Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

1 Umesahau professor Assad aliondolewa kazini baada ya kufuchua wizi/upotevu was 1.5t.

2 Umesahau kauli zake chafu- laleni na mavi yenu ndani

3 Umesahau ubaguzi wake- vunja nyumba Kimara, Mwanza acha ndio walinipa kura; ukichagua mpinzani sahau maendeleo.

Etc etc.
 
Kwa kipi alichofanya zaidi ya kutuvurugia umoja wa kitaifa pamoja na udikteta uliokubuhu?
Umoja ule wa kucheka na watu wakati mnapiga magendo, ufisadi , ubaadhirifu na wizi juu ya migongo ya watanzania sio!
Vikiondolewa vilivyo wafanya wengine wawe watu zaidi ya watu wengine( jambo ambalo baba wa taifa alipogana nalo na kutufundisha hivyo) , anaeondoa hayo anaonekana kavuriga amani, amani gani ya wengine kujimilikisha mpaka migodi ya taifa!? Watu wanatabasamu za mamba, kumbe wanafurahia wanavyotutafuna taratibu ! Hakuna atakaekuwa kipofu kwenye hii nchi tena, hata kama jamaa kaondoka,
 
Hayo yote uliyoyataja ata mkoloni aliyafanya.

Kinachoangaliwa ni namna alivyowatendea wanadamu wenzake...Magu hana sifa ya ubinadamu.

By the way baba uwa ni mmoja tu ivyo msilazimishe shetani wenu awe baba wa taifa,kama unataka kumuita Magu baba basi kamuozeshe mama yako huo mzoga uliooza akalale nao kaburini.
 
Sawa kabisa
 
Acha kutetea ujinga wewe! Tukisema tulinganishe hasara tuliyopata kipindi cha Kikwete haifiki hata nusu ya hasara tuliyopata kipindi cha magufuli.
Kwanza kipindi cha magufuli maisha yalikuwa magumu sana huku akiwafunga watu midomo wakati yeye na wauaji wenzake kina sabaya wakila na kusaza

Kipindi cha magufuli tumeshuhudia hadi wakimbizi wa kisiasa ambao walijaribu tu kusema ukweli. Wakati magufuli wenu akitudanganya kwamba anajenga nchi kwa pesa za ndani kumbe amekopa hela nyingi kuliko Kikwete aliyetawala kwa miaka 10
 
Pole mjane, muombee Mungu amuepushe na adhabu ya Jehenamu huko alipo.
 

Ukipata like unishtue
 
Unaonaje awe baba wasukuma?
Mkimleta be saanane tutakubali
 
Hapa tungoje tu muda utaongea.
Nimewalilia marais wawili tu JK na Magu baas.
Watu wanambeza hawajui kilichokua nyuma ya pazia ni kwa vizazi vyetu vijavyo.
Tumekua watoto wakiwa tena, linchi linapelekwa kama gari bovu.
Muda si mrefu tunapoteza uelekeo
Then kwaheri.
 
Inatosha
 
Total rubbish and nonsense.
 
Kwakipi tumpe hiyo heshima?
 
Vipi kuhusu umeme,maji ulikuwa unayapata. Ukienda ofisi za serikali ulikuwa unasikilizwa?
Yani mmelishwa ujinga kweli inamana ofisi za serikali walikuwa hawasikilizi ? Hali ingekuwa hivyo unadhan hata huyo mungu mtu wenu angeupata hata huo urais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…