Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

Habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania.

Tukirejea kwenye mada...Aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna yake na kwa wakati muafaka ambao amekaa madarakani amefanya vitu vingi ambavyo kwa namna moja au nyingine vimeleta mageuzi na mabadiliko makubwa kiuwajibikaji, kiuchumi na kijamii na kuwa chachu kubwa kwa ustawi wa kimaendeleo wa Taifa la Tanzania.

Hakika hakuna asie na makosa, nami nakiri kuna mahali ambako aliyumba lakini bado haiondoi uhalisia na ukweli kuwa alifanya hivyo kwa dhamira kuu ya kutetea na kupigania maslahi mapana ya Taifa letu sema kuna sehemu matokeo hayakuwa chanya japo lengo lake lilikuwa jema.

Tukijaribu kuweka katika mizani yale Mazuri na mabaya, kwa hakika mazuri ni mengi sana na mfumo wa utawala wake umejenga msingi imara kwa viongozi wengi waliopo sasa na watakaokuja baadae.

Inawezekana sio wote, ila wengi wetu ni mashahidi na tumeshuhudia mageuzi makubwa kwenye kuleta mabadiliko ya uwajibikaji serikalini, kuzuia rushwa na udanganyifu, Mfumo usio na upendeleo katika kutoa ajira, ujenzi na uboreshaji wa miundombinu yenye kuleta tija kiuchumi kama Bwawa la Nyerere na Reli ya SGR,Umeme vijijini, Uboreshaji wa huduma za Afya, Ongezeko la ukusanywaji wa kodi, uboreshaji wa mikataba ya madini na gesi na vinginevyo vingi ambayo vimefanikisha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati wa chini mapema tofauti na ilivyotarajiwa.

Kwa hakika umefika wakati wa Hayati John Magufuli kupewa Heshima ya Baba wa pili wa Taifa la Tanzania, baada ya waasisi wa Taifa na Muungano ili kuyaenzi daima yale mema yote aliyoyafanya kwa maslahi mapana ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Na hatotukuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo kwani hata Korea Kaskazini wana Baba wawili wa Taifa, ila yote kwa yote neno langu sio Sheria, ni mawazo yangu tu, hivyo nawasilisha.
Awe baba wa mke wako ba watoto wako usituletee ujinga wako wakisukuma hapa hana la maana alilo fanya akawqzid wenzie zaid ya kupenda kusifiwa na wajinga kana nyie huyo zipite tu hizo 21 tusahau kabisaa na matendo yake ya kishetani
 
Magufuli alitumia siasa za kuwadanganya wanyonge kuwa yeye ni mtetezi wao kama Camoufledge. Kuwaacha wafanya kila kitu bila kufuata sheria na kuumiza wanaooitwa mashetani ili kuwafurahisha wanyonge, kumbe anawaongezea umasikini.
Umesahau kitu kimoja kiongozi...kujinufaisha yeye na genge lake.

Huyo bwana km angejaliwa maisha marefu bila shaka angefia hapo ikulu kwa uzee, ila ndoivo mungu si asumani.

huyu hana tofauti na raisi mmoja wa kule ivory coast akiitwa felix houphout bouny alijenga eapoti na maekalu ya kutisha kijijini kwake yamousukro na kuhamishia makao makuu ya nchi apo kijijini kwake. kanisa kubwa duniani lipo ivory coast tena kwenye icho kijiji cha uyo raisi. mwendazake alikuwa anaelekea huko.
 
Ila ukweli katika serikali mbovu inawezekana ikawa ndiyo hiyo ya huyo mtu,,,
 
Mwendo kasi kajenga yeye?!
Barabara ziko vizuri unamaanisha nini? Kwamba kabla yake barabara hazikuwepo ilikua ni mwendo wa rough roads? Na maji na umeme hahahhaha

Kuna tofauti ya kujenga na kuzindua.
Hongera kwa BWM na JK waliofanya mambo makubwa bila kelele
Teacher naona jiwe alikuvuruga kbsa
 
Baba wa Taifa ni mmoja tu.Mama Tanzania sio mama dangote...
 
Habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania.

Tukirejea kwenye mada...Aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna yake na kwa wakati muafaka ambao amekaa madarakani amefanya vitu vingi ambavyo kwa namna moja au nyingine vimeleta mageuzi na mabadiliko makubwa kiuwajibikaji, kiuchumi na kijamii na kuwa chachu kubwa kwa ustawi wa kimaendeleo wa Taifa la Tanzania.

