Hayati Magufuli alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami na kujifanya TISS kwa kutishia wenzake

Ndiyo maana Mungu wetu mwenye nguvu alimnyakua na kumpoteza pale 17/ 03/ 21.

Ajabu ni hawa watu wake wanaodai eti alikuwa anakubalika? Hivi kweli kama unakubalika una haja gani ya ku SPY?

Wanadai JPM alikuwa anakubalika!! Mimi nawauliza swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Mungu analipenda sana Taifa letu kutuondolea huyu dhalim
 
Marehemu hasemwi, achana na mabaya yake then endeleza mazuri yake📌
Huu ugonjwa wa uzuzu omba kila siku ukapone. Hakuna namna unaweza kusemwa mazuri usisemwe mabaya. Basi hata hakuna maana ya historia. Mbona ukisikia ya Hitler na Musolin hushtuki wamesemwa vibaya? Hata waarab wa utumwa hushtuki! Magufuri kama alipuyanga na roho ya kishetan kutengeneza terror ndo asisemwe ana exception gani?
Ndo maana wenye hekima hutenda kadri wasemwe ipasavyo hata wakifa.
Hata wewe usiye na umaarufu kama mimi ukifa utasemwa kwa matendo yako kabla na baada ya maziko!
Ishi na kutenda kama utakufa siku moja!
"Live responsibly!"
 
He had stolen what ? Pls don't tell me about 1.5T because you failed to prove about it since he was alive.

The man left a legacy wether you like or not.
Ungeandika Kiswahili tu ingependeza zaidi,hiki kidhungu cha fb kinatia kichefuchefu
 
Habari Wana jukwaa,

JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,

Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,

Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji

Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.

Ni wakati ambao pia Sabaya alikamatwa na Id ya tiss na kesi kufutwa,

Sasa tunapumua!
Nonsense.
 
Tanzania haiwezi endelea kwa kuoneana aibu na kumbelezana tutaendelea kuumia na tunaoumia ni wengi wa maisha ya chini ,hakuna taifa limeendelea kwa njia tunayopita sisi hata nchi za magharibi ziliendelea wakati huo kwa kuchapana mitered leo wapo walipo ,nchi nyingi za Asia kama China, South Korea, Singapore na nyinginezo hivyi karibu zimeendelea kwa kufanya kazi kutoneana aibu leo wapo mbali.rais Magufuli alijaribu kuleta mentality hii ila watu wezi na wabinafsi walitaka waendelee wao na familia zao walimchukia .
Unaingila yasiyo kuhusu mkuu, nimeomba jibu toka kwa mhusika (ambaye sio wewe)📌

Habari Wana jukwaa,

JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,

Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,

Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji

Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben
 
Tanzania haiwezi endelea kwa kuoneana aibu na kumbelezana tutaendelea kuumia na tunaoumia ni wengi wa maisha ya chini ,hakuna taifa limeendelea kwa njia tunayopita sisi hata nchi za magharibi ziliendelea wakati huo kwa kuchapana mitered leo wapo walipo ,nchi nyingi za Asia kama China, South Korea, Singapore na nyinginezo hivyi karibu zimeendelea kwa kufanya kazi kutoneana aibu leo wapo mbali.rais Magufuli alijaribu kuleta mentality hii ila watu wezi na wabinafsi walitaka waendelee wao na familia zao walimchukia .
Asante sana kiongoz, kuongoza watu ni shida hii kauli mwendazake hakuacha kuzungumza
 
Habari Wana jukwaa,

JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,

Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,

Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji

Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.

Ni wakati ambao pia Sabaya alikamatwa na Id ya tiss na kesi kufutwa,

Sasa tunapumua!

Labda wewe ndiyo ulikuwa muoga.
 
He had stolen what ? Pls don't tell me about 1.5T because you failed to prove about it since he was alive.

The man left a legacy wether you like or not.
Professor Assad proved it .who are you by the way.the guy was a typical thieve.we were so unfortunately to have a leader like him the guy was was totally useless
 
Utapata faida gani kwa kumsema? Na je unaamini wewe ukifa leo kila mtu atakusema vizuri? (Naomba jibu)
Maisha ya mtu ni (Kama) kitabu. Baada ya muda wako wa kuwa hai hapa duniani watu watasimulia, watatathmini, watatangaza mambo yote uliyofanya ukiwa hai.
Kuna methali inasema 'chema chajiuza, kibaya chsjitembeza'
Kwa maovu aliyofanya Magufuli, ama kwa kutenda, kusema, kuagiza ama kutokufanya aliyotakiwa kufanya,lazima atasemwamwa sana. Umesikia ubaya gani unasemwa kwa viongozi wengine waliotangulia kina Nyerere, Mkapa, Maalim seif etc?
Wacha Magufuli asemwe ili iwe funzo kwa kizazi kinachofuata cha viongozi, wajue kutimiza majukumu yao kiadilifu.
 
Habari Wana jukwaa,

JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,

Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,

Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji

Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.

Ni wakati ambao pia Sabaya alikamatwa na Id ya tiss na kesi kufutwa,

Sasa tunapumua!
Kwa kweli Mungu ni fundi.
 
Hitler hadi leo anasemwa, Idi Amin, Musolini,Bokasa, Mobutu na wengi hadi leo wanasemwa kwa maovu waliyowatendea wananchi wao, iweje wengine wafanywe malaika na hali walitenda maovu
 
JF pia ilikuwa katika woga mkubwa. Post zikawa zinafutwa. Ilifika wakati fulani tukawa hatuwezi kabisa ku post moja kwa moja hapa. Ukipost unasubiri siku nzima post ku-appear. Na nyingine haziku-appear kabisa. Kulikuwa na censorship kubwa. "A place where you dare to talk openly" ilibaki kwenye makaratasi tu. Yaani Wabongo tu waoga sana - Moderator
Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.
 
Habari Wana jukwaa,

JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,

Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,

Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji

Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.

Ni wakati ambao pia Sabaya alikamatwa na Id ya tiss na kesi kufutwa,

Sasa tunapumua!
Magufuli aliwafanya watanzania watambue thamani yao. Na kuacha kujikomba komba kwa mataifa ya kimagharibi
 
Utapata faida gani kwa kumsema? Na je unaamini wewe ukifa leo kila mtu atakusema vizuri? (Naomba jibu)
Swali lako hakina tija, ukishaelewa kwamba binadamu akitaka kukusema atakusema tu, uwe hai au umekufa , uwe mwema au uwe mwovu, kusemwa kupo palepale, so stop stressing yourslef over useless stuff.
 
Back
Top Bottom