Hayati Magufuli alivyoifilisi familia ya Jamal Malinzi

Hoja za kizembe kabisa hizi... eti vyeti fake!

Ni huyo huyo JPM ambae alitamka hadharani kuhusu sakata la Bashite kuingiza bidhaa kibao bandarini na kudai ni za walimu kumbe alikuwa na lengo la kukwepa kodi!!

Je, alimfanya nini Bashite kwa hiyo hatua yake ya kutaka kukwepa kodi?! Hivi unafahamu kwamba ukwepaji kodi inaingia kwenye uhujumu wa uchumi?

Ni JPM huyo huyo ndie aliongea hadharani kuhusu Mkataba wa Kifisadi ambao Jeshi la Zimamoto waliingia!! Akawataja pia Andengenye na Kangi Lugola kuhusika na ufisadi huo!

Je, aliwafanya nini hao akina Lugola?!

Si mnasema pale NSSF kulikuwa na ufisadi wa kutisha wakati wa Ramadhani Dau?

Je, JPM alimfanya nini Dau zaidi ya kumpa ubalozi aendelee kula mema ya nchi?!

Kwamba Rugemalila alihusika kwenye ufisadi mkubwa wa nchi?! Hivi mfanyabiashara unahusika vipi na ufisadi mkubwa bila kuhusisha viongozi wakubwa serikalini?! Ni akina nani kutoka serikalini waliunganishwa na kesi ya Ruge?!

Kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba ufisadi mkubwa nchi hii unawezeshwa na high profile politicians and top government executives.

Je, unaweza kunitajia ONLY ONE high profile politicians and ONLY ONE Top Government Executive ambae aliwahi kufanywa chochote na JPM?!

Ikiwa hata mbaya wake, Bernard Membe aliishia kumtaja kwa mafumbo tu kwamba "...kule Lindi watu wametafuna 20 BILLION"

Alimfanya nini?!
U nailed it
 
Uchaguzi wa mwaka 2015 ni miongoni mwa chaguzi ngumu kuwahi kutokea nchini ukiacha ule wa 1995. EL alimkaba vilivyo JPM mpaka akakosa usingizi.

Bajeti ya kampeni ya CCM ilipwaya kwa mchaka mchaka ule ikabidi itafutwe njia mbadala ili mamvo yaende.
Wafanyabiashara mbalimbali na taasisi mbalimbali wakaombwa kuchangia na kuahidiwa kurudishiwa pesa zao baada ya uchaguzi.

Kama muujiza shirikisho la mpira nchini TFF likapokea bilioni kadhaa sio nyingi sana ili kuendeleza program za michezo nchini. Vigogo wa chama kubwa wakazinusa,kesho yake mbio mpaka ilala karume zilipo ofisi za TFF ,wimbo ukiwa uleule tuazimeni pesa tutarudisha after uchaguzi. Jamal akagoma akiogopa ma auditor wa FIFA endapo wangetua nchini ghafla wakakuta akaunti haina pesa itakuwaje.

Vigogo wakaondoka mikono.mitupu.
Tarehe 28 june 2017 Nissan Patrol nyeupe inatinga viwanja vya karume wanashuka wanaume wanne wanawatia pingu Jamal Malinzi na katibu wake Mwesigwa Celestine na maofisa wengine wawili wa TFF.

Hawakuliona jua mpaka tarehe 10 dec 2019 miaka miwili na nusu,walishtakiwa kwa uhujumu uchumi,utakatishaji fedha,forgery,matumizi mabaya ya fedha na kutia hasara kuasi cha dola 375,418 sawa na milioni 847 wakati huo.

Uchunguzi ulipofanyika ikaonekana hizo pesa zipo au zilifanya kazi ya TFF ila kulikuwa tu na makosa kidogo ya kiuhasibu,kuna nyaraka hazikukamilika na zilihitaji maelezo ili zikamilike.

Bwana mkubwa hakuelewa hilo akasisitiza plea bargain ,pesa zilipwe.si mlikataa kuchangia kampeni.

Akaunti ya Jama Malinzi ikakutwa na Milioni zisizozidi 100. Celestine Mwesigwa milioni 19 Wale maofisa wawili Nsiande mwaya mhasibu ,na karani Flora kwa pamoja walikutwa na milioni kama tano tu kwenye akaunti.

