Hayati Magufuli bado anawanyima usingizi wapinzani wa Tanzania

ukitaka kuifuta legacy ya jpm kaa kimya,usimsema vibaya Wala kumchafua...hapo utafaulu,ila ukifanya kