Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

Habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania.

Tukirejea kwenye mada...Aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna yake na kwa wakati muafaka ambao amekaa madarakani amefanya vitu vingi ambavyo kwa namna moja au nyingine vimeleta mageuzi na mabadiliko makubwa kiuwajibikaji, kiuchumi na kijamii na kuwa chachu kubwa kwa ustawi wa kimaendeleo wa Taifa la Tanzania.

Hakika hakuna asie na makosa, nami nakiri kuna mahali ambako aliyumba lakini bado haiondoi uhalisia na ukweli kuwa alifanya hivyo kwa dhamira kuu ya kutetea na kupigania maslahi mapana ya Taifa letu sema kuna sehemu matokeo hayakuwa chanya japo lengo lake lilikuwa jema.

Tukijaribu kuweka katika mizani yale Mazuri na mabaya, kwa hakika mazuri ni mengi sana na mfumo wa utawala wake umejenga msingi imara kwa viongozi wengi waliopo sasa na watakaokuja baadae.

Inawezekana sio wote, ila wengi wetu ni mashahidi na tumeshuhudia mageuzi makubwa kwenye kuleta mabadiliko ya uwajibikaji serikalini, kuzuia rushwa na udanganyifu, Mfumo usio na upendeleo katika kutoa ajira, ujenzi na uboreshaji wa miundombinu yenye kuleta tija kiuchumi kama Bwawa la Nyerere na Reli ya SGR,Umeme vijijini, Uboreshaji wa huduma za Afya, Ongezeko la ukusanywaji wa kodi, uboreshaji wa mikataba ya madini na gesi na vinginevyo vingi ambayo vimefanikisha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati wa chini mapema tofauti na ilivyotarajiwa.

Kwa hakika umefika wakati wa Hayati John Magufuli kupewa Heshima ya Baba wa pili wa Taifa la Tanzania, baada ya waasisi wa Taifa na Muungano ili kuyaenzi daima yale mema yote aliyoyafanya kwa maslahi mapana ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Na hatotukuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo kwani hata Korea Kaskazini wana Baba wawili wa Taifa, ila yote kwa yote neno langu sio Sheria, ni mawazo yangu tu, hivyo nawasilisha.
Kuna walio anza kampeni ya kutaka kumuongezea muda sijui wameishia wapi hawajatoa mrejesho bado.

Waliokuwa wanamsifia siku zote wamesha anza kufukua madudu, eti ndege zetu zimeendeshwa kwa hasara kwa miaka yote mitano, mara tamisemi wanafanya kama vile sheria haziwahusu, mara tra wameuwa walipa kodi kwa kutumia nguvu kuliko akili.

Wengine mnakuja na hoja kwamba tumpe heshima ya baba wa pili wa taifa.
Kwanza cheo hicho hakipo, labda cheo cha baba mdogo, na cheo hiki kitakuwa cha hayati mzee Karume kutokana na mchango wake. Kilicho baki ni cheo cha baba wa kambo na huyu mzee hakimfai kabisa kwa sababu alisha haribu familia ndio maana shangazi anapigania mshikamano ili kulirudisha taifa kwenye misingi yake.

Kesho utasikia wengine wataleta hoja kwamba tumpe ama tumtangaze kuwa mtakatifu. Na ikija hoja hiyo wasi sahau kutuletea na uthibitisho kwamba tayari ameshakuwa kiongozi wa malaika huko mbinguni ili tujue pa kuanzia.
 
Baba huwa ni mmoja tu...na cheo cha baba wa taifa hupewa mtu aliyeongoza uasisi wa taifa fulani...
 
Habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania.

Tukirejea kwenye mada...Aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna yake na kwa wakati muafaka ambao amekaa madarakani amefanya vitu vingi ambavyo kwa namna moja au nyingine vimeleta mageuzi na mabadiliko makubwa kiuwajibikaji, kiuchumi na kijamii na kuwa chachu kubwa kwa ustawi wa kimaendeleo wa Taifa la Tanzania.

Hakika hakuna asie na makosa, nami nakiri kuna mahali ambako aliyumba lakini bado haiondoi uhalisia na ukweli kuwa alifanya hivyo kwa dhamira kuu ya kutetea na kupigania maslahi mapana ya Taifa letu sema kuna sehemu matokeo hayakuwa chanya japo lengo lake lilikuwa jema.

