Hayati Magufuli alituhubiria kwamba Tanzania ni ya masikini na wanyonge,lakini alishuhudia Makonda, Sabaya wakipata ubilionea kupitia Utumishi wa umma

Itakuwa ulimwelewa vibaya,Kwanza magu hakupenda umaskini ndiyo maana alitaka tufanye kazi ili kuondoa umaskini leo tumegeuka ombaomba na kushindwa kila kitu, watoto wa Geti Kali wanaongoza serikali walivyo wavivu wanataka ubia ili wale bila kazi wamesahau habari ya net group,south afrika airway.wahindi wa reli na uharibifu mwingine uliofanyika huko nyuma,Mungu tupiganie.
 
Alitupiga changa la macho kama zumaridi
 
Amiiiii Hivi huyu ni chinembe huyuhuyu aliekua msukule wa Lumumba buku 7 au I'd imehakiwa na Vijana wa Bavicha!

Ama kweli Shetani akizeeka anageuka malaika
Mweeeeee na Bado Mpaka akili ziwakae sawa walaghaiwa wa kisiasa kama Nyie!
😁😁😁😁😁πŸ”₯
 
Magufuli hayupo tena, ni wakati wenu kurekebisha makosa yake...huku kumzodoa Marehemu ambaye hayupo ili ajitetee ni kupoteza muda tu.
 
Aisee hadi wewe unawesema ccm wenzako?
Kuna CCM asili na kuna CCM wakuja, hao sukuma gang ni wakuja tu, hawana jema wala hawaijui CCM.

Mwana CCM kama Nape anakwenda kutolewa bastola hadharani? Ambae toka baba'ke Mzee Nnauye ni kindakindaki CCM, CCM ipo ndani ya damu yake leo unamuadhirisha namna ile? Kwanini? Kwa kuwa aliitetea haki tu.

Wakuja hawa wasiokuwa na asili ya uongozi wasipewe tena madaraka, ni heri ya kuwapa kina Mbowe ambao wazazi wao wanajua Tanzania ilipotokea. Jitu sijui li gagagigikoko linato ughaibuba huko unalipa nchi? Tulipotea sana stepu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…