Kwa bahati mbaya hilo siwezi kulizungumzia with confidence coz' sifahamu lolote kuhusu familia hii na mitikasi yao!
Lakini labda tutumie kidogo common sense....
Tuchukulie hiyo ni "pesa ya mboga" tu... je, hiyo pesa ya mboga tu inaweza kuwa ni % ngapi ya ukwazi wao wote?! 1%, 2%, 5%, au 10%?
And remember, kama ni 800M basi the whole saga from Day 1 hadi anatoka itakuwa ni 800M + Other Saga Costs, especially Mawakili. Na kwa kariba ya mtu ambae 800M ni pesa ya mboga tu, bila shaka alikuwa na Expensive Attorneys!
Tufanye saga lilimgharimu a total 1B... CASH... I repeat, CASH!! Cash itakuwa ama benki au kwenye vibubu but CASH!
Katika hali ya kawaida mtu anaweza kuwa tajiri lakini asiwe na cash kubwa kiasi hicho...
Na ili apate kiasi kikubwa kiasi hicho, hapo ndipo unalazimika ku-dispose baadhi ya assets zako out of desperation, and most likely, uta-dump at below the market price!!
Je, hata kama ni tajiri, hudhani hapo unaweza kuterereka japo kidogo?! Kwamba, hata kama kilichokatika maungoni mwako sio mguu basi angalau ncha ya kidole cha mwisho, itakuwa imekatika?
Hapo hapo changanya na changamoto zingine za Kibiashara ambazo majority wakati ule walikuwa wakilalamika kufa kwa biashara zao tena bila ya kukumbwa na yaliyokuwa yamemkumba Jamal!