bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
Marehemu hasemwi, achana na mabaya yake then endeleza mazuri yake📌Habari Wana jukwaa,
JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,
Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,
Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji
Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.
Ni wakati ambao pia Sabaya alikamatwa na Id ya tiss na kesi kufutwa,
Sasa tunapumua!
Dictator of the centuryMungu mkuu alituepusha.
Sasa kwa taarifa yako mpaka ukifa na HIV siku Hizi unatangazwa hadharaniMarehemu hasemwi, achana na mabaya yake then endeleza mazuri yake📌
Stop that nonsense, he killed our beloved ones. Tutalisema mpàka Basi!Marehemu hasemwi, achana na mabaya yake then endeleza mazuri yake[emoji419]
Utapata faida gani kwa kumsema? Na je unaamini wewe ukifa leo kila mtu atakusema vizuri? (Naomba jibu)Stop that nonsense, he killed our beloved ones. Tutalisema mpàka Basi!
Ndiyo maana Mungu wetu mwenye nguvu alimnyakua na kumpoteza pale 17/ 03/ 21.Habari Wana jukwaa,
JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,
Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,
Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji
Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.
Ni wakati ambao pia Sabaya alikamatwa na Id ya tiss na kesi kufutwa,
Sasa tunapumua!
The best dictator and thiefDon't Hate the Best
Mpaka leo mzimu bado unakuchapa mbele na nyuma!Habari Wana jukwaa,
JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,
Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,
Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji
Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.
Ni wakati ambao pia Sabaya alikamatwa na Id ya tiss na kesi kufutwa,
Sasa tunapumua!
Mabaya yake yanasemwa ili wapumbavu kama yeye wajifunze.Marehemu hasemwi, achana na mabaya yake then endeleza mazuri yake📌
Now you call him a Dictator of century but by that time you used to call him "Dikteka uchwara" 🤣🤣🤣Dude that man had y'all on corner.Dictator of the century
Siyo lazimaUtapata faida gani kwa kumsema? Na je unaamini wewe ukifa leo kila mtu atakusema vizuri? (Naomba jibu)
Hpn usitusemee labda wewe ndo ulikuwa mwoga,acha chuki na wafu haikusaidii chchteHabari Wana jukwaa,
JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,
Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,
Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji
Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.
Ni wakati ambao pia Sabaya alikamatwa na Id ya tiss na kesi kufutwa,
Sasa tunapumua!
Kama ukatili nae asemwe.. Hakuna kufumbia macho ujingaUtapata faida gani kwa kumsema? Na je unaamini wewe ukifa leo kila mtu atakusema vizuri? (Naomba jibu)
He had stolen what ? Pls don't tell me about 1.5T because you failed to prove about it since he was alive.The best dictator and thief
Unaingila yasiyo kuhusu mkuu, nimeomba jibu toka kwa mhusika (ambaye sio wewe)📌Siyo lazima
Bora limekufaUtapata faida gani kwa kumsema? Na je unaamini wewe ukifa leo kila mtu atakusema vizuri? (Naomba jibu)