Hayati Magufuli alivyoifilisi familia ya Jamal Malinzi

Muwe mnatumia akili kidogo, uchaguzi wa 2015 ulifanyika tarehe 25 October, na akatangazwa mshindi tarehe 30 October 2015, kwahiyo kutoka November 2015 alipoapishwa JPM hadi June 28 2017, walikuwa wanamuogopa Malinzi wasimkamate?

Vitu vingine kama hamna data muwe mnakaa kimya. Malinzi alifanya ufisadi mkubwa sana, kama unabisha waulize ndugu zake, kwanza jiulize ni ndugu gani wa Malinzi mwenye uwezo wa kutoa milioni 847, Ili kumtoa Malinzi ndani huku nyuma akifilisika?,mtaje hapa maana ndugu zake wanafahamika wote.
dioniz malinzi kaka tajiri wa kutupwa mmiliki wa cargo star ..tajiri gsm akasome...
 
Uchaguzi wa mwaka 2015 ni miongoni mwa chaguzi ngumu kuwahi kutokea nchini ukiacha ule wa 1995. EL alimkaba vilivyo JPM mpaka akakosa usingizi.

Bajeti ya kampeni ya CCM ilipwaya kwa mchaka mchaka ule ikabidi itafutwe njia mbadala ili mamvo yaende.
Wafanyabiashara mbalimbali na taasisi mbalimbali wakaombwa kuchangia na kuahidiwa kurudishiwa pesa zao baada ya uchaguzi.

Kama muujiza shirikisho la mpira nchini TFF likapokea bilioni kadhaa sio nyingi sana ili kuendeleza program za michezo nchini. Vigogo wa chama kubwa wakazinusa,kesho yake mbio mpaka ilala karume zilipo ofisi za TFF ,wimbo ukiwa uleule tuazimeni pesa tutarudisha after uchaguzi. Jamal akagoma akiogopa ma auditor wa FIFA endapo wangetua nchini ghafla wakakuta akaunti haina pesa itakuwaje.

Vigogo wakaondoka mikono.mitupu.
Tarehe 28 june 2017 Nissan Patrol nyeupe inatinga viwanja vya karume wanashuka wanaume wanne wanawatia pingu Jamal Malinzi na katibu wake Mwesigwa Celestine na maofisa wengine wawili wa TFF.

Hawakuliona jua mpaka tarehe 10 dec 2019 miaka miwili na nusu,walishtakiwa kwa uhujumu uchumi,utakatishaji fedha,forgery,matumizi mabaya ya fedha na kutia hasara kuasi cha dola 375,418 sawa na milioni 847 wakati huo.

Uchunguzi ulipofanyika ikaonekana hizo pesa zipo au zilifanya kazi ya TFF ila kulikuwa tu na makosa kidogo ya kiuhasibu,kuna nyaraka hazikukamilika na zilihitaji maelezo ili zikamilike.

Bwana mkubwa hakuelewa hilo akasisitiza plea bargain ,pesa zilipwe.si mlikataa kuchangia kampeni.

Akaunti ya Jama Malinzi ikakutwa na Milioni zisizozidi 100. Celestine Mwesigwa milioni 19 Wale maofisa wawili Nsiande mwaya mhasibu ,na karani Flora kwa pamoja walikutwa na milioni kama tano tu kwenye akaunti.

Jamal akataka kuvimba kama mbwai mbwai tu acha nifungwe, Damu nzito kuliko maji,ndugu zake Jamal walikuwa wanajiweza wakachangishana wakalipa plea bargain ifisi ya DPP.Milioni 847

Kesho yake wakaenda mahakamani akapigwa faini ya shilingi laki tano tu na kuachiwa huru. Milioni 847 sio pesa ndogo,baadhi ya biashara za zimekufa kwa kukosa mtaji na zilizobaki zinayumba. Jiulize wewe na familia yako mtauza nni kupata milioni 800 kumtoa ndugu yenu jela
Siyo kweli jamaa walikula tff siyo mchezo
 
Muwe mnatumia akili kidogo, uchaguzi wa 2015 ulifanyika tarehe 25 October, na akatangazwa mshindi tarehe 30 October 2015, kwahiyo kutoka November 2015 alipoapishwa JPM hadi June 28 2017, walikuwa wanamuogopa Malinzi wasimkamate?

Vitu vingine kama hamna data muwe mnakaa kimya. Malinzi alifanya ufisadi mkubwa sana, kama unabisha waulize ndugu zake, kwanza jiulize ni ndugu gani wa Malinzi mwenye uwezo wa kutoa milioni 847, Ili kumtoa Malinzi ndani huku nyuma akifilisika?,mtaje hapa maana ndugu zake wanafahamika wote.
Sahihh kbsaaa jpm kila zigo ofu wanamtisha
 
Uchaguzi wa mwaka 2015 ni miongoni mwa chaguzi ngumu kuwahi kutokea nchini ukiacha ule wa 1995. EL alimkaba vilivyo JPM mpaka akakosa usingizi.

