Hayati Magufuli alivyoalika wazee wa kimila Ikulu kupiga dua(kutambika) ili mvua zinyeshe

Mbona hangaya Kuna kipindi alipakizwa gari usiku usiku kwenda kufanyiwa manuva baada ya kiti kuwa Cha Moto?
Aliondoka bila escorts na kigari kimoja .

[emoji1787]Njiani walizuiliwa na mapongo maana hawakujua ndani Kuna Nani.[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Ndio tunalipa zile mvua sasa kwa ukame huu.
 

Acha kuamini ushirikina usio na tija, msimu wa mvua umekaribia, hivyo mvua itanyesha hivi karibuni bila maombi, wala hayo matambiko yenu. Kama nyie wazee mmeishiwa tafuteni njia nyingine za kupata hela, sio kupeleka ushirikina ikulu kwa utapeli kuwa mvua itanyesha.

Msitafute pointi za mezani ili mvua zikianza kunyesha mseme nyie ndio mlioombea zinyeshe. Huyo Magufuli alikuwa mshirikina ndio maana akawa anawaita, lakini hakuna mvua yoyote ilinyesha kutokana na ushirikina wenu. Upungufu wa mvua unatokana na mabadiliko ya tabia nchi, na sio sababu nyie hamjaloga.
 
Umekulia mjini labda,huku mikoani mvua zinachezewa sana na sisi wazee wa kimila
 
Wacha wee
 
Matambiko ambayo ni dini halali unaita ushirikina ila ushoga na usagaji unaita haki za binadamu ....endelea hivyo hivyo
 
Hakuna mzee mwenye uwezo wa kuchezea mvua boss, hao wazee wanacheza na akili za kizazi kilichonasa kwenye ujinga na ushirikina. Wangekuwa wanaweza kuchezea mvua wangeishi kwenye huo umasikini?
Hibi mlinzi wa bank ni tajiri
 
Wazee wanasaidia vitu Vinci hata Mama anajua isispokuwa hayo maswala yapo kimyakimya, lakini pia hayo mambo yana kamati maalumu na mwekiti wao analijua sema hayo mambo hayajadiliwi kwenye mitandao

Hivi George Mkuchika kwasasa ni Waziri wa Nini?
 
Kichekesho kingine tena leo kimewasilishwa. Mvua kwa staili hiyo, mhhhh.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…