Hayati Magufuli aliweza kuondoa ucheleweshaji mizigo bandarini? Mbona hakutuambia Watanzania hatuwezi? CCM kwanini tunajidhalilisha?

Hayati Magufuli aliweza kuondoa ucheleweshaji mizigo bandarini? Mbona hakutuambia Watanzania hatuwezi? CCM kwanini tunajidhalilisha?

Hoja iliyopo midomoni mwa watumishi wa serikali na watawala nikutuaminisha kwamba mizigo inacheleweshwa bandarini. Lakini miaka miwili nyuma tulisifia sana ufanisi wa bandari. Je haiwezekani kwamba tuliopo sasa tumeiua bandari?

Magufuli aliwezaje kuwatumia watu hawahawa akapata tija hadi sote tukawa tunaimba mafanikio ya JPM? Siyo sisi tuliokuwa tunasifia mabadiliko makubwa kwenye utumishi wa umma?

Lengo letu lakuacha kufanya kwa ufanisi ni ili tuikodishe bandari? Tunanufaikaje hujuma hizi? Kwanini tunapenda kusimama kwamba wenzetu wamehongwa wakati sisi tuliwaaminisha bandari inakwenda vyema?

Kwanini tunamhujumu Rais?
Hatuko serious. Tumekabidhi nchi kwa dalali asiye na uchungu na nchi ya Tanganyika.

Teuzi zake ni udini, hovyo, mikataba kuhusu Tanganyika inawekwa na Wazinbari. Nchi nyingine.
 
Back
Top Bottom