Jamal akataka kuvimba kama mbwai mbwai tu acha nifungwe, Damu nzito kuliko maji,ndugu zake Jamal walikuwa wanajiweza wakachangishana wakalipa plea bargain ifisi ya DPP.Milioni 847

Kesho yake wakaenda mahakamani akapigwa faini ya shilingi laki tano tu na kuachiwa huru. Milioni 847 sio pesa ndogo,baadhi ya biashara za zimekufa kwa kukosa mtaji na zilizobaki zinayumba. Jiulize wewe na familia yako mtauza nni kupata milioni 800 kumtoa ndugu yenu jela
Source?
 
Kwa bahati nzuri kuna ndugu na hao jamaa wapo humu. Acheni urongo wenu
 
Mmh, pazito HAPO😳😳
 
Magugu maji alikuwa zaidi ya haramia..kuna mzee pale Moshi alikombwa hela akapata stroke hadi leo..huko alipo wamuongezee kuni mshenzi yule
 
Sijamaliza hata kusoma lakini nimeona ni upuuzi mtupu.MTU ukiiba pesabza umma kazima ushughulikiwe.Siyo kama sasa nchi inaliwa tu na hakuna hatua inayochukuliwa.
roho mbaya tu ndio inakusumbueni kila mwenye hela mlimuona mwizi.. sasa kafa na watu bado tuna hela na nyinyi na roho mbaya zenu bado mnadidimia kwenye umaskini
 
Hoja za kizembe kabisa hizi... eti vyeti fake!

Ni huyo huyo JPM ambae alitamka hadharani kuhusu sakata la Bashite kuingiza bidhaa kibao bandarini na kudai ni za walimu kumbe alikuwa na lengo la kukwepa kodi!!

Je, alimfanya nini Bashite kwa hiyo hatua yake ya kutaka kukwepa kodi?! Hivi unafahamu kwamba ukwepaji kodi inaingia kwenye uhujumu wa uchumi?

Ni JPM huyo huyo ndie aliongea hadharani kuhusu Mkataba wa Kifisadi ambao Jeshi la Zimamoto waliingia!! Akawataja pia Andengenye na Kangi Lugola kuhusika na ufisadi huo!

Je, aliwafanya nini hao akina Lugola?!

Si mnasema pale NSSF kulikuwa na ufisadi wa kutisha wakati wa Ramadhani Dau?

Je, JPM alimfanya nini Dau zaidi ya kumpa ubalozi aendelee kula mema ya nchi?!

Kwamba Rugemalila alihusika kwenye ufisadi mkubwa wa nchi?! Hivi mfanyabiashara unahusika vipi na ufisadi mkubwa bila kuhusisha viongozi wakubwa serikalini?! Ni akina nani kutoka serikalini waliunganishwa na kesi ya Ruge?!

Kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba ufisadi mkubwa nchi hii unawezeshwa na high profile politicians and top government executives.

Je, unaweza kunitajia ONLY ONE high profile politicians and ONLY ONE Top Government Executive ambae aliwahi kufanywa chochote na JPM?!

Ikiwa hata mbaya wake, Bernard Membe aliishia kumtaja kwa mafumbo tu kwamba "...kule Lindi watu wametafuna 20 BILLION"

Alimfanya nini?!
Kwa kuongeza tu JPM alikuwa anafuga wapigaji kibao waliokuwa na baraka zake. Bashite, Kakoko wa TPA, Mwakabibi Manispaa ya Temeke, DC Hai nk
 
Uchaguzi wa mwaka 2015 ni miongoni mwa chaguzi ngumu kuwahi kutokea nchini ukiacha ule wa 1995. EL alimkaba vilivyo JPM mpaka akakosa usingizi.

Bajeti ya kampeni ya CCM ilipwaya kwa mchaka mchaka ule ikabidi itafutwe njia mbadala ili mamvo yaende.
Wafanyabiashara mbalimbali na taasisi mbalimbali wakaombwa kuchangia na kuahidiwa kurudishiwa pesa zao baada ya uchaguzi.

