 
We don’t know that for sure. It’s just speculation for now.
There is nothing sure in this world, even that statement. So, that whole business is division by zero right there.

We can examine facts and draw logical conclusions though.

You even expressed some kind of regret on judging him unfairly without linking this fact properly.

You can't eat your cake and still have it.
 
Mwanasayansi siyo lazima awa anajua human anatomy na physiology.
 
Wanasemaje?
Wanasema alikuwa na matatizo ya moyo ya muda mrefu sana, na alikuwa akikaguliwa mara kwa mara gapo JKI ambapo pia alikuwa ameshauriwa kuwa anachukua na mapumziko marefu. Ndiyo maana ya kuwa na trip nyingi za Chato, na hata wakati wa kampeini alikuwa akirudi Chato mara kwa mara sana.

Safari hii alishauriwa apumzike lakini wao wanadhani hakuwa anapumzika kama anavyoshauriwa, na inaonekana pia kuwa alikuwa na msongo mkubwa sana wa mawazo ambayo ni recipe for disaster kwa mtu mwenye matatizo aliyokuwa nayo.

Kwa hiyo kuna wanayojua thabiti na pia kuna speculations kuhusu jinsi alivyokuwa akiendesha maisha yake anapokuwa hayuko hospitali.
 
Amen.
 
Duh asante mkuu [emoji120]
 
Changamoto kubwa ya mgonjwa wa Moyo Ni kukosa usingizi.

Huwa ninapata pressure kwa kukosa kulala wiki kadhaa mfululizo. Ndio maana huwa naachaga kuzinywa kwa kuwa najuwa chanzo Cha pressure zinazonikumba...


Sasa hivi nikiwa safarini nikichoka kuendesha na usiku ikichanganya nalalanjiani. Safari nitamaliza kesho.
 
The best post ever!
 
Kuna thread zimo humu soma zote unganisha dots ndipo uje tujenge hoja
 
Kila alipotokea hadharani alikua na feni nyuma yake. Hakua anasimama muda mrefu. Na inawezekana miguu yake ilikua inavimba kila mara ndiyo maana alikua na muda mwingi wa kufanyia kazi Chato akiwa amepumzika.

Lakini alikuwa mpiga push-ups huyu akimbeza mamvi. Alikuwa akinyakua nyakua majukwaani pia.

Kuna vitu bado haviko sawa.
 
Tuko pamoja.

Mikusanyiko isiyokuwa ya lazima siyo dili hasa kwetu wengine ambao afya ni full migogoro.
Kwanza yuko above 60 yrs old, wazee wako hatari I kupata maambukizi haraka
 
tatizo ni wale waliokua wanamruhusu kuzurula bila kuchukua tahadhari ya covid19 huku wakijua jembe ni mgonjwa na ana afya ya mgogoro.
 
..Katika suala zima la Uraisi wa Magufuli nadhani VYOMBO VYA HABARI vya Tanzania havikufanya kazi yake inavyotakiwa.

..Moja ni hilo la kushindwa kudadisi kuhusu afya yake na kujua kwamba alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu sana.

..Kwamba tangu miaka ya 1990 aligundulika kuwa na matatizo ya moyo na akatibiwa nchini Uingereza kwa msaada wa waliokuwa wakimsomesha.

..Pia hapa nyumbani kuna matukio kadhaa ambayo yangefuatiliwa waandishi wangegundua kwamba afya ya Magufuli ilikuwa ktk hatihati.

..Kwa mfano, hakuna aliyeuliza kwanini Magufuli alikuwa akikatiza kampeni zake za Uraisi mara kwa mara na kwenda kupumzika.

..Magufuli pia aliwahi kwenda Chato na kukaa huko muda mrefu bila kuwa na maelezo ya kutosha kwanini akae kijijini muda mrefu.

..Kwenye msiba wa Mkapa, Magufuli alichelewa mno kufika ktk shughuli za mazishi na kwenda kinyume kabisa na ratiba ya siku hiyo.

..Kuna mtambo mkubwa wa hewa ulikuwa ukiweka karibu na Magufuli ktk majukwaa kila mahali alipofanya mikutano. Wadadisi wangeuliza kwanini Magufuli alihitaji mtambo huo kila alipokwenda.

..Wakati mwingine kulikuwa na HELIKOPTA inayomfuata Magufuli ktk msafara wake. Wapo wanaodhani ni kwa ajili ya usalama, lakini inawezekana ni kwa ajili ya kumsafirisha haraka ikiwa angepata tatizo la kiafya.

..Mwisho, ktk msafara waka kuna gari ambayo inasemekana ni gari ya wagonjwa. Sasa kama angekuwa ni mzima asingekuwa akiambatana na gari ya wagonjwa kila anapokuwa ktk ziara.

..Naamini kuna watu ambao msiba huu haukuwashtukiza kwasababu walijua kuhusu afya ya Magufuli. Hapa nawazungumzia wale waliotabiri kifo chake baada ya Magufuli kutoonekana kwa siku chache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…