Hayati Magufuli aliwaamini sana marafiki zake Kagame na Bashiru

JPM alienda kuficha Hela Rwanda, PAKA akapita nazo, wakaanza ugomvi
 
Wewe mhaya tatizo lako ni kujifanya unajua kumbe ni maskini flani unayetafuta kujipendekeza kwa watawala mitandaoni.
 
Andiko lako lina hang.
 
Kwa hiyo alimuona mwehu alivyo deal na Corona sio kama Kenyatta alivyomuona?
kumwona mtu mwehu haihusiani na wehu wake.pamoja na kufunga malori lakini bado alifata alichofanya jpm ktk janga lile.

mwehu nani hapo!!
 

kwani JPM alikuwa mtusi ? maana KAGAME ni MTUSI .Na BASHIRU ni mtusi ?

mbona mlisema JPM ni mhutu ? leo amekuwa mtusi?

japo kufanya urafiki na kagame lilikuwa kosa kubwa la karne.KAGAME ni adui wa JK ,Sasa rafiki wa adui yako>>>>>>>>
 
hivi mbona CV ya Mh BASHIRU kwenye tovuti ya Bunge haijakamalilika? au imeondolewa???
 
Arudi tu akaendele kufundisha

Ova
 
Eh?
 
Haya maandishi yanakufanya uonekane kijana mdogo unayependa kusikiliza maneno ya vijiweni wakati wakubwa wakiongea huku wakinywa kahawa.
 
kwani JPM alikuwa mtusi ? maana KAGAME ni MTUSI .Na BASHIRU ni mtusi ?

mbona mlisema JPM ni mhutu ? leo amekuwa mtusi?

japo kufanya urafiki na kagame lilikuwa kosa kubwa la karne.KAGAME ni adui wa JK ,Sasa rafiki wa adui yako>>>>>>>>
Kasumba za kishamba zipo sana hapa Tanzania, kwamba kila mtu anayetoka mkoa wa Kagera au Kigoma anayo asili ya Rwanda au Burundi. Ukitoka Mara wewe unayo hatari ya kuitwa Mkenya ukitoka Mtwara au Lindi utaitwa mwenyeji wa Msumbiji.

Ni uvivu wa kufikiri unaoambatana na roho mbaya.
 
Kitu gani hapo kilichosemwa ni cha uongo?
Tumia akili ya kawaida tu. Mkapa na Kikwete waliompitishia JPM walikuwa na uhusiano wowote ule na Bahima Empire?.

Kagame alimtishia kumfanyia unyama Kikwete akiongea na kundi la wanafunzi wa chuo kikuu kule Kigali, angeweza vipi kupenyeza nia yake mpaka ndani ya mikutano ya siri ya CCM?.

Naamini hizi story zako ni za vijiweni za kufurahisha baraza wakati watu wanakunywa kahawa jioni baada ya kupata futari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…