Hayati Magufuli alivyoifilisi familia ya Jamal Malinzi

Kwa hiyo kesi ya akina ndolanga na rage nao walikataa kutoa hela kwa rais wa wakat huo???? Hebu acheni kuchafua watu....tff ilifanywa kichaka cha watu kupiga hela
 
Mtaongea mengi ila ukweli ni kwamba Magu atabaki kuwa ni raisi bora sana kuwahi kutokea katika hi nchi

Ila kwa bahati mbaya viongozi majembe huwa hawaishi mda mrefu

Sokoine alikuwa jembe akafa mapema
Magu nae alikuwa jembe akafa mapema

Ila mda utafika Mungu ataleta jembe lingine na litaishi mda mrefu
 
Uchaguzi wa mwaka 2015 ni miongoni mwa chaguzi ngumu kuwahi kutokea nchini ukiacha ule wa 1995 .
EL alimkaba vilivyo JPM mpaka akakosa usingizi.

Bajeti ya kampeni ya CCM ilipwaya kwa mchaka mchaka ule ikabidi itafutwe njia mbadala ili mamvo yaende.
Wafanyabiashara mbalimbali na taasisi mbalimbali wakaombwa kuchangia na kuahidiwa kurudishiwa pesa zao baada ya uchaguzi.

Kama muujiza shirikisho la mpira nchini TFF likapokea bilioni kadhaa sio nyingi sana ili kuendeleza program za michezo nchini. Vigogo wa chama kubwa wakazinusa,kesho yake mbio mpaka ilala karume zilipo ofisi za TFF ,wimbo ukiwa uleule tuazimeni pesa tutarudisha after uchaguzi. Jamal akagoma akiogopa ma auditor wa FIFA endapo wangetua nchini ghafla wakakuta akaunti haina pesa itakuwaje.

Vigogo wakaondoka mikono.mitupu.
Tarehe 28 june 2017 Nissan Patrol nyeupe inatinga viwanja vya karume wanashuka wanaume wanne wanawatia pingu Jamal Malinzi na katibu wake Mwesigwa Celestine na maofisa wengine wawili wa TFF.

Hawakuliona jua mpaka tarehe 10 dec 2019 miaka miwili na nusu,walishtakiwa kwa uhujumu uchumi,utakatishaji fedha,forgery,matumizi mabaya ya fedha na kutia hasara kuasi cha dola 375,418 sawa na milioni 847 wakati huo.
Uchunguzi ulipofanyika ikaonekana hizo pesa zipo au zilifanya kazi ya TFF ila kulikuwa tu na makosa kidogo ya kiuhasibu,kuna nyaraka hazikukamilika na zilihitaji maelezo ili zikamilike.

Bwana mkubwa hakuelewa hilo akasisitiza plea bargain ,pesa zilipwe.si mlikataa kuchangia kampeni.

Akaunti ya Jama Malinzi ikakutwa na Milioni zisizozidi 100. Celestine Mwesigwa milioni 19 Wale maofisa wawili Nsiande mwaya mhasibu ,na karani Flora kwa pamoja walikutwa na milioni kama tano tu kwenye akaunti.

Jamal akataka kuvimba kama mbwai mbwai tu acha nifungwe, Damu nzito kuliko maji,ndugu zake Jamal walikuwa wanajiweza wakachangishana wakalipa plea bargain ifisi ya DPP.Milioni 847

Kesho yake wakaenda mahakamani akapigwa faini ya shilingi laki tano tu na kuachiwa huru. Milioni 847 sio pesa ndogo,baadhi ya biashara za zimekufa kwa kukosa mtaji na zilizobaki zinayumba. Jiulize wewe na familia yako mtauza nni kupata milioni 800 kumtoa ndugu yenu jela
Sio kwa Scenario hii tu nazifahamu pia nyingine kadhaa anyway niishie tu kusema "God did"...
 
Ndo michezo ya CCM hiyo pale wanapopata deficit eeh!!
2015 Magufuli ndo alikuwa anagombea kwa mara ya kwanza kwa hiyo alipewa ramani na wenyeji wake
Hawa wenyeji wake wapo?
 
Kwa hiyo kesi ya akina ndolanga na rage nao walikataa kutoa hela kwa rais wa wakat huo???? Hebu acheni kuchafua watu....tff ilifanywa kichaka cha watu kupiga hela
Kesi ya ndolanga ni ishu nyingine
 
Yeah. Alikuwa amedumaza soka la kimataifa. Ila kutokana na fedha alizokuwa nazo, alijipanga kushinda kipindi cha pili. Wadau wa soka hawakuwa na nguvu ya kumzuia kushinda ndio wakamlilia Magu, 'afanye kitu' kumzuia Malinzi kushinda.
Safi sana jiwe!