Hakika hakuna asie na makosa, nami nakiri kuna mahali ambako aliyumba lakini bado haiondoi uhalisia na ukweli kuwa alifanya hivyo kwa dhamira kuu ya kutetea na kupigania maslahi mapana ya Taifa letu sema kuna sehemu matokeo hayakuwa chanya japo lengo lake lilikuwa jema.

Tukijaribu kuweka katika mizani yale Mazuri na mabaya, kwa hakika mazuri ni mengi sana na mfumo wa utawala wake umejenga msingi imara kwa viongozi wengi waliopo sasa na watakaokuja baadae.

Inawezekana sio wote, ila wengi wetu ni mashahidi na tumeshuhudia mageuzi makubwa kwenye kuleta mabadiliko ya uwajibikaji serikalini, kuzuia rushwa na udanganyifu, Mfumo usio na upendeleo katika kutoa ajira, ujenzi na uboreshaji wa miundombinu yenye kuleta tija kiuchumi kama Bwawa la Nyerere na Reli ya SGR,Umeme vijijini, Uboreshaji wa huduma za Afya, Ongezeko la ukusanywaji wa kodi, uboreshaji wa mikataba ya madini na gesi na vinginevyo vingi ambayo vimefanikisha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati wa chini mapema tofauti na ilivyotarajiwa.

Kwa hakika umefika wakati wa Hayati John Magufuli kupewa Heshima ya Baba wa pili wa Taifa la Tanzania, baada ya waasisi wa Taifa na Muungano ili kuyaenzi daima yale mema yote aliyoyafanya kwa maslahi mapana ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Na hatotukuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo kwani hata Korea Kaskazini wana Baba wawili wa Taifa, ila yote kwa yote neno langu sio Sheria, ni mawazo yangu tu, hivyo nawasilisha.
Omera, oyaore, ingima. Baada ya salamu sikubaliani na mawazo yako hayo. Baba wa Taifa ni mmoja tu. Hatuwezi kuwa na Baba wa pili kama unavyowaza. Pengine labda uwaze kuwa na Baba mdogo wa Taifa ingawa hata hilo wazo sitaliafiki.
 
Sio kitu kigeni wala cha ajabu kwani hata Korea kaskazini wana Baba wawili wa Taifa
 
Jiulize kwa nini Nyerere aliitwa Baba wa Taifa. Tanganyika wakati huo ilikuwa chini ya utawala wa kikoloni wa Waingereza. Mwalimu kwa kusaidiana na Watanganyika wengine alipigania Uhuru wa nchi yetu toka makucha ya Ukoloni na hapo likazaliwa Taifa la Tanganyika. Kwa kuheshimu mchango wake kama kiongozi wa juhudi za kuundwa kwa Taifa letu , wananchi wakampa heshima na kumuita Baba wa Taifa la Tanganyika. Heshima hiyo itakuwa kwake tu kwa kumkumbuka juhudi zake.
 
Habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania.

Tukirejea kwenye mada...Aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna yake na kwa wakati muafaka ambao amekaa madarakani amefanya vitu vingi ambavyo kwa namna moja au nyingine vimeleta mageuzi na mabadiliko makubwa kiuwajibikaji, kiuchumi na kijamii na kuwa chachu kubwa kwa ustawi wa kimaendeleo wa Taifa la Tanzania.

Hakika hakuna asie na makosa, nami nakiri kuna mahali ambako aliyumba lakini bado haiondoi uhalisia na ukweli kuwa alifanya hivyo kwa dhamira kuu ya kutetea na kupigania maslahi mapana ya Taifa letu sema kuna sehemu matokeo hayakuwa chanya japo lengo lake lilikuwa jema.

Tukijaribu kuweka katika mizani yale Mazuri na mabaya, kwa hakika mazuri ni mengi sana na mfumo wa utawala wake umejenga msingi imara kwa viongozi wengi waliopo sasa na watakaokuja baadae.

Inawezekana sio wote, ila wengi wetu ni mashahidi na tumeshuhudia mageuzi makubwa kwenye kuleta mabadiliko ya uwajibikaji serikalini, kuzuia rushwa na udanganyifu, Mfumo usio na upendeleo katika kutoa ajira, ujenzi na uboreshaji wa miundombinu yenye kuleta tija kiuchumi kama Bwawa la Nyerere na Reli ya SGR,Umeme vijijini, Uboreshaji wa huduma za Afya, Ongezeko la ukusanywaji wa kodi, uboreshaji wa mikataba ya madini na gesi na vinginevyo vingi ambayo vimefanikisha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati wa chini mapema tofauti na ilivyotarajiwa.

