Hayati Magufuli aliwapenda sana CHADEMA, vinginevyo angekifutilia mbali. Ila kwa sasa kinaweza kufutwa na Msajili wa Vyama

Alijaribu akashindwa na badala yake yeye akafutiliwa mbali kwenye uso wa dunia leo hii anateseka motoni kwa ufedhuli wake,na yeyeote atakayejaribu yatamkuta mabaya zaidi.
 
CHADEMA IPO MIOYONI WATAKACHOFUTA NI JINA TU
 
Mkuu umechelewa,,hao hawafutwi kwa maneno ya jukwaani...
 
Ni ubovu wa akili na low thinking kufikiri ni sawa kwamba vyama vya siasa vipo kwa huruma ya rais. Mnakosa misingi ya haki tangu majumbani mwenu na mnaleta haya mapungufu hapa kila siku.
 
Ni ubovu wa akili na low thinking kufikiri ni sawa kwamba vyama vya siasa vipo kwa huruma ya rais. Mnakosa misingi ya haki tangu majumbani mwenu na mnaleta haya mapungufu hapa kila siku.
Unadhani Mbowe kamfuata nani Ikulu?

Zamani alikuwa anakimbilia kea Mabalozi, hehe nini kimembadilisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…