Hayati Magufuli alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami na kujifanya TISS kwa kutishia wenzake

Unaweza kuthibitisha kuwa Beni Saanane kupotezwa na System ya Magufuli?
 
Mungu ni mwema huwaokoa watu wake kila wamliliapo.
 
Nchi imewashinda mnaturudisha nyuma kila siku ili tusijadili madudu yenu mnayofanya sasa.
 
Yule alikuwa ni shetani mkubwa
 
Alishawahi kuweza nani toka hapo ccm?
Haya majamaa kila siku na stori za Magufuli tu sasa sijui hayana kazi za kufanya kwenye hayo maofisi wanayoyakalia??

Matatizo ya wananchi yapo mengi wanashindwa kuyatatua wanaishia kutuletea hadithi za Magufuli ambaye hayupo tena.

Kama hawawezi kazi waache sio lazima wawe viongozi wetu.
 
Inashangaza sana
 
wapuuzi kweli kamati ya propaganda.

jpm ndiye mtu wakati wake mpaka albino anamshtaki afisa wa magereza kwa kujiamini kabisa,huyu bibi yenu kafanya hivi lini!!!!

wewe kama na uzembe wako uliliwa kichwa shauri yako,kimsingi wakati ule kila mtu alikuwa akimchunguza mwenzie,ndio sababu maovu mengi sana yalijulikana.ndio sababu wahuni wengi sana wakawa wanavimba makalio kwa hasira.
 
Hivi ilikuwaje wakati wa uchaguzi Mkuu Mwaka 2020 mitandao yote ikazimwa ?

Kulitokea nini ?
 
na wapuuzi kama baba yako wabaki wanasema kila siku.
Hatumsemi vibaya kwa sababu tunamchukia au ni wavivu wa kufikiri kama unavyotuona wewe la hasha,bali matendo yake aliyoyatenda kwa baadhi ya Watanzania ambayo hayakuwa ya kibinadamu kupelekea baadhi ya watu kufurahia kifo chake na kutotaka kulisikia jina lake kitu ambacho hakiwezakani kabisa,kwa hiyo kama kuna mtu ana maono na mtazamo wa Magufuri ajue kuwa yale matendo ni jinai kwa mujibu wa sheria za Tanzania.
 
unachukia matendo ya mtu halafu unamwita mpumbavu!!!unajua majina ya dhihaka kwa aliyekuudhi yanaambatana na hasira dhidi yake???

kama mapimbi kama wewe mlifurahia kifo chake kuna mamilioni ya watanazania waliumizwa na kifo chake,usithubutu kufungua valve yako mtaani umtukane utazomewa ukajinyonge.
 
Kwani ni uongo???Yule hakuwa mpumbavu eti!Ameikuta Tanzania ikiwa nchi huru yeye akaiweka katika utumwa wa muda,unafikiri huo siyo mpumbavu??Au na wewe ni mpumbavu kama yeye,hivi watu wengine huwa mnafikiria kutumia makalio au?? Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 ulikuwa halali eti,uchaguzi 2020 ulikuwa halali eti,wale wabunge 19 kule bungeni ni halali eti,Acha upumbavu bora ujinga kuliko kuwa mpumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…