Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

Ukweli ni kwamba, JPM alikuwa CHUMA.
Kwa hivi karibuni sidhani kama kutakuwa na wa kulingana naye.
Yawezekana wakatokea watu wenye chuki binafsi na JPM, lakini ukweli utabaki pale pale kwamba, JPM alikuwa ni KIBOKO kweli kweli.
[emoji120]
 
Mjomba Magu,tumuache apambane na hali yake huko ahera.
KUMCHA MUNGU SIO KILEMBA CHA UKOKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…