Kama muujiza shirikisho la mpira nchini TFF likapokea bilioni kadhaa sio nyingi sana ili kuendeleza program za michezo nchini. Vigogo wa chama kubwa wakazinusa,kesho yake mbio mpaka ilala karume zilipo ofisi za TFF ,wimbo ukiwa uleule tuazimeni pesa tutarudisha after uchaguzi. Jamal akagoma akiogopa ma auditor wa FIFA endapo wangetua nchini ghafla wakakuta akaunti haina pesa itakuwaje.

Vigogo wakaondoka mikono.mitupu.
Tarehe 28 june 2017 Nissan Patrol nyeupe inatinga viwanja vya karume wanashuka wanaume wanne wanawatia pingu Jamal Malinzi na katibu wake Mwesigwa Celestine na maofisa wengine wawili wa TFF.

Hawakuliona jua mpaka tarehe 10 dec 2019 miaka miwili na nusu,walishtakiwa kwa uhujumu uchumi,utakatishaji fedha,forgery,matumizi mabaya ya fedha na kutia hasara kuasi cha dola 375,418 sawa na milioni 847 wakati huo.

Uchunguzi ulipofanyika ikaonekana hizo pesa zipo au zilifanya kazi ya TFF ila kulikuwa tu na makosa kidogo ya kiuhasibu,kuna nyaraka hazikukamilika na zilihitaji maelezo ili zikamilike.

Bwana mkubwa hakuelewa hilo akasisitiza plea bargain ,pesa zilipwe.si mlikataa kuchangia kampeni.

Akaunti ya Jama Malinzi ikakutwa na Milioni zisizozidi 100. Celestine Mwesigwa milioni 19 Wale maofisa wawili Nsiande mwaya mhasibu ,na karani Flora kwa pamoja walikutwa na milioni kama tano tu kwenye akaunti.

Jamal akataka kuvimba kama mbwai mbwai tu acha nifungwe, Damu nzito kuliko maji,ndugu zake Jamal walikuwa wanajiweza wakachangishana wakalipa plea bargain ifisi ya DPP.Milioni 847

Kesho yake wakaenda mahakamani akapigwa faini ya shilingi laki tano tu na kuachiwa huru. Milioni 847 sio pesa ndogo,baadhi ya biashara za zimekufa kwa kukosa mtaji na zilizobaki zinayumba. Jiulize wewe na familia yako mtauza nni kupata milioni 800 kumtoa ndugu yenu jela
Mwacheni Mungu aitwe Mungu.
 
Muwe mnatumia akili kidogo, uchaguzi wa 2015 ulifanyika tarehe 25 October, na akatangazwa mshindi tarehe 30 October 2015, kwahiyo kutoka November 2015 alipoapishwa JPM hadi June 28 2017, walikuwa wanamuogopa Malinzi wasimkamate?

Vitu vingine kama hamna data muwe mnakaa kimya. Malinzi alifanya ufisadi mkubwa sana, kama unabisha waulize ndugu zake, kwanza jiulize ni ndugu gani wa Malinzi mwenye uwezo wa kutoa milioni 847, Ili kumtoa Malinzi ndani huku nyuma akifilisika?,mtaje hapa maana ndugu zake wanafahamika wote.
Dioniz Malinzi aliyeekuwa mmiliki wa Cargo Stars Transport
 
Sasa hapo ulikuwa unamfinya malinzi na hao maskini wengine ili kunyoosha Nini hasa? Unfortunately majitu Kama wewe Ni utaishi Miaka mingi ila ningekuwa na namna ya kukupata nakudedisha kiukatili kabisa ili wengine wajifunze..

Hapa Tzn ukiwa tajiri uwe upande wa CCM maana huwa yanakuja tuu Mara tunaomba mafuta sijui mchango wa upuuzi gani kwenye chama na ushenzi wa dizaini hiyo,usipofanya hivyo ndio hayo ya kubambikiwa makesi n.k.

Ili kukomesha ushenzi Kama huu na mtu awe huru na Pesa zake na atimiaje Ni lazima tupate Katiba mpya walau ita guarantee security kiasi fulani..
Umeongea ukweli 90% hasa aya ya mwisho. "Uhuru na pesa zako". Uhuru, uhuru, uhuru!
 
Back
Top Bottom