Kwa hakika umefika wakati wa Hayati John Magufuli kupewa Heshima ya Baba wa pili wa Taifa la Tanzania, baada ya waasisi wa Taifa na Muungano ili kuyaenzi daima yale mema yote aliyoyafanya kwa maslahi mapana ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Na hatotukuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo kwani hata Korea Kaskazini wana Baba wawili wa Taifa, ila yote kwa yote neno langu sio Sheria, ni mawazo yangu tu, hivyo nawasilisha.
Baba wa Taifa ni mmoja tu Taifa hili na ni Rais wa Kwanza wa nchi hii. Ikiwapendeza mfanyeni baba wa Kanda ya Ziwa au Sukuma Gang au Chato kabisa. Labda ifanyike kumbukumbu ya Udikteta wake kila eneo. Na hiyo pia hatuhitaji maana itatukumbusha machungu mengi mno. Amefukiwa na mambo yake yote hatuhitaji kumkumbuka. Tunaye Rais sasa na kabla hata 40 haijafika tumeshaanza kuponywa
Mungu ametuletea mkombozi Mh. Rais Samia Suluhu Hassan. Mwacheni afanye kazi tena msimtajetaje mwendazake. Maisha mapya na Rais Mpya. Mungu Ibariki Tanzania ndani na nje ya nchi.
 
Labda huna baba hau hujui maana ya baba. Kwa nini nyerere anaitwa baba wa taifa? Kwa sababu alipigania Uhuru wa nchi hii likazaliwa taifa linaloitwa leo Tanzania. Sasa huyo pombe amezalisha taifa gani?
Aliligawa Taifa kikanda, kikabila, kidini, kichuki, kuua Demokrasia, kuua matajiri na kuzalisha maskini zaidi, kwa wanaompinga sisemili kitu ila majua vizuri. Hivi tumuenzi kwa lipi? Hiyo miradi ni kodi zetu siyo pesa yake na alifanya kwa kuhujumu maeneo mengine kama wafanyabiashara kukamuliwa kwa nguvu na kupelekea biashara kufa na wengine kuhama nchi. Ni ajira ngapi zilipotea kwa Manji, MO, Rostam japo amerudi ila trust ni ndogo, ni wangapi wamekosa kazi kwa mahotel kufa. Yaani hivi watu wanatania siyo Eehhh. Acheni maana legacy imedondoka haraka mno. Hana cha kukumbukwa maana uliyofanya ni kawaida hata watangulizi wake walifanya japo alikuwa anawananga kama vile hawakuwahi kufanya chochote watangulizi wake. Alijifanya Mungu na Mungu akamwambia hafananishwi. He is well serving as the head of Angels or sorry not angels ... ulimi umeteleza.
 
Hili Jambo linamfanya JPM kuwa Raisi wa hovyo , hata wanaomshabikia hawaelewi kitu , Kikwete asifananishwe na Raisi mwingine aisee may be akina Nyerere hao ....changamoto yake hakuwa solid kwenye usimamizi

Kikwete aliajiri kila mwaka , Zaid ya wahitimu 100000 waliajiriwa direct from colleges ..... Barabara zilijengwa , watu waliiba mabillion ya pesa , na wenye juhudi walitajirika, na hakukuwa na Kodi za namna hii kama ya leo .....

JPM tunasmifia Kwa lipi wakuu? Tuwe wakweli , Ajira zipo totally stagnant, mzunguko wa hela mtaani ni terrible , Kodi zipo za kila aina, na deni la Taifa Kwa miaka mitano Tu iliyopita limezidi la kipindi kuanzia Mkapa mpak Kikwete combined together...... wastaaf wanataabika, wafanyakazi hawana hamu, matajiri na wafanya biashara wakubwa na wakati wote walikuwa hawana Amani wengine mpak walifunga biashara , akina dangote sjui hata wako wapi, ...... Hii ina maana hata barabara na miundo mbinu iliyojengwa ni ya mikopo , ...mtu kila sku kujitapa kwenye majukwaa na kutukana wazungu ......

Ukweli ni kuwa hela wanazo wazungu , Sisi huku tunadanganyana na kukamuana huku tukipeana matumaini hewa tuu....Baba amejifungia ndani kufokea wanawe, hamna kitu wakuu.... na hili kikwete alilijua , thus why mwamba alikuwa anaranda randa huku na kule kuleta pesa ....nimeishi nikiwa mtu mzima kwenye tawala zote mbili nachelewa kusema Kikwete ni the best president aiseee..... Ila kama tulilidhika na unyonge na tulitamani tuwe wanyonge forever basi tumsifu huyo JPM Ila Mimi hapana......labda kafanikiwa kuwatia hofu wafanyakazi ....

Alaf unanilazimishaje Mimi niishi nikitaabika Kwa ajili ya Tanzania ya Kesho ? Yaani nife kwenye umaskini Kwa ajili ya Tanzania ya Kesho ?? What a shit.... Tanzania ya Kesho itajengwa na wa kesho let us enjoy today .....
Uko wapi leo tutoke out? Yaani tugonge glass ya wine na nyama choma. Yaani umenena
 
Ni fikra tu na maamuzi, National people's Congress walivyopiga kura kuibadili katiba na kuamua Rais Xi Jinping awe Rais wa Maisha mwaka 2018 na kuondoa ukomo wa mihula miwili ya Urais sio kama hawana viongozi makini wa kuliendesha Taifa hilo bali waliona kazi yake na wakamtofautisha na wengine wengi waliomtangulia (rejea historia ya China) Kwenye nchi yenye idadi ya watu Takribani Bilioni 1.5.

Vivyo hivyo lengo la uzi huu ni kutambua mchango mkubwa wa Hayati Magufuli kwenye Nchi yetu ambayo kwa kipindi kifupi alichokaa ameonesha tofauti kubwa kuzidi wengi waliomtangulia.
Mpeleke China akapewe Huko. Kwanza hili jina lake inabidi lisahaulike haraka mno.
 
Habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania.

Tukirejea kwenye mada...Aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna yake na kwa wakati muafaka ambao amekaa madarakani amefanya vitu vingi ambavyo kwa namna moja au nyingine vimeleta mageuzi na mabadiliko makubwa kiuwajibikaji, kiuchumi na kijamii na kuwa chachu kubwa kwa ustawi wa kimaendeleo wa Taifa la Tanzania.

Hakika hakuna asie na makosa, nami nakiri kuna mahali ambako aliyumba lakini bado haiondoi uhalisia na ukweli kuwa alifanya hivyo kwa dhamira kuu ya kutetea na kupigania maslahi mapana ya Taifa letu sema kuna sehemu matokeo hayakuwa chanya japo lengo lake lilikuwa jema.

Tukijaribu kuweka katika mizani yale Mazuri na mabaya, kwa hakika mazuri ni mengi sana na mfumo wa utawala wake umejenga msingi imara kwa viongozi wengi waliopo sasa na watakaokuja baadae.

Inawezekana sio wote, ila wengi wetu ni mashahidi na tumeshuhudia mageuzi makubwa kwenye kuleta mabadiliko ya uwajibikaji serikalini, kuzuia rushwa na udanganyifu, Mfumo usio na upendeleo katika kutoa ajira, ujenzi na uboreshaji wa miundombinu yenye kuleta tija kiuchumi kama Bwawa la Nyerere na Reli ya SGR,Umeme vijijini, Uboreshaji wa huduma za Afya, Ongezeko la ukusanywaji wa kodi, uboreshaji wa mikataba ya madini na gesi na vinginevyo vingi ambayo vimefanikisha Tanzania kuingia katika uchumi wa kati wa chini mapema tofauti na ilivyotarajiwa.

Kwa hakika umefika wakati wa Hayati John Magufuli kupewa Heshima ya Baba wa pili wa Taifa la Tanzania, baada ya waasisi wa Taifa na Muungano ili kuyaenzi daima yale mema yote aliyoyafanya kwa maslahi mapana ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Na hatotukuwa nchi ya kwanza kufanya hivyo kwani hata Korea Kaskazini wana Baba wawili wa Taifa, ila yote kwa yote neno langu sio Sheria, ni mawazo yangu tu, hivyo nawasilisha.
KWA LIPI ALILOFANYA, MADARAJA ALIYOJENGA BADO HAYAJAKAMILIKA, BARABARA HATA MOJA BADO HAIJAKAMILIKA, HILO LI-TRENI LA KWENDA MWANZA HALIJAKAMILIKA. ALILOWEZA KUFANYA NI KUIBA FEDHA NA KUPELEKA CHATO KWENYE MIRADI ISIYO NA KICHWA WALA MIGUU.
 
Back
Top Bottom