Tena sio wawili tu, wanajulikana kama sukuma gang, wametamba sana wakati wake.Wanasiasa usiwaamini
Sisi tukishangilia hotuba za JPM zilizoutukuza umasikini wetu, na kwa kweli watanzania wengi tuliona fahari kubwa sana kuwa masikini na kuwa wanyonge. Mtu yeyote aliyejifanya kutafuta utajiri tulifanya hima kimchongea Kila mahala, na kama ana shamba, basi tulilivamia, na tukampachika majina yote mabaya.
Kumbe upenuni tu Kuna vijana wake walitopea kwenye utajiri wa kutisha kabisa, Sasa kwa nini alituhadaa tuutukuze umasikini wakati vijana wake aliwapa fursa ya kutajirika?
Maana mtu masikini ndiye alionekana mzalendo, Sasa hawa inakuwaje wanatajirika wakati wanatuimbia kwamba umasikini ndio uzalendo?
Hili sukuma gang ni Genge kUbwa sana yaani mama kumsaidia lazima alifurumushe kuanzia kwenye chaguzi za chama ChaoTena sio wawili tu, wanajulikana kama sukuma gang, wametamba sana wakati wake.
Duh! Bibi ni wewe kweli? Ama account ipo hacked?Tena sio wawili tu, wanajulikana kama sukuma gang, wametamba sana wakati wake.
Ile changa tu. Watu wameiba sana wakiwemo hao uliowataja. Wengine walikua wanapora kwa kisingizio cha kukusanya kodi na kutumwa na mamlaka. Siku akija mtu wa kufukua makaburi hamtakaa muanini. Hivi unakumbuka ile 1.5T? Uliza ilipotelea vote gani.ItWanasiasa usiwaamini
Sisi tukishangilia hotuba za JPM zilizoutukuza umasikini wetu, na kwa kweli watanzania wengi tuliona fahari kubwa sana kuwa masikini na kuwa wanyonge. Mtu yeyote aliyejifanya kutafuta utajiri tulifanya hima kimchongea Kila mahala, na kama ana shamba, basi tulilivamia, na tukampachika majina yote mabaya.
Kumbe upenuni tu Kuna vijana wake walitopea kwenye utajiri wa kutisha kabisa, Sasa kwa nini alituhadaa tuutukuze umasikini wakati vijana wake aliwapa fursa ya kutajirika?
Maana mtu masikini ndiye alionekana mzalendo, Sasa hawa inakuwaje wanatajirika wakati wanatuimbia kwamba umasikini ndio uzalendo?
Wanatuita wanyonge kumbe wao ndio wanatunyonga.Wanasiasa usiwaamini
Sisi tukishangilia hotuba za JPM zilizoutukuza umasikini wetu, na kwa kweli watanzania wengi tuliona fahari kubwa sana kuwa masikini na kuwa wanyonge. Mtu yeyote aliyejifanya kutafuta utajiri tulifanya hima kimchongea Kila mahala, na kama ana shamba, basi tulilivamia, na tukampachika majina yote mabaya.
Kumbe upenuni tu Kuna vijana wake walitopea kwenye utajiri wa kutisha kabisa, Sasa kwa nini alituhadaa tuutukuze umasikini wakati vijana wake aliwapa fursa ya kutajirika?
Maana mtu masikini ndiye alionekana mzalendo, Sasa hawa inakuwaje wanatajirika wakati wanatuimbia kwamba umasikini ndio uzalendo?
Kinachokushangaza ni kipi?Duh! Bibi ni wewe kweli? Ama account ipo hacked?
Wanasiasa usiwaamini
Sisi tukishangilia hotuba za JPM zilizoutukuza umasikini wetu, na kwa kweli watanzania wengi tuliona fahari kubwa sana kuwa masikini na kuwa wanyonge. Mtu yeyote aliyejifanya kutafuta utajiri tulifanya hima kimchongea Kila mahala, na kama ana shamba, basi tulilivamia, na tukampachika majina yote mabaya.
Kumbe upenuni tu Kuna vijana wake walitopea kwenye utajiri wa kutisha kabisa, Sasa kwa nini alituhadaa tuutukuze umasikini wakati vijana wake aliwapa fursa ya kutajirika?
Maana mtu masikini ndiye alionekana mzalendo, Sasa hawa inakuwaje wanatajirika wakati wanatuimbia kwamba umasikini ndio uzalendo?
Ataongozwa na Allah kama ujio wake.Hili sukuma gang ni Genge kUbwa sana yaani mama kumsaidia lazima alifurumushe kuanzia kwenye chaguzi za chama Chao
Walioamini huo ujinga ni wachache na masikini/WanyongeWanasiasa usiwaamini
Sisi tukishangilia hotuba za JPM zilizoutukuza umasikini wetu, na kwa kweli watanzania wengi tuliona fahari kubwa sana kuwa masikini na kuwa wanyonge. Mtu yeyote aliyejifanya kutafuta utajiri tulifanya hima kimchongea Kila mahala, na kama ana shamba, basi tulilivamia, na tukampachika majina yote mabaya.
Kumbe upenuni tu Kuna vijana wake walitopea kwenye utajiri wa kutisha kabisa, Sasa kwa nini alituhadaa tuutukuze umasikini wakati vijana wake aliwapa fursa ya kutajirika?
Maana mtu masikini ndiye alionekana mzalendo, Sasa hawa inakuwaje wanatajirika wakati wanatuimbia kwamba umasikini ndio uzalendo?
Dotto James kaotesha maghorofa mengi pale chatoPale tulipigwa na niliwahi kuandika kua kutuita wanyonge ilikua dhihaka kubwa yapo mengi ndugu na jamaa zake walinufaika na kupata ubilionea wa ghafla sana huku tukiwashangilia unadhani makonda kusema anakula raha kuliko mtu yeyote duniani alikosea?
Kwani Tanzania ilikosea wapi mpaka tukapata Rais kama yeye? All in all mlaumiwe nyie ccm kwa kumpa nafasi kubwa mtu kama yule.Tena sio wawili tu, wanajulikana kama sukuma gang, wametamba sana wakati wake.