Tukijaribu kuweka katika mizani yale Mazuri na mabaya, kwa hakika mazuri ni mengi sana na mfumo wa utawala wake umejenga msingi imara kwa viongozi wengi waliopo sasa na watakaokuja baadae.

Inawezekana sio wote, ila wengi wetu ni mashahidi na tumeshuhudia mageuzi makubwa kwenye kuleta mabadiliko ya uwajibikaji serikalini, kuzuia rushwa na udanganyifu, Mfumo usio na upendeleo katika kutoa ajira, ujenzi na uboreshaji wa miundombinu yenye kuleta tija kiuchumi kama Bwawa la Nyerere na Reli ya SGR,Umeme vijijini, Uboreshaji wa huduma za Afya, Ongezeko la ukusanywaji wa kodi, uboreshaji wa mikataba ya madini na gesi na vinginevyo vingi ambayo vimefanikisha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati wa chini mapema tofauti na ilivyotarajiwa.

Kwa hakika umefika wakati wa Hayati John Magufuli kupewa Heshima ya Baba wa pili wa Taifa la Tanzania, baada ya waasisi wa Taifa na Muungano ili kuyaenzi daima yale mema yote aliyoyafanya kwa maslahi mapana ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Na hatotukuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo kwani hata Korea Kaskazini wana Baba wawili wa Taifa, ila yote kwa yote neno langu sio Sheria, ni mawazo yangu tu, hivyo nawasilisha.
Hivi kujipendekeza ni kipaji cha kuzaliwa au mnafundishwa?
 
Unampaje heshima ya ubaba wa Taifa mtu ambae alikuwa anajiandalia mazingira ya KUONGEZEWA muda wa kukaa MADARAKANI atawale nchi hii milele?

Umeshajaribu kuwaza ingekuwa vip nchii hii Kama Mungu asingeingilia Kati na kumchukua?umeshajiuliza hilo...

Vip kuhusu democracy alivyoikanyaga?vp kuhusu uhuru wa vyombo vya habari alivyouminya,vip kuhusu bunge alivyoingilia uhuru wake,vip kuhusu mahakaman alivyoiweka mfukoni?

Vip kuhusu kuwatesa wakosoaji wake mfano tundu lisu na wengine waliopotezwa,

Vip kuhusu wakulima wa korosho Mtwara alivyowadhumu haki zao na kuwatishia kuchapa bakora hadi bibi na babu zao?

Vip kuhusu watumish wa umma kuwanyima stahiki zao za kuwaongezea mishahara na annual incriments zao?

Vip kuhusu wafanya biashara kuwabambikia kodi za hovyo na kuwachukulia pesa zao kwenye mabenki kinguvu??

Just to mention but a few of them,then wewe unataka apewe heshima ya ubaba wa Taifa?

Are you insane?are you running out of your mind??...

Usituletee uchuro wewe,tuache tuendelee kuutafakari ukubwa na utukufu wa mungu muumba wa ulimwengu na kila kilichomo ndani yake katika hizi siku 21 tulizopewa.
 
Kiukweli anamazuri yake lakini sio kwa kiwango mpka afikie kupewa ubaba wa taifa wa pili hapana...mazuri yake kwa muda mfupi huu yapo na nimachache yanahesabika.....Kuna maraisi walifanya vzuri katika nyanja zao fulanifulani kama benjamini mkapa na hata JK na Kuna maeneo walifanya vbya Sana kulingana na huhitaji wa nchi kwa wakati huo...mi naona maraisi wote waliopita hapa tz wameacha alama sawia kabisa
 
giphy.gif
We ndo utakuwa ulimroga na yake majini yako😂😂😂
 
Unampaje heshima ya ubaba wa Taifa mtu ambae alikuwa anajiandalia mazingira ya KUONGEZEWA muda wa kukaa MADARAKANI atawale nchi hii milele?

Umeshajaribu kuwaza ingekuwa vip nchii hii Kama Mungu asingeingilia Kati na kumchukua?umeshajiuliza hilo...

Vip kuhusu democracy alivyoikanyaga?vp kuhusu uhuru wa vyombo vya habari alivyouminya,vip kuhusu bunge alivyoingilia uhuru wake,vip kuhusu mahakaman alivyoiweka mfukoni?

