Hayati Magufuli angejaliwa subira hakika angekuwa habari nyingine

Kuongoza ni kazi sana, watu walilipwa fidia wakauza kwengine, kama kiongozi utapeleka pesa za walipa Kodi wengine kwa watu waliokaa pale isivyo halali? Lakini pia kwa wale ambao upanuzi uliwafuata ambao walikuwa nje ya mita za road reserve walipewa Chao kihalali
 
Ni kweli kabisa, JPM kwa uzalendo alikuwa vizuri sana.
 
Pole sana mjane
 
Mungu ni mwenye wivu .....ilipitiliza binadamu wakawa wanaabdudu binafamu mwenzake ukuu wa Mungu lazima ujionyeshe ........eti mh mungu wewe dgihaka kubwa hiyo...
Unaamini kiumbe hai kimeumbiwa kifo? JPM kaenda ana miaka 61 wako wanaoenda wakiwa na mikaa 20 tu na waovu wakubwa ndiyo wanafikisha ata miaka 100.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama JPM angekuwa na subira kama ya ngamia he was yet the wrongest possible president. Better that he’s no more.
 
Uzalendo unatoka wapi kwenye hayo mapungufu uliyoyaainisha?
Kwahiyo mzalendo inabdi awe malaika asiwe na doa hata moja,,,, kweli kuna wadau uwezo wa kufikiri unashangaza Sana
 
He found his country in the extreme left; he had to use whatever he could to bring it to balance. Si kazi ya mchezo ile. Aliyesema, ^Mzigo mzito mtwishe M....,^ wala hata hakukosea!!!
 
Alichokosea ni kuua watu wasio na hatia. Mtu kama Tundu Lissu hakufanya kosa la kustahili kupigwa risasi 36 mchana kweupe.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…