Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mwizi tu kama wezi wengine. Mwaka 2015 Magufuli hakuwa Rais angeweza kwenda chukua pesa TFF huo ni uongo wa wazi tu unamtetea mwizi mwenzio uzuri alikubali kuwa ni mwizi nakazitoa pesa alizoiba sasa hayo mengine ni porojo na udaku tu.Uchaguzi wa mwaka 2015 ni miongoni mwa chaguzi ngumu kuwahi kutokea nchini ukiacha ule wa 1995. EL alimkaba vilivyo JPM mpaka akakosa usingizi.
Bajeti ya kampeni ya CCM ilipwaya kwa mchaka mchaka ule ikabidi itafutwe njia mbadala ili mamvo yaende.
Wafanyabiashara mbalimbali na taasisi mbalimbali wakaombwa kuchangia na kuahidiwa kurudishiwa pesa zao baada ya uchaguzi.
Kama muujiza shirikisho la mpira nchini TFF likapokea bilioni kadhaa sio nyingi sana ili kuendeleza program za michezo nchini. Vigogo wa chama kubwa wakazinusa,kesho yake mbio mpaka ilala karume zilipo ofisi za TFF ,wimbo ukiwa uleule tuazimeni pesa tutarudisha after uchaguzi. Jamal akagoma akiogopa ma auditor wa FIFA endapo wangetua nchini ghafla wakakuta akaunti haina pesa itakuwaje.
Vigogo wakaondoka mikono.mitupu.
Tarehe 28 june 2017 Nissan Patrol nyeupe inatinga viwanja vya karume wanashuka wanaume wanne wanawatia pingu Jamal Malinzi na katibu wake Mwesigwa Celestine na maofisa wengine wawili wa TFF.
Hawakuliona jua mpaka tarehe 10 dec 2019 miaka miwili na nusu,walishtakiwa kwa uhujumu uchumi,utakatishaji fedha,forgery,matumizi mabaya ya fedha na kutia hasara kuasi cha dola 375,418 sawa na milioni 847 wakati huo.
Uchunguzi ulipofanyika ikaonekana hizo pesa zipo au zilifanya kazi ya TFF ila kulikuwa tu na makosa kidogo ya kiuhasibu,kuna nyaraka hazikukamilika na zilihitaji maelezo ili zikamilike.
Bwana mkubwa hakuelewa hilo akasisitiza plea bargain ,pesa zilipwe.si mlikataa kuchangia kampeni.
Akaunti ya Jama Malinzi ikakutwa na Milioni zisizozidi 100. Celestine Mwesigwa milioni 19 Wale maofisa wawili Nsiande mwaya mhasibu ,na karani Flora kwa pamoja walikutwa na milioni kama tano tu kwenye akaunti.
Jamal akataka kuvimba kama mbwai mbwai tu acha nifungwe, Damu nzito kuliko maji,ndugu zake Jamal walikuwa wanajiweza wakachangishana wakalipa plea bargain ifisi ya DPP.Milioni 847
Kesho yake wakaenda mahakamani akapigwa faini ya shilingi laki tano tu na kuachiwa huru. Milioni 847 sio pesa ndogo,baadhi ya biashara za zimekufa kwa kukosa mtaji na zilizobaki zinayumba. Jiulize wewe na familia yako mtauza nni kupata milioni 800 kumtoa ndugu yenu jela
Kama alivyotupenda kwa mama yako mkuu!Mungu ni mkali mnooo.Anatupenda w Tanzania
Akitoka na kusema msimchagulie na maswali ya kujibu kama vile..."kwa nini hukusema aliookuwa hai/tangu awali"...?Kama yupo nje kwa nini asitoke hadharani aseme maana aliemfanyia yote hayo hayupo.. mbowe alifunguka tukaelewa
Umeusoma uzi na kuuelewa au umekariri mambo?Soma neno kwa neno na utumie na kamusi kujielewesha kuhusu nyakati/tenses!Huyo ni mwizi tu kama wezi wengine. Mwaka 2015 Magufuli hakuwa Rais angeweza kwenda chukua pesa TFF huo ni uongo wa wazi tu unamtetea mwizi mwenzio uzuri alikubali kuwa ni mwizi nakazitoa pesa alizoiba sasa hayo mengine ni porojo na udaku tu.
Wewe umeuelewa au unadandia treni kwa mbele?Umeusoma uzi na kuuelewa au umekariri mambo?Soma neno kwa neno na utumie na kamusi kujielewesha kuhusu nyakati/tenses!
Soma uelewe acha kukaza shingo kama unameza chipsi kavu.Wewe umeuelewa au unadandia treni kwa mbele?
Wapi pameandikwa magufuli alienda kuchukua pesa TFf,timu ya kampeni ndio ilienda na akajua amenyimwa pesa alivyoshika nchi akawakomeshaHuyo ni mwizi tu kama wezi wengine. Mwaka 2015 Magufuli hakuwa Rais angeweza kwenda chukua pesa TFF huo ni uongo wa wazi tu unamtetea mwizi mwenzio uzuri alikubali kuwa ni mwizi nakazitoa pesa alizoiba sasa hayo mengine ni porojo na udaku tu.
Kama ulijua kweli nipo hapa Mbezi Beach Rain Bow nameza chips kavu au umeniona mkuu nini!!?Soma uelewe acha kukaza shingo kama unameza chipsi kavu.
