Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

Unapomuwacha Marehemu Mkapa ukamtunuku Marehumu Magufuli, si unaleta fitina kwenye familia ya CCM
 
KWA LIPI ALILOFANYA, MADARAJA ALIYOJENGA BADO HAYAJAKAMILIKA, BARABARA HATA MOJA BADO HAIJAKAMILIKA, HILO LI-TRENI LA KWENDA MWANZA HALIJAKAMILIKA. ALILOWEZA KUFANYA NI KUIBA FEDHA NA KUPELEKA CHATO KWENYE MIRADI ISIYO NA KICHWA WALA MIGUU.
Kuhusu Barabara nyingi zimekamilika, na vitu ambavyo ziko wazi sababu ndiko tunakopita tukielekea katika ujenzi wa kila siku wa Taifa letu. Na ndio maana hata kwenye uchaguzi wa 2020 wananchi hawakutaka kuumiza sana kichwa kumchagua kwa kishindo sababu kazi iliyofanyika imeonekana.
 
Lina tija gani kwa maisha ya raia maskini sana wa nchi hii?
 
Unapomuwacha Marehemu Mkapa ukamtunuku Marehumu Magufuli, si unaleta fitina kwenye familia ya CCM
Magufuli kafanya mambo makubwa ambayo yalishindwa kufanywa na wengi waliopita either kwa kutokutaka au kutokuamua
 
Wewe kwenu si una baba? Unaonaje huyo Magufuli mumpe hiyo nafasi ya kuwa Baba wa Pili wa Familia!

Tuna mambo mengi ya kufanya kuliko kuanza kumuongelea Kiongozi wa Malaika, kwanza katuchelewesha sana huyo mzee!

Kujenga sgr kakuchelewesha
Kujenga bwawa la umeme kubwa tangu uhuru kakuchelewesha
Kuondoa vyet feki na mafofo kakuchelewesha
Fly over kakuchelewesha
Kubadili dar kakuchelewesha tufafanulie
Au ulitaka kusema kakuwaisha
 
Umeme kila siku ulikuwa unakatika si chini ya mara tano kwa siku hivi ninyi watu ni vipofu eti,umeme unasumbua kila siku wewe unakuja na hoja mfu kuwa umeme hausumbui,kumbe kuwa ccm ni upumbavu nimeamini.

Uwe mkweli !! Mi nimebahatika kuishi awamu mbili zote habar za umeme wa mgao nilsahau kpnd cha magu ebu tuambie uo umeme uliokua unakatka n mkoa gan
 
Umeme na maji kitambo vipo tu, labda kama wewe umeunganisha maji na umeme kipindi chake ndio ukahisi labda kakuletea yeye.

Kafanikiwa kuweka nidhamu ya uoga makazini

Viko wap au tanzania hujui ina mikoa zaid ya 26
 
Kaangalie deni aliloacha, alafu tulikuwa tunadanganywa, ooh pesa za ndani, Rais wa vitu, hafai.
 
Utapingwa na kukashifiwa na waliotumbuliwa na magufuli na wauza madawa ya kulevya, magaidi, wadhulumaji, wavivu, mafisadi, wala rushwa, wapiga madili, watumishi hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…