Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Hoja iliyopo midomoni mwa watumishi wa serikali na watawala nikutuaminisha kwamba mizigo inacheleweshwa bandarini. Lakini miaka miwili nyuma tulisifia sana ufanisi wa bandari. Je haiwezekani kwamba tuliopo sasa tumeiua bandari?
Magufuli aliwezaje kuwatumia watu hawahawa akapata tija hadi sote tukawa tunaimba mafanikio ya JPM? Siyo sisi tuliokuwa tunasifia mabadiliko makubwa kwenye utumishi wa umma?
Lengo letu lakuacha kufanya kwa ufanisi ni ili tuikodishe bandari? Tunanufaikaje hujuma hizi? Kwanini tunapenda kusimama kwamba wenzetu wamehongwa wakati sisi tuliwaaminisha bandari inakwenda vyema?
Kwanini tunamhujumu Rais?