Hayati Magufuli angekuwa bado ni Rais wawekezaji wangekuwa wameshakimbia wote

Huo ndio ukweli
 
Mavi!
 
Ndo maana wazee wa jumba bovu wakaona "yasiwe mengi" πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Siyo sahihi hizo ni hisia zako tu na chuki binafsi sababu huenda miongoni wa watu wako wa karibu waliguswa kwa namna moja au nyingine kwa matukio yao
 
Bado mnashindana na aliyekufa. Waulize wanaotaka kuogombea chaguzi 2025 kampain watatutumia Hoja zipi kama sio miradi aliyoianza JPM?
Nimradi upi aliouanzisha JPM ambao haukuwa kwenye PLANNING since awamu ya tatu? Mnapoongea muwe mnaelewa mambo ya uendeshaji nchi yanavyokwenda, hao wengine kuanzia JK, JPM na Samia sasa hivi ni watekelezaji na hata mh Samia kuna mingine ataiacha itatekelezwa na ajaye. JK kila siku anajaribu kuelezea plannings za uwekezaji nchii hii zikoje na hapo mwanzo kwanini zote haikuwezekana kuzianzisha bali moja au mbili kila baada ya muda fulani
 
Hakuna jamii inayoweza kuendelea duniani pasipo uwekezaji ni either umruhusu mwenye uwezo aweke pesa yake alafu mgawane faida au wewe mwenyewe kama una uwezo uweke pesa yako ili uikombe faida yote. Sasa tuje kwenye uhalisia unapofukuza wawekezaji je una fedha ya kuendesha miradi yenye tija katika jamii yako?
 
Kiongozi wa ovyo wa muda wote Tanzania.
 
Planning huwa inaanzia bungenj siyo rais kujipuyangia tu yeye kama yeye
 
Magufuli yuko kama trump angenyanyua uchumi na wengi wangenufaika hasa watanzania weusi asilia. Wakati wa mgufuli wengi ndio walijua mo wa simba ana utapeli mwingi ndani yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…