Ni hela zake ambazo ziliwekezwa katika biashara kupitia ndugu zake. Ndugu wa kulipa hela hiyo dunia hii hayupoMuwe mnatumia akili kidogo, uchaguzi wa 2015 ulifanyika tarehe 25 October, na akatangazwa mshindi tarehe 30 October 2015, kwahiyo kutoka November 2015 alipoapishwa JPM hadi June 28 2017, walikuwa wanamuogopa Malinzi wasimkamate?
Vitu vingine kama hamna data muwe mnakaa kimya. Malinzi alifanya ufisadi mkubwa sana, kama unabisha waulize ndugu zake, kwanza jiulize ni ndugu gani wa Malinzi mwenye uwezo wa kutoa milioni 847, Ili kumtoa Malinzi ndani huku nyuma akifilisika?,mtaje hapa maana ndugu zake wanafahamika wote.
Timu ya Kampeni ilikuwa chini ya Kinana na Nape wakati huo acha upotoshaji. Mwambie nduguyo aache wizi wa mali za umma fullstop!!Wapi pameandikwa magufuli alienda kuchukua pesa TFf,timu ya kampeni ndio ilienda na akajua amenyimwa pesa alivyoshika nchi akawakomesha
Mpe pole sana!! wazee wetu walishasema za Mwizi ni 40.Nani amebisha,
Bila Mwenyezi Mungu kulifyekelea mbali lile jini nchi ilikuwa inaelekea kuzimu kabisaUchaguzi wa mwaka 2015 ni miongoni mwa chaguzi ngumu kuwahi kutokea nchini ukiacha ule wa 1995. EL alimkaba vilivyo JPM mpaka akakosa usingizi.
Bajeti ya kampeni ya CCM ilipwaya kwa mchaka mchaka ule ikabidi itafutwe njia mbadala ili mamvo yaende.
Wafanyabiashara mbalimbali na taasisi mbalimbali wakaombwa kuchangia na kuahidiwa kurudishiwa pesa zao baada ya uchaguzi.
Kama muujiza shirikisho la mpira nchini TFF likapokea bilioni kadhaa sio nyingi sana ili kuendeleza program za michezo nchini. Vigogo wa chama kubwa wakazinusa,kesho yake mbio mpaka ilala karume zilipo ofisi za TFF ,wimbo ukiwa uleule tuazimeni pesa tutarudisha after uchaguzi. Jamal akagoma akiogopa ma auditor wa FIFA endapo wangetua nchini ghafla wakakuta akaunti haina pesa itakuwaje.
Vigogo wakaondoka mikono.mitupu.
Tarehe 28 june 2017 Nissan Patrol nyeupe inatinga viwanja vya karume wanashuka wanaume wanne wanawatia pingu Jamal Malinzi na katibu wake Mwesigwa Celestine na maofisa wengine wawili wa TFF.
Hawakuliona jua mpaka tarehe 10 dec 2019 miaka miwili na nusu,walishtakiwa kwa uhujumu uchumi,utakatishaji fedha,forgery,matumizi mabaya ya fedha na kutia hasara kuasi cha dola 375,418 sawa na milioni 847 wakati huo.
Uchunguzi ulipofanyika ikaonekana hizo pesa zipo au zilifanya kazi ya TFF ila kulikuwa tu na makosa kidogo ya kiuhasibu,kuna nyaraka hazikukamilika na zilihitaji maelezo ili zikamilike.
Bwana mkubwa hakuelewa hilo akasisitiza plea bargain ,pesa zilipwe.si mlikataa kuchangia kampeni.
Akaunti ya Jama Malinzi ikakutwa na Milioni zisizozidi 100. Celestine Mwesigwa milioni 19 Wale maofisa wawili Nsiande mwaya mhasibu ,na karani Flora kwa pamoja walikutwa na milioni kama tano tu kwenye akaunti.
Jamal akataka kuvimba kama mbwai mbwai tu acha nifungwe, Damu nzito kuliko maji,ndugu zake Jamal walikuwa wanajiweza wakachangishana wakalipa plea bargain ifisi ya DPP.Milioni 847
Kesho yake wakaenda mahakamani akapigwa faini ya shilingi laki tano tu na kuachiwa huru. Milioni 847 sio pesa ndogo,baadhi ya biashara za zimekufa kwa kukosa mtaji na zilizobaki zinayumba. Jiulize wewe na familia yako mtauza nni kupata milioni 800 kumtoa ndugu yenu jela
Na hicho ndicho ninachokiamini siku zote.Daima fedha isiyo halali hurejea ilikotoka kwa namna iwayo yoyote ile
Iliitwa "timu ya ushindi"; ilitembelea watu wengi muhimu wakiwemo CEOs wa parastatals na kuwataka "support" kama wanataka kuendelea kuwa ndani ya ulingo, that's it. Waliosita wanajua kilichowakuta - baadaye - when the going started being nasty.Timu ya Kampeni ilikuwa chini na Kinana na Nape wakati huo acha upotoshaji. Mwambie nduguyo aache wizi wa mali za umma fullstop!!
Aliwazoesha jiwe hizo majambo.Aliwalisha chipsi kavu mnashushia na pipi kifua.😂😂😂😂Kama
Kama ulijua kweli nipo hapa Mbezi Beach Rain Bow nameza chips kavu au umeniona mkuu nini!!?