Hayati Magufuli alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami na kujifanya TISS kwa kutishia wenzake

Hayati Magufuli alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami na kujifanya TISS kwa kutishia wenzake

Kwani ni uongo???Yule hakuwa mpumbavu eti!Ameikuta Tanzania ikiwa nchi huru yeye akaiweka katika utumwa wa muda,unafikiri huo siyo mpumbavu??Au na wewe ni mpumbavu kama yeye,hivi watu wengine huwa mnafikiria kutumia makalio au?? Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 ulikuwa halali eti,uchaguzi 2020 ulikuwa halali eti,wale wabunge 19 kule bungeni ni halali eti,Acha upumbavu bora ujinga kuliko kuwa mpumbavu.
wee mbwa unawaza uchaguzi tu,ulikosa ubunge nini???

mimi nadhani naongea na mtu timamu hapa kumbe naongea na mhanga wa posho za vikao.
 
wee mbwa unawaza uchaguzi tu,ulikosa ubunge nini???

mimi nadhani naongea na mtu timamu hapa kumbe naongea na mhanga wa posho za vikao.
Nguruwe pori unasemaje yule baba yako alishapumzika utatukana matusi yote lakini hatofufuka kamwe na panya road aliowaasisi wataendelea kukutesa swaini.
 
wee mbwa unawaza uchaguzi tu,ulikosa ubunge nini???

mimi nadhani naongea na mtu timamu hapa kumbe naongea na mhanga wa posho za vikao.
Au labda naongea na Mahera,pole sana Mahera usije rudia tena huo upumbavu maana utaendelea kutukanwa kizazi hiki na kijacho hata wale watakaozaliwa baadaye watakuta tu historia kuwa tuliwahi tawaliwa na mpumbavu mmoja aliyetaka kutuharibia nchi.
 
Kwahiyo wewe ulijifanya nani? Na sahivi umegeuka kuwa nani?
 
Back
Top Bottom