Bajeti ya kampeni ya CCM ilipwaya kwa mchaka mchaka ule ikabidi itafutwe njia mbadala ili mamvo yaende.
Wafanyabiashara mbalimbali na taasisi mbalimbali wakaombwa kuchangia na kuahidiwa kurudishiwa pesa zao baada ya uchaguzi.

Kama muujiza shirikisho la mpira nchini TFF likapokea bilioni kadhaa sio nyingi sana ili kuendeleza program za michezo nchini. Vigogo wa chama kubwa wakazinusa,kesho yake mbio mpaka ilala karume zilipo ofisi za TFF ,wimbo ukiwa uleule tuazimeni pesa tutarudisha after uchaguzi. Jamal akagoma akiogopa ma auditor wa FIFA endapo wangetua nchini ghafla wakakuta akaunti haina pesa itakuwaje.

Vigogo wakaondoka mikono.mitupu.
Tarehe 28 june 2017 Nissan Patrol nyeupe inatinga viwanja vya karume wanashuka wanaume wanne wanawatia pingu Jamal Malinzi na katibu wake Mwesigwa Celestine na maofisa wengine wawili wa TFF.

Hawakuliona jua mpaka tarehe 10 dec 2019 miaka miwili na nusu,walishtakiwa kwa uhujumu uchumi,utakatishaji fedha,forgery,matumizi mabaya ya fedha na kutia hasara kuasi cha dola 375,418 sawa na milioni 847 wakati huo.

Uchunguzi ulipofanyika ikaonekana hizo pesa zipo au zilifanya kazi ya TFF ila kulikuwa tu na makosa kidogo ya kiuhasibu,kuna nyaraka hazikukamilika na zilihitaji maelezo ili zikamilike.

Bwana mkubwa hakuelewa hilo akasisitiza plea bargain ,pesa zilipwe.si mlikataa kuchangia kampeni.

Akaunti ya Jama Malinzi ikakutwa na Milioni zisizozidi 100. Celestine Mwesigwa milioni 19 Wale maofisa wawili Nsiande mwaya mhasibu ,na karani Flora kwa pamoja walikutwa na milioni kama tano tu kwenye akaunti.

Jamal akataka kuvimba kama mbwai mbwai tu acha nifungwe, Damu nzito kuliko maji,ndugu zake Jamal walikuwa wanajiweza wakachangishana wakalipa plea bargain ifisi ya DPP.Milioni 847

Kesho yake wakaenda mahakamani akapigwa faini ya shilingi laki tano tu na kuachiwa huru. Milioni 847 sio pesa ndogo,baadhi ya biashara za zimekufa kwa kukosa mtaji na zilizobaki zinayumba. Jiulize wewe na familia yako mtauza nni kupata milioni 800 kumtoa ndugu yenu jela
Siku zote nasema, Magu afe aoze, abaki mchanga
 
Kwa kanuni za FIFA, serikali iwakamate kiuonevu alafu wakae kimya? Tukubali sisi sote tuna mapungufu na hayo mapungufu ndio hutumika na adui pale anapokuta mlango upo wazi.
We unaongea nn?

Yaan utawala wa magu kwa jinsi ulivyokuwa huo ujasiri wa kuongea unautoa wapi? Au ulikuwa unataka yawatokee km ya akina lissu na ben saanane?
 
Tumesikia upande wako ,tusikie na upande mwingine ili tu balance story.
 
Kwaiyo kusudio lako Nini sasa?

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Wenye mazuri yake waandike tu na Kwa ujinga wao wataishia kwenye flyover na ndege ambako nako tulipigwa.
JPM alikuwa mbaya kuliko neno lenyewe.
Kuna watu humu wanalazimisha kila mtu awe anamkumbuka JPM kwa mazuri tuu

Ukija kuzungumzia tu mabaya yake utaitwa majina ya kila aina wewe subili utaona
 
Wenye mazuri yake waandike tu na Kwa ujinga wao wataishia kwenye flyover na ndege ambako nako tulipigwa.
JPM alikuwa mbaya kuliko neno lenyewe.
Vyeti feki kwa ujingawenu hamtambui jinsi nchi iliyokuwa inaliwa 24/7.
Mnaishia kutetea wasaliti na vyeti feki.
 
Kwa kanuni za FIFA, serikali iwakamate kiuonevu alafu wakae kimya? Tukubali sisi sote tuna mapungufu na hayo mapungufu ndio hutumika na adui pale anapokuta mlango upo wazi.
Acha kuchanganya mambo...

