Hayati Magufuli aliwapenda sana CHADEMA, vinginevyo angekifutilia mbali. Ila kwa sasa kinaweza kufutwa na Msajili wa Vyama

CDM kufutwa au kufa wewe si wa kwanza kutamka..!! Wasira ni mmojawapo kati ya waliowahi kusema hayo..!! Lakini hadi leo CDM bado ipo..
Kumbe kwenye ubongo wako Chadema iko imara sana?
 
Kuna watu walijiapiza kuimaliza CDM wameishia kujimaliza wao.. bwa shee chama kinafutwa kama kimekiua sheria za nchi, sasa kutaka kuifuta CDM kama unavyofuta nyumba ndogo yako hilo halipo ndugu.
 
Hatimaye Mungu akamfutilia mbali yy kwenye uso wa Dunia na Sasa HAKUNA kutekana ovyo ,maiti kukutwa kwenye fukwe ,kupora fedha kwenye akaunti za watu na kuwafungulia kesi za mchongo wana CHADEMA.
MUNGU KAAMUA UGOMVI .
BY NAPE.....
 
Hatimaye Mungu akamfutilia mbali yy kwenye uso wa Dunia na Sasa HAKUNA kutekana ovyo ,maiti kukutwa kwenye fukwe ,kupora fedha kwenye akaunti za watu na kuwafungulia kesi za mchongo wana CHADEMA.
MUNGU KAAMUA UGOMVI .
BY NAPE.....
Yule Twaha ni CCM?
 
Sina mengi ila ninachojua hata mchawi huwa anabembeleza mtoto ingawa usiku ndo mtesaji wa mtoto aliyembebeleza Mchana!!!
 
Mimi ni mfuasi wa chadema, binafsi naona Chadema imeshajifia zamani sana.

Hata marehemu huzungumziwa
 
Akifute tu kwa hicho unachoita mihemuko, uzushi na uchochezi. Maana hicho chama kipo kwa ridhaa ya Mutungi.

Amandla...
 
Huu ni ugoro kama goro nyingine hii ni nchi ya mfumo wa vyama vingi msijibu hoja za wapinzani kwa kuzipiga rungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…