Hayati Magufuli bado anawanyima usingizi wapinzani wa Tanzania

Upinzani unapata shida sana mpaka sasa kupambana na legacy yake. Jpm ndio aliwapoteza upinzani kwa wananchi kwa kupiga kazi. Sasa hivi wako bize kumchafua ila wapi...
Anayepigania "regase" ni majinga kama weye mccm!Nani apiganie upumbavu wake?😝😝😝😝😝
 
Hata shetani ana wafuasi ni nature

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Wapinzani hawapambani na John mtoto wa Magufuli ila wanapamba na raisi wa awamu ya tano ili watawala wengine wasije kufanya Yale ambayo kwao waliona hayakua mazuri.. Ni jambo la kawaida kwene siasa na ulimwengu wa utawala... Hata Burundi nkurunzinza kafariki lakini warundi hasa waliokuwa wapinzani huendelea kuongelea utawala wake, hiyo ni jambo la kawaida Dunian kote once ikishika nafasi ya umma hata ufe people will still talk about your regime.... Hamna binadamu anaeogopa mtu aliekufa hiyo haipo labda kama anamatatizo yake ya akili[emoji23]..
 
RIP THE BEST EVER PRESIDENT OF JMT, MUNGU ALIMTUMA KUFANYA KAZI MAALUM YA KUWEKA MIFANO KISHA AKAMUITA AKAMPE KAZI NYINGINE YA UTUKUFU MBINGUNI....
I miss my President soo much...
Kwa kweli jiwe katupa ccm ujasiri wa kutumia polisi vizuri, kikwete alisambaza maandamano kwa majiwasha lkn chuma kilisambaza maandamano kwa risasi za Moto, tunawasubiri waingie road wakione Cha Moto.
 
Kwa kweli jiwe katupa ccm ujasiri wa kutumia polisi vizuri, kikwete alisambaza maandamano kwa majiwasha lkn chuma kilisambaza maandamano kwa risasi za Moto, tunawasubiri waingie road wakione Cha Moto.
Hata kwenda chooni alikuwa analindwa na 'battalion'
 
Anawanyima usingizi nyie MATAGA ambao kwa upande mmoja mmegoma kabisa kuamini kuwa Mwendazake amefariki, na upande mwingine mnaendelea na ndoto za alinacha kuwa "ataendelea kuwa hai kupitia the so-called legacy yake."

Tatizo la nyie wahuni, "kila baya" lahusu WAPINZANI. Mfarakano kuhusu Magufuli upo ndani ya CCM, lakini haiwazuwii ninyi kugeuza kuwa suala hilo limebebwa na WAPINZANI.

Bottom line is, MTAPATA SHIDA SANA unless you come to terms with the reality kuwa Mwendazake is gone.... forever.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…