The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Inavyoonekana siasa ni mchezo mgumu sana kuusoma na kuucheza, vitu vingi kwenye siasa vinategemea probability.
Kipindi cha hayati wapinzani walitumia ukandamizaji uliokuwepo kuomba sympathe ya dunia na kusema kweli dunia nzima ilisimama pamoja nao.
Kipindi cha huyu mama wapinzani wameachiwa free kabisa kufanya siasa, hakuna bughudha za wakuu wa wilaya mikoa wala figisu za polisi.
Jambo hilo limesababisha siasa za upinzani kupooza sana kwani hakuna tena jambo linalovuta hisia za watu kujaribu kuufuatilia upinzani.
Jambo lingine pia ni namna Rais binafsi anavyoonyesha kuwajali sana wapinzani, si tu kisiasa lakini pia kiubinadam.
Hali hiyo inafanya watu waone kwmba wapinzani wamefadhiliwa sana na huyu Rais kwa kiwanho cha kuyameza madai yao yote. Ni mfano wa mtu anaemtuhumu mtu kwamba ni mwizi halafu badae tunaku tunakuta mko mezani mnapanga mipango pamoja.
Nashauri wapinzani watafute njia nyingine ya kutuvutia tuwasikilize tuwaelewe na tuwaamini wasijigeuze kitahisi kuwa mateka wa mwenyekiti wa ccm.