Siyo huu mlenda tulionao sasa hivi jamani.
 
Uchaguzi wa mwaka 2015 ni miongoni mwa chaguzi ngumu kuwahi kutokea nchini ukiacha ule wa 1995 .
EL alimkaba vilivyo JPM mpaka akakosa usingizi.

Bajeti ya kampeni ya CCM ilipwaya kwa mchaka mchaka ule ikabidi itafutwe njia mbadala ili mamvo yaende.
Wafanyabiashara mbalimbali na taasisi mbalimbali wakaombwa kuchangia na kuahidiwa kurudishiwa pesa zao baada ya uchaguzi.

Kama muujiza shirikisho la mpira nchini TFF likapokea bilioni kadhaa sio nyingi sana ili kuendeleza program za michezo nchini. Vigogo wa chama kubwa wakazinusa,kesho yake mbio mpaka ilala karume zilipo ofisi za TFF ,wimbo ukiwa uleule tuazimeni pesa tutarudisha after uchaguzi. Jamal akagoma akiogopa ma auditor wa FIFA endapo wangetua nchini ghafla wakakuta akaunti haina pesa itakuwaje.

Vigogo wakaondoka mikono.mitupu.
Tarehe 28 june 2017 Nissan Patrol nyeupe inatinga viwanja vya karume wanashuka wanaume wanne wanawatia pingu Jamal Malinzi na katibu wake Mwesigwa Celestine na maofisa wengine wawili wa TFF.

Hawakuliona jua mpaka tarehe 10 dec 2019 miaka miwili na nusu,walishtakiwa kwa uhujumu uchumi,utakatishaji fedha,forgery,matumizi mabaya ya fedha na kutia hasara kuasi cha dola 375,418 sawa na milioni 847 wakati huo.
Uchunguzi ulipofanyika ikaonekana hizo pesa zipo au zilifanya kazi ya TFF ila kulikuwa tu na makosa kidogo ya kiuhasibu,kuna nyaraka hazikukamilika na zilihitaji maelezo ili zikamilike.

Bwana mkubwa hakuelewa hilo akasisitiza plea bargain ,pesa zilipwe.si mlikataa kuchangia kampeni.

Akaunti ya Jama Malinzi ikakutwa na Milioni zisizozidi 100. Celestine Mwesigwa milioni 19 Wale maofisa wawili Nsiande mwaya mhasibu ,na karani Flora kwa pamoja walikutwa na milioni kama tano tu kwenye akaunti.

Jamal akataka kuvimba kama mbwai mbwai tu acha nifungwe, Damu nzito kuliko maji,ndugu zake Jamal walikuwa wanajiweza wakachangishana wakalipa plea bargain ifisi ya DPP.Milioni 847

Kesho yake wakaenda mahakamani akapigwa faini ya shilingi laki tano tu na kuachiwa huru. Milioni 847 sio pesa ndogo,baadhi ya biashara za zimekufa kwa kukosa mtaji na zilizobaki zinayumba. Jiulize wewe na familia yako mtauza nni kupata milioni 800 kumtoa ndugu yenu jela
Duh ! Ila magu alikuwa kvma sana ,kuna mambo ya kiseng£ sana alifanya yule pimbi
 
Waliotaka pesa ni CCM, lawama kwa Magufuli.😳

Hapa ndipo watanzania tunapobugi step.
Mchawi ni CCM kwa ujumla wake kumlaumu JPM pekee yake ni kuhalalisha uwepo wa CCM na uovu wake.
 
Acheni kutetea ujinga hivi kwanini fifa wamemfungia Malinzi na kumpiga faini, nani hajui Malinzi aluvyoshiriki kuiba Hela za wastaafu Kwa kujifanya consultant ili nssf inunue jengo vyote hivyo vipi kwenye ripoti ya cag.
JPM pamoja na mabaya yake aliwashikisha adabu baadhi ya majizi kama Malinzi
 
Watu dizaini ya mbowe wapo wachache,hata mbowe kuna siku alijikuta anamsifia jiwe kwa uoga.Lissu pekee ndio kidume nchi hii,mbowe hamfikii Lissu kwa ujasiri
Ila kuna watu wana roho ngumu nyie ,mali za Mbowe zilizoharibiwa ni billion kadhaa za shilingi ila yupo tu anapambana ,aisee kwa mtu mwenye roho fupi angepigwa na stroke ,kuanzia miradi yake ya greenhouses farms za mboga na matunda Kule Machame ,uje club billcanas ,bank accounts kuwa freezed , hoteli za kitalii zake kule Arusha na moshi kupigwa ban ,nyie
Magufuli ni zaidi ya ibilisi
 
Back
Top Bottom