Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Historia inatueleza bayana Hayati Magufuli na Paul Kagame walitokea kuwa marafiki wakubwa kupata kutokea!
Urafiki wa wawili hao ulikuwa wa kufa na kuzikana hali iliyopelekea waaminiane kwa kila jambo.
Kiungo wa marafiki wale uliunganishwa na rafiki yao mwingine Bashiru Ally.
Bashiru Ally na Profesa Lipumba ni marafiki wa mda mrefu wa Kagame na kwa nyakati fulani huko nyuma Paul Kagame aliwatumia wawili wale kumshauri kwenye mambo ya siasa (Bashiru) na mambo ya ki-uchumi (Lipumba) za Ukanda wetu wa Afrika ya Mashariki.
Hakika utatu wa Magufuli, Kagame na Bashiru ulikuwa na malengo/marengo chanya ya Ukanda wetu huo wa Afrika ya Mashariki.
NB: Bashiru siyo Ndugai.