Vip kuhusu kuwatesa wakosoaji wake mfano tundu lisu na wengine waliopotezwa,

Vip kuhusu wakulima wa korosho Mtwara alivyowadhumu haki zao na kuwatishia kuchapa bakora hadi bibi na babu zao?

Vip kuhusu watumish wa umma kuwanyima stahiki zao za kuwaongezea mishahara na annual incriments zao?

Vip kuhusu wafanya biashara kuwabambikia kodi za hovyo na kuwachukulia pesa zao kwenye mabenki kinguvu??

Just to mention but a few of them,then wewe unataka apewe heshima ya ubaba wa Taifa?

Are you insane?are you running out of your mind??...

Usituletee uchuro wewe,tuache tuendelee kuutafakari ukubwa na utukufu wa mungu muumba wa ulimwengu na kila kilichomo ndani yake katika hizi siku 21 tulizopewa.
vitu karibu vyote ulivyoongelea havina uthibitisho wa moja kwa moja zaidi ya maoni ya mtu binafsi, labda issue ya kupandisha mshahara kila mwaka alishalitolea ufafanuzi alipozungumza mei mosi 2019 kuwa lengo lake sio kupandisha mshahara kwa kuongeza elfu tano kama ambavyo ilifanyika huko nyuma bali kuongeza mshahara kweli unaoleta mashiko
 
Habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania.

Tukirejea kwenye mada...Aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna yake na kwa wakati muafaka ambao amekaa madarakani amefanya vitu vingi ambavyo kwa namna moja au nyingine vimeleta mageuzi na mabadiliko makubwa kiuwajibikaji, kiuchumi na kijamii na kuwa chachu kubwa kwa ustawi wa kimaendeleo wa Taifa la Tanzania.

Hakika hakuna asie na makosa, nami nakiri kuna mahali ambako aliyumba lakini bado haiondoi uhalisia na ukweli kuwa alifanya hivyo kwa dhamira kuu ya kutetea na kupigania maslahi mapana ya Taifa letu sema kuna sehemu matokeo hayakuwa chanya japo lengo lake lilikuwa jema.

Tukijaribu kuweka katika mizani yale Mazuri na mabaya, kwa hakika mazuri ni mengi sana na mfumo wa utawala wake umejenga msingi imara kwa viongozi wengi waliopo sasa na watakaokuja baadae.

Inawezekana sio wote, ila wengi wetu ni mashahidi na tumeshuhudia mageuzi makubwa kwenye kuleta mabadiliko ya uwajibikaji serikalini, kuzuia rushwa na udanganyifu, Mfumo usio na upendeleo katika kutoa ajira, ujenzi na uboreshaji wa miundombinu yenye kuleta tija kiuchumi kama Bwawa la Nyerere na Reli ya SGR,Umeme vijijini, Uboreshaji wa huduma za Afya, Ongezeko la ukusanywaji wa kodi, uboreshaji wa mikataba ya madini na gesi na vinginevyo vingi ambayo vimefanikisha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati wa chini mapema tofauti na ilivyotarajiwa.

Kwa hakika umefika wakati wa Hayati John Magufuli kupewa Heshima ya Baba wa pili wa Taifa la Tanzania, baada ya waasisi wa Taifa na Muungano ili kuyaenzi daima yale mema yote aliyoyafanya kwa maslahi mapana ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Na hatotukuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo kwani hata Korea Kaskazini wana Baba wawili wa Taifa, ila yote kwa yote neno langu sio Sheria, ni mawazo yangu tu, hivyo nawasilisha.
Hayati Rais Magufuli anafaa kuwekwa katika Pesa Mpya ya Shilingi Elfu 20 ili kizazi kijacho kipate kujuwa kuwa alikuwa Rais Mzuri aliyetutoa katika uchumi wa chini kuja uchumi wa kati. huo ndio ushauri mzuri kabisa.
 
Hivi ni akili zako au uwendawazimu ndio unakuchanganya?
Magufuli huyuhuyu aliyebariki harakati za uuaji na utekaji au mwingine?
Magufuli huyuhuyu aliyebariki harakati za kuwanyima watumishi wa umna stahiki zao kwa miaka 6?
 
Back
Top Bottom