Hayati Magufuli aliwapenda sana CHADEMA, vinginevyo angekifutilia mbali. Ila kwa sasa kinaweza kufutwa na Msajili wa Vyama

Kiukweli hayati Magufuli aliwapenda sana na kuwavumilia Chadema vinginevyo mh Mutungi angekifutilia mbali

Chadema na viongozi wenu msipofuata agizo la mwenyekiti Mbowe kwamba muache Mihemuko, Uzushi na Uchochezi basi chama chenu hakika kinaweza kufutwa kwenye daftari la Msajili wa vyama vya siasa

Ni angalizo tu

Mtanikumbuka
Alijaribu akashindwa na badala yake yeye akafutiliwa mbali kwenye uso wa dunia leo hii anateseka motoni kwa ufedhuli wake,na yeyeote atakayejaribu yatamkuta mabaya zaidi.
 
Kiukweli hayati Magufuli aliwapenda sana na kuwavumilia Chadema vinginevyo mh Mutungi angekifutilia mbali

Chadema na viongozi wenu msipofuata agizo la mwenyekiti Mbowe kwamba muache Mihemuko, Uzushi na Uchochezi basi chama chenu hakika kinaweza kufutwa kwenye daftari la Msajili wa vyama vya siasa

Ni angalizo tu

Mtanikumbuka
CHADEMA IPO MIOYONI WATAKACHOFUTA NI JINA TU
 
Kiukweli hayati Magufuli aliwapenda sana na kuwavumilia Chadema vinginevyo mh Mutungi angekifutilia mbali

Chadema na viongozi wenu msipofuata agizo la mwenyekiti Mbowe kwamba muache Mihemuko, Uzushi na Uchochezi basi chama chenu hakika kinaweza kufutwa kwenye daftari la Msajili wa vyama vya siasa

Ni angalizo tu

Mtanikumbuka
Mkuu umechelewa,,hao hawafutwi kwa maneno ya jukwaani...
 
Ni ubovu wa akili na low thinking kufikiri ni sawa kwamba vyama vya siasa vipo kwa huruma ya rais. Mnakosa misingi ya haki tangu majumbani mwenu na mnaleta haya mapungufu hapa kila siku.
Kiukweli hayati Magufuli aliwapenda sana na kuwavumilia Chadema vinginevyo mh Mutungi angekifutilia mbali

Chadema na viongozi wenu msipofuata agizo la mwenyekiti Mbowe kwamba muache Mihemuko, Uzushi na Uchochezi basi chama chenu hakika kinaweza kufutwa kwenye daftari la Msajili wa vyama vya siasa

Ni angalizo tu

Mtanikumbuka
 
Ni ubovu wa akili na low thinking kufikiri ni sawa kwamba vyama vya siasa vipo kwa huruma ya rais. Mnakosa misingi ya haki tangu majumbani mwenu na mnaleta haya mapungufu hapa kila siku.
Unadhani Mbowe kamfuata nani Ikulu?

Zamani alikuwa anakimbilia kea Mabalozi, hehe nini kimembadilisha?
 
Back
Top Bottom