Hao FIFA kuna kesi ambazo ndizo wanakuwa wakali... ni zile kesi ambazo purely ni za kisoka! Lakini kama mtu anatuhumiwa wizi, hiyo sio kesi ya kisoka na FIFA hawawezi kukukingia kifua...

Huwezi kuwa na tuhuma za ubakaji halafu FIFA watie fyoko fyoko wakati hizo ni kesi za jamhuri!
 
Shetani hajawahi kosa watetezi..

Imagine watu wanapiga 1.5T afu hakuna Cha kuwafanya..

Lakini Kuna wizi mkubwa Sana umefanyika awamu ya Mwendazake Hakuna anayejali..

Kuna jamaa wa usalama ila Ni junior aliniambia hata hizo Pesa alizouliza Mpina kwamba haziko trap Wala trat zaidi ya Til.3 watu walishazila kinyemela na Hakuna Cha kufanya ndio kina Mwigulu wanazunguka zunguka tuu hawana majibu na Bunge kibogoyo badala lizichukue hizo kuwa hoja Wala hawana habari.
Hujui kitu wewe.
 
Vyeti feki kwa ujingawenu hamtambui jinsi nchi iliyokuwa inaliwa 24/7.
Mnaishia kutetea wasaliti na vyeti feki.
Hoja za kizembe kabisa hizi... eti vyeti fake!

Ni huyo huyo JPM ambae alitamka hadharani kuhusu sakata la Bashite kuingiza bidhaa kibao bandarini na kudai ni za walimu kumbe alikuwa na lengo la kukwepa kodi!!

Je, alimfanya nini Bashite kwa hiyo hatua yake ya kutaka kukwepa kodi?! Hivi unafahamu kwamba ukwepaji kodi inaingia kwenye uhujumu wa uchumi?

Ni JPM huyo huyo ndie aliongea hadharani kuhusu Mkataba wa Kifisadi ambao Jeshi la Zimamoto waliingia!! Akawataja pia Andengenye na Kangi Lugola kuhusika na ufisadi huo!

Je, aliwafanya nini hao akina Lugola?!

Si mnasema pale NSSF kulikuwa na ufisadi wa kutisha wakati wa Ramadhani Dau?

Je, JPM alimfanya nini Dau zaidi ya kumpa ubalozi aendelee kula mema ya nchi?!

Kwamba Rugemalila alihusika kwenye ufisadi mkubwa wa nchi?! Hivi mfanyabiashara unahusika vipi na ufisadi mkubwa bila kuhusisha viongozi wakubwa serikalini?! Ni akina nani kutoka serikalini waliunganishwa na kesi ya Ruge?!

Kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba ufisadi mkubwa nchi hii unawezeshwa na high profile politicians and top government executives.

Je, unaweza kunitajia ONLY ONE high profile politicians and ONLY ONE Top Government Executive ambae aliwahi kufanywa chochote na JPM?!

Ikiwa hata mbaya wake, Bernard Membe aliishia kumtaja kwa mafumbo tu kwamba "...kule Lindi watu wametafuna 20 BILLION"

Alimfanya nini?!
 
Fac
Hoja za kizembe kabisa hizi... eti vyeti fake!

Ni huyo huyo JPM ambae alitamka hadharani kuhusu sakata la Bashite kuingiza bidhaa kibao bandarini na kudai ni za walimu kumbe alikuwa na lengo la kukwepa kodi!!

Je, alimfanya nini Bashite kwa hiyo hatua yake ya kutaka kukwepa kodi?! Hivi unafahamu kwamba ukwepaji kodi inaingia kwenye uhujumu wa uchumi?

Ni JPM huyo huyo ndie aliongea hadharani kuhusu Mkataba wa Kifisadi ambao Jeshi la Zimamoto waliingia!! Akawataja pia Angengenye na Lugola kuhusika na ufisadi huo!

Je, aliwafanya nini hao akina Ligola?!

Si mnasema pale NSSF kulikuwa na ufisadi wa kutisha wakati wa Ramadhani Dau?

Je, JPM alimfanya nini Dau zaidi ya kumpa ubalozi aendelee kula mema ya nchi?!

Kwamba Rugemalila alihusika kwenye ufisadi mkubwa wa nchi?! Hivi mfanyabiashara unahusika vipi na ufisadi mkubwa bila kuhusisha viongozi wakubwa serikalini?! Ni akina nani kutoka serikalini waliunganishwa na kesi ya Ruge?!

Kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba ufisadi mkubwa nchi hii unawezeshwa na high profile politicians and top government executives.

Je, unaweza kunitajia ONLY ONE high profile politicians and ONLY ONE Top Government Executive ambae aliwahi kufanywa chochote na JPM?!

Ikiwa hata mbaya wake, Bernard Membe aliishia kumtaja kwa mafumbo tu kwamba "...kule Lindi watu wametafuna 20 BILLION"

Alimfanya nini?!
Fact
 
Back
Top Bottom