#COVID19 Hayati Magufuli alitia sumu masuala ya chanjo, Serikali nywesheni maziwa

#COVID19 Hayati Magufuli alitia sumu masuala ya chanjo, Serikali nywesheni maziwa

Propaganda hizo. Israel karibu nchi nzima wamechanja uviko 19 mbona taifa lao halijaangamia?
Nadhan hata na wewe unasubiri hukumu yako kwa Mungu Wala hutaikwepa..ngoja unyooke kwenye jeneza usubiri kifuatacho ITV...huko ahera...unless unapanga kuwa Mungu wa baadae
Jiwe hukumu yake itakuwa ni ya kwanza kwa watenda maovu mbele ya Mungu
C&p
Kama ni kuwazuia watu wasife na corona sioni tofauti kati ya wale waliochanjwa na wasiochanjwa.
Vinginevyo ni mitego tu ya kibeberu kutengeneza fursa ya kujitengenezea utajiri kwa mgongo wa raia wa dunia hii.

Clueless
 
Na ndio Kazi yangu kuwakera Sukuma gang 👇
maxresdefault.jpg
 
Alikuwa mshamba sana. Chanjo za surua, pepopunda, ndui n.k tumechanjwa hao wazungu walishindwa kuweka hizo sumu zao?
Madawa karibu yote tunaagiza nje, kwa nini wasiweke hizo sumu? Nguo pia?

vyakula, mfano ngano , mafuta, kumbe inatoka Ukraine, si wangeweka hizo sumu?

Ila ana wafuasi wengi waliomuamini,
Kiukweli waliomwamini kwa 97% ni wanyonge wa nchii ambao wengi wao walikuwa na ukosefu wa elimu ,
 
Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.

Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza waafrika.

Serikali ya mama ina kazi ya kufanya kuondoa sumu aliyotia Magufuli

Uko sahihi by context with contents ila hauko pima kwenye suala la JPM kukosa exposure! Usikariri kuwa exposure ni kuatamia mabeberu na kutembea nje ziara, you can have exposure by after being exposed na kujifunza na kusoma maarifa zaidi na zaidi n ways of living hata bila kuzurura, on top most of our leaders wanakuwa “exposed nje aka ulimbukeni kwa ziara za hapa na pale” si kwa kuishi na kusoma plus kufanya kazi as expatriate, kuzurura Ziara kunakupa masked exposure na exposure sio kwenda ulaya na america tu na kusema yes kwa kila kitu mzungu anachosema.

Jpm alifanya ziara za kiserikali zaidi ya hamsini nje ya nje tangu amekua naibu waziri, wazir na hadi rais, achilia mbali kusoma na kukaa nje ya nchi.
 
Alikuwa mshamba sana. Chanjo za surua, pepopunda, ndui n.k tumechanjwa hao wazungu walishindwa kuweka hizo sumu zao?
Madawa karibu yote tunaagiza nje, kwa nini wasiweke hizo sumu? Nguo pia?

vyakula, mfano ngano , mafuta, kumbe inatoka Ukraine, si wangeweka hizo sumu?

Ila ana wafuasi wengi waliomuamini,

Umechanja?
 
Propaganda hizo. Israel karibu nchi nzima wamechanja uviko 19 mbona taifa lao halijaangamia?
Kwahiyo wewe unaona nimeongea propaganda[emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa sibora ukasome medicine basi ili uelewe nilichokisema. Chanjo hazikukamilika kwenye utengenezaji wake na watu hawakutaka kufanywa test subjects na side effects zipo nyingi bado nyingine hawajazitaja na usifikiri watazitaja. Chanjo zinaeffect kubwa kwenye damu, na usifikiri blood group varieties ni mtu mmoja ni wengi. Blood clotting ni kitu kibaya sana kwa watu wenye magonjwa ya moyo na kisukari na wenye matatizo ya damu na wapo wengi. Usiige siyo usanii ni afya za watu. Pia pata conclusive proof sio kuambiwa au kuona tu. Bado tunasafari ndefu, nasisitiza huu sio usanii ni afya ya mtu, ni uhai. Haujafa bado, ushajiuliza kwanini wakati covid 19 ni highly contagious, tuliza mihemuko ugonjwa usomwe na kupata better management na prevention. Kutangulia sio kufika.
 
Usikariri kuwa exposure ni kuatamia mabeberu na kutembea nje ziara, you can have exposure by after being exposed na kujifunza na kusoma maarifa zaidi na zaidi
Hao jamaa huwa wanafikiri maana ya EXPOSURE ni KUABUDU MABEBERU.

Eti hiyo ndiyo EXPOSURE!!

Kama huyu Jasusi Uchwara wa Tanganyika Mheshimiwa sana Yoda

Elite [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unajua kwasababu zimekubaliwa kutumika pamoja na hizo consequences. Kwasababu the benefits outweigh the risks.

Ona huyu chizi wa machanjo!

Ati THE BENEFIT OUTWEIGHS THE RISK!!

Hiyo benefit ya chanjo ni pamoja na kupata PERIPHERAL NEURAL DAMAGE na AUTO IMMUNE DISEASE?

Is that what you call benefit? HEART DISEASE?
 
Pamoja na kwamba sikuwa ninamuelewa Magu kwenye mambo mengi, ila kwenye COVID nilisimama naye! Alikuwa sahihi kwa measures na misimamo aliyochukua.



YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Ila kama taifa tulipitia kipindi kigumu sana kwenye utawala wa yule dhalimu. Nchi iweke misingi mizuri so mtu kama Jowe asije tokea tena
Hahaha..... wewe ulikuwa na vyeti feki.

Hilo ni bifu lako binafsi na Magufuli.

Usituingize kwenye bifu lenu.

Kwenye corona ni baba lao. VIVA JPM.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Wajinga duniani ni wengi kuliko werevu

Ungekuwa mwerevu usingefakamia michanjo yenye sumu.

Unatega matako unapigwa kitu hujui hata kina nini! Ati ndio mwerevu! Mhhh!!!!

Usipende kutega tega makalio kila mara, siku nyingine utadungwa kitu kizito chenye nyama halafu wakwambie ni CHANJO.

Tega tako upewe chanjo unatega. KUMBE, MSUMARII. PYUUU, KITU.
 
Hahaha..... wewe ulikuwa na vyeti feki.

Hilo ni bifu lako binafsi na Magufuli.

Usituingize kwenye bifu lenu.

Kwenye corona ni baba lao. VIVA JPM.
Mkuu mimi nasema ukweli wa matendo ya Jiwe, sina bifu na marehemu kwani haliwezi nisaidia kitu chochote. Hilo la kusema vyeti feki ni hisia zako tu. Mtu mwenye vyeti feki ungeanza na Jiwe mwenyewe kwenye ile PhD yake ambapo kwenye kuficha ukweli Ben Saa nane hatunaye.
 
Mkuu mimi nasema ukweli wa matendo ya Jiwe, sina bifu na marehemu kwani haliwezi nisaidia kitu chochote. Hilo la kusema vyeti feki ni hisia zako tu. Mtu mwenye vyeti feki ungeanza na Jiwe mwenyewe kwenye ile PhD yake ambapo kwenye kuficha ukweli Ben Saa nane hatunaye.
Sawa, lakini kwenye corona JPM ni BABA LAO.

Hayo ya vyeti feki mtamalizana nae mbinguni kwa baba.
 
Ona huyu chizi wa machanjo!

Ati THE BENEFIT OUTWEIGHS THE RISK!!

Hiyo benefit ya chanjo ni pamoja na kupata PERIPHERAL NEURAL DAMAGE na AUTO IMMUNE DISEASE?

Is that what you call benefit? HEART DISEASE?
Wewe hizo autoimmune diseases umeziona wapi naniambie zinaletwa na ARV gani? Pili, unajua neural damage inatokeaje na kwanini inabenefit maana neural damage kwamgonjwa wa HIV mpaka akifika stage iv nilazima aipate bila dawa au pasipo dawa. Wewe umeambiwa hizo dawa zinatibu ukimwi au zinapunguza makali yake nakuongeza muda wa kuishi. Wewe ukisikia dawa fulani inaleta neural damage unafikiri inachukua muda gani au unajua ukichukua leo kesho tu neural damage inatokea. ARV hazitibu ukimwi bali kupunguza makali yake, unaelewa maana ya hiyo sentensi? Pia wewe ni mtu mzima matusi ya nini, dah! Watanzania kweli tunakariri maisha.
 
Sawa, lakini kwenye corona JPM ni BABA LAO.

Hayo ya vyeti feki mtamalizana nae mbinguni kwa baba.
Sina comment kwenye hiyo ishu ya Corona, maana 'Inasemekana' huo ugonjwa ndiyo ulipita na yeye baada ya yeye kuamini ushirikina badala ya science
 
Wewe hizo autoimmune diseases umeziona wapi naniambie zinaletwa na ARV gani?

Kazi ya ARV ni KUUA KINGA ASILI YA MWILI na kisha kupandikiza kinga bandia. Na Matokeo yake ni kutengeneza uraibu ndani ya mwili unaopelekea kifo pindi mtumiaji wa ARV anapoacha kutumia ARV.


unajua neural damage inatokeaje

Neural damage inatokea pale ambapo KINGA ZA MWILI ZINASHAMBULIWA NA MADAWA YA ARV, kisha MWILI UNA-REACT KWA KUSHAMBULIA MFUMO WAKE WA NEVA.

HII INATOKEA KWA SABABU ARV ZINAVURUGA MFUMO WA KINGA ZA ASILI ZA MWILI.


hizo dawa zinatibu ukimwi au zinapunguza makali yake nakuongeza muda wa kuishi.

ARV zinapunguza muda wa kuishi kwa kuushambulia mwili na kuujeruhi, kuharibu neva na kinga za mwili na kuutia magonjwa ya figo na moyo, kuongeza BLOOD PH, TOXICITY na ACIDITY ndani ya damu. Na kusababisha CANCER.

 
Sina comment kwenye hiyo ishu ya Corona, maana 'Inasemekana' huo ugonjwa ndiyo ulipita na yeye baada ya yeye kuamini ushirikina badala ya science

Ni bora kuamini ushirikina kuliko kuamini sayansi za kubugia machanjo yenye sumu.

The former is safe, and the latter is lethal.

 
Back
Top Bottom