Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Watakuambia alikuwa anadanganya.
Uongozi ni kuweka mifumo sio makelele wala matisho. Ukiondoka yote yataishia hapo. Weka mifumo na Sheria ambavyo vitakuwa mwongozo kwa yeyote atakayekuja baada yako.Hoja iliyopo midomoni mwa watumishi wa serikali na watawala nikutuaminisha kwamba mizigo inacheleweshwa bandarini. Lakini miaka miwili nyuma tulisifia sana ufanisi wa bandari. Je haiwezekani kwamba tuliopo sasa tumeiua bandari?
Magufuli aliwezaje kuwatumia watu hawahawa akapata tija hadi sote tukawa tunaimba mafanikio ya JPM? Siyo sisi tuliokuwa tunasifia mabadiliko makubwa kwenye utumishi wa umma?
Lengo letu lakuacha kufanya kwa ufanisi ni ili tuikodishe bandari? Tunanufaikaje hujuma hizi? Kwanini tunapenda kusimama kwamba wenzetu wamehongwa wakati sisi tuliwaaminisha bandari inakwenda vyema?
Kwanini tunamhujumu Rais?
Wewe inaelekea ulikuwa huijui bandari kabla ya Magufuli. Tafuta watu wakueleze bandari ilivyokuwa wakati wa fisadi KikweteHakukuwa na ufanisi wowote wakati wa Magu. Mizigo ilikuwa inachelewa mno kutoka.. watu walikuwa kama wanaogopana. Mama Samia ndo kaja kuleta unafuu
Rekebisha rekodi zako hats Magufuli bandari ilimshinda,wizi kila mahala ,hukumbuki hats baada ya kukamatwa wezi waliokuwa wamejiwekea Bomba la Mafuta wakiteka kqma maji walipobainishwa na DC wa kigamboni SARA,hakuna kilichotokea na Huyo DC ndiye aliyeondolewa ,umesahau hili,na wezi wakaendelea kama kawa kawa kama dawa!,hapo bandarini pana madudu ya hatari na kutisha mengine ni hatari hats kwa maisha ya mtu,almost 40% ya gain inaingia pasipo! Ndipo sasa mwarobaini umepatikana ,hivyo BENEFICIARY WANA HOFU KUBWA SANA WAPO VIGOGO HATARI,TAASISI ZA DINI,NA N.K, wakiwamo wajanja wajanja na wahuni mbalimbali wanao temper hats mashine ili wizi ufanyike!,kelele ni lazima wapige,Hoja iliyopo midomoni mwa watumishi wa serikali na watawala nikutuaminisha kwamba mizigo inacheleweshwa bandarini. Lakini miaka miwili nyuma tulisifia sana ufanisi wa bandari. Je haiwezekani kwamba tuliopo sasa tumeiua bandari?
Magufuli aliwezaje kuwatumia watu hawahawa akapata tija hadi sote tukawa tunaimba mafanikio ya JPM? Siyo sisi tuliokuwa tunasifia mabadiliko makubwa kwenye utumishi wa umma?
Lengo letu lakuacha kufanya kwa ufanisi ni ili tuikodishe bandari? Tunanufaikaje hujuma hizi? Kwanini tunapenda kusimama kwamba wenzetu wamehongwa wakati sisi tuliwaaminisha bandari inakwenda vyema?
Kwanini tunamhujumu Rais?
Kwanini serikali ya CCM haiwachukulii hatua kali za kisheria wanaohujumu bandari yetu, wakati inawafahamu kwa majina yao, sura zao na anwani zao?Hoja iliyopo midomoni mwa watumishi wa serikali na watawala nikutuaminisha kwamba mizigo inacheleweshwa bandarini. Lakini miaka miwili nyuma tulisifia sana ufanisi wa bandari. Je haiwezekani kwamba tuliopo sasa tumeiua bandari?
Magufuli aliwezaje kuwatumia watu hawahawa akapata tija hadi sote tukawa tunaimba mafanikio ya JPM? Siyo sisi tuliokuwa tunasifia mabadiliko makubwa kwenye utumishi wa umma?
Lengo letu lakuacha kufanya kwa ufanisi ni ili tuikodishe bandari? Tunanufaikaje hujuma hizi? Kwanini tunapenda kusimama kwamba wenzetu wamehongwa wakati sisi tuliwaaminisha bandari inakwenda vyema?
Kwanini tunamhujumu Rais?
Kwa hiyo serikali ya CCM imewapa majambazi status ya kuwa above the law, ndio maana inashindwa kuwafunga hata kwa makosa ya uhaini na uhujumu uchumi?BENEFICIARY WANA HOFU KUBWA SANA WAPO VIGOGO HATARI,TAASISI ZA DINI,NA N.K, wakiwamo wajanja wajanja na wahuni mbalimbali wanao temper hats mashine ili wizi ufanyike!,kelele ni lazima wapige,
mh.rais songa mbele hakuna kurudi nyuma kwa hili.
Ni wakati wa kujiuliza na kujifunza kwa wengine bila kuacha the pastMungu anaifuta CCM kwa kasi ya ajabu sana
PatheticHakukuwa na ufanisi wowote wakati wa Magu. Mizigo ilikuwa inachelewa mno kutoka.. watu walikuwa kama wanaogopana. Mama Samia ndo kaja kuleta unafuu
Watakwambia aliwanyima uhuru watumishi wa bandari.Hoja iliyopo midomoni mwa watumishi wa serikali na watawala nikutuaminisha kwamba mizigo inacheleweshwa bandarini. Lakini miaka miwili nyuma tulisifia sana ufanisi wa bandari. Je haiwezekani kwamba tuliopo sasa tumeiua bandari?
Magufuli aliwezaje kuwatumia watu hawahawa akapata tija hadi sote tukawa tunaimba mafanikio ya JPM? Siyo sisi tuliokuwa tunasifia mabadiliko makubwa kwenye utumishi wa umma?
Lengo letu lakuacha kufanya kwa ufanisi ni ili tuikodishe bandari? Tunanufaikaje hujuma hizi? Kwanini tunapenda kusimama kwamba wenzetu wamehongwa wakati sisi tuliwaaminisha bandari inakwenda vyema?
Kwanini tunamhujumu Rais?
Kwani Magufuli ndo nani mpk tufanye km alivyokuwa yeye!?Hoja iliyopo midomoni mwa watumishi wa serikali na watawala nikutuaminisha kwamba mizigo inacheleweshwa bandarini. Lakini miaka miwili nyuma tulisifia sana ufanisi wa bandari. Je haiwezekani kwamba tuliopo sasa tumeiua bandari?
Magufuli aliwezaje kuwatumia watu hawahawa akapata tija hadi sote tukawa tunaimba mafanikio ya JPM? Siyo sisi tuliokuwa tunasifia mabadiliko makubwa kwenye utumishi wa umma?
Lengo letu lakuacha kufanya kwa ufanisi ni ili tuikodishe bandari? Tunanufaikaje hujuma hizi? Kwanini tunapenda kusimama kwamba wenzetu wamehongwa wakati sisi tuliwaaminisha bandari inakwenda vyema?
Kwanini tunamhujumu Rais?
Fisadi Magufuli.Wewe inaelekea ulikuwa huijui bandari kabla ya Magufuli. Tafuta watu wakueleze bandari ilivyokuwa wakati wa fisadi Kikwete
Yes imeshindwa kudeal nao hasa kipindi cha Ngosha.Kwa hiyo serikali ya CCM imewapa majambazi status ya kuwa above the law, ndio maana inashindwa kuwafunga hata kwa makosa ya uhaini na uhujumu uchumi?
Mbona Samia ameuza wanyamapori wetu kwani kwani sheria inaruhusu? Kwani Wezi na wahujumu uchumi mbona hawa shtakiwi ? Kwani sheria hazipo za kuwashtaki ? Tanzania tatizo uongozi na siyo sheria wala katiba mpya, we unavyo fikiri itungwe sheria Raisi hasiende nje ya nchi bila kualikwa na Rais wa nchi usika unadhani Mama Samia atafata sheria?Uongozi ni kuweka mifumo sio makelele wala matisho. Ukiondoka yote yataishia hapo. Weka mifumo na Sheria ambavyo vitakuwa mwongozo kwa yeyote atakayekuja baada yako.
Uongo wa chawa mkubwaHakukuwa na ufanisi wowote wakati wa Magu. Mizigo ilikuwa inachelewa mno kutoka.. watu walikuwa kama wanaogopana. Mama Samia ndo kaja kuleta unafuu