Hayati Magufuli alivyoifilisi familia ya Jamal Malinzi

Unamjua Dionis Malinzi?
 
Diva the boss lady[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama yupo nje kwa nini asitoke hadharani aseme maana aliemfanyia yote hayo hayupo.. mbowe alifunguka tukaelewa
 
Alaaniwe Magufuli huko alipo na akae kwenye giza la milele
 
Kesho yake wakaenda mahakamani akapigwa faini ya shilingi laki tano tu na kuachiwa huru. Milioni 847 sio pesa ndogo,baadhi ya biashara za zimekufa kwa kukosa mtaji na zilizobaki zinayumba. Jiulize wewe na familia yako mtauza nni kupata milioni 800 kumtoa ndugu yenu jela[emoji2827]
 
Staili yake ya ubabe asingeweza fika mbali, hayupo binadamu duniani mwenye uwezo wa kupambana na watu na akawashinda. Si Hittler, osama, Saddam, nk, ukiwashinda kimwili watakushinda kiroho, na ukiwashinda kiroho watakutafuta kimwili.
 
wakati nchi zilizopoga hatua kama China waliokyla fedha umma wanafungwa na kunyongwa huku Tanzania akifungwa mtu kwa kisa ilo akija Rais mwingine anamtoa kwa gia anapona majeraha! Mara analipa vyeti veki anaponya majeraha! Yani mpaka unashangaa sijui tulimkosea wapi sisi Mungu kias hatupevuki kiakili.
 
Kwa hiyo huu ndio mtindo mpya wa Mafusadi kujisafisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…