Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
NA KAZI IENDELEEEE,,,,,,Tutajua wazuri hawafi au wanakufa pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio ukweliNajaribu kuwaza tu kwa sauti JPM angekuwa bado yupo hali ingekuwaje mpaka sasa.
Kwanza wawekezaji wote wameshakimbilia kenya au kwingineko tofauti na sasa ambako wawekezaji wanatoka kenya kuja hapa.
Nini madhara yake?
Vijana wangekuwa wanaranda randa myaani bila ajira yoyote mana uwekezaji una absorb vijana wengi. Chukulia mfano manji alikuwa ameajiri zaidi ya watu 400 na alipohamia marekani kutokana na kuwa threatened hawa watu wote 400 wakawa redundant na ndoa zikavunjika nyingi tu.
Bank ya efata na efnmb zilikuwa zimeajiri watu zaidi ya 2000 wote wakawa redundant wakaja kuvuta shisha.
Bureu de changes nazo the same stories.
Hakila hii nchi ilipatwa kwa muda.
Mavi!Najaribu kuwaza tu kwa sauti JPM angekuwa bado yupo hali ingekuwaje mpaka sasa.
Kwanza wawekezaji wote wameshakimbilia kenya au kwingineko tofauti na sasa ambako wawekezaji wanatoka kenya kuja hapa.
Nini madhara yake?
Vijana wangekuwa wanaranda randa myaani bila ajira yoyote mana uwekezaji una absorb vijana wengi. Chukulia mfano manji alikuwa ameajiri zaidi ya watu 400 na alipohamia marekani kutokana na kuwa threatened hawa watu wote 400 wakawa redundant na ndoa zikavunjika nyingi tu.
Bank ya efata na efnmb zilikuwa zimeajiri watu zaidi ya 2000 wote wakawa redundant wakaja kuvuta shisha.
Bureu de changes nazo the same stories.
Hakila hii nchi ilipatwa kwa muda.
Ndo maana wazee wa jumba bovu wakaona "yasiwe mengi" 🙌🙌Najaribu kuwaza tu kwa sauti JPM angekuwa bado yupo hali ingekuwaje mpaka sasa.
Kwanza wawekezaji wote wameshakimbilia kenya au kwingineko tofauti na sasa ambako wawekezaji wanatoka kenya kuja hapa.
Nini madhara yake?
Vijana wangekuwa wanaranda randa myaani bila ajira yoyote mana uwekezaji una absorb vijana wengi. Chukulia mfano manji alikuwa ameajiri zaidi ya watu 400 na alipohamia marekani kutokana na kuwa threatened hawa watu wote 400 wakawa redundant na ndoa zikavunjika nyingi tu.
Bank ya efata na efnmb zilikuwa zimeajiri watu zaidi ya 2000 wote wakawa redundant wakaja kuvuta shisha.
Bureu de changes nazo the same stories.
Hakila hii nchi ilipatwa kwa muda.
Siyo sahihi hizo ni hisia zako tu na chuki binafsi sababu huenda miongoni wa watu wako wa karibu waliguswa kwa namna moja au nyingine kwa matukio yaoNajaribu kuwaza tu kwa sauti JPM angekuwa bado yupo hali ingekuwaje mpaka sasa.
Kwanza wawekezaji wote wameshakimbilia kenya au kwingineko tofauti na sasa ambako wawekezaji wanatoka kenya kuja hapa.
Nini madhara yake?
Vijana wangekuwa wanaranda randa myaani bila ajira yoyote mana uwekezaji una absorb vijana wengi. Chukulia mfano manji alikuwa ameajiri zaidi ya watu 400 na alipohamia marekani kutokana na kuwa threatened hawa watu wote 400 wakawa redundant na ndoa zikavunjika nyingi tu.
Bank ya efata na efnmb zilikuwa zimeajiri watu zaidi ya 2000 wote wakawa redundant wakaja kuvuta shisha.
Bureu de changes nazo the same stories.
Hakila hii nchi ilipatwa kwa muda.
Nimradi upi aliouanzisha JPM ambao haukuwa kwenye PLANNING since awamu ya tatu? Mnapoongea muwe mnaelewa mambo ya uendeshaji nchi yanavyokwenda, hao wengine kuanzia JK, JPM na Samia sasa hivi ni watekelezaji na hata mh Samia kuna mingine ataiacha itatekelezwa na ajaye. JK kila siku anajaribu kuelezea plannings za uwekezaji nchii hii zikoje na hapo mwanzo kwanini zote haikuwezekana kuzianzisha bali moja au mbili kila baada ya muda fulaniBado mnashindana na aliyekufa. Waulize wanaotaka kuogombea chaguzi 2025 kampain watatutumia Hoja zipi kama sio miradi aliyoianza JPM?
Kiongozi wa ovyo wa muda wote Tanzania.Najaribu kuwaza tu kwa sauti JPM angekuwa bado yupo hali ingekuwaje mpaka sasa.
Kwanza wawekezaji wote wameshakimbilia kenya au kwingineko tofauti na sasa ambako wawekezaji wanatoka kenya kuja hapa.
Nini madhara yake?
Vijana wangekuwa wanaranda randa myaani bila ajira yoyote mana uwekezaji una absorb vijana wengi. Chukulia mfano manji alikuwa ameajiri zaidi ya watu 400 na alipohamia marekani kutokana na kuwa threatened hawa watu wote 400 wakawa redundant na ndoa zikavunjika nyingi tu.
Bank ya efata na efnmb zilikuwa zimeajiri watu zaidi ya 2000 wote wakawa redundant wakaja kuvuta shisha.
Bureu de changes nazo the same stories.
Hakila hii nchi ilipatwa kwa muda.
Planning huwa inaanzia bungenj siyo rais kujipuyangia tu yeye kama yeyeNimradi upi aliouanzisha JPM ambao haukuwa kwenye PLANNING since awamu ya tatu? Mnapoongea muwe mnaelewa mambo ya uendeshaji nchi yanavyokwenda, hao wengine kuanzia JK, JPM na Samia sasa hivi ni watekelezaji na hata mh Samia kuna mingine ataiacha itatekelezwa na ajaye. JK kila siku anajaribu kuelezea plannings za uwekezaji nchii hii zikoje na hapo mwanzo kwanini zote haikuwezekana kuzianzisha bali moja au mbili kila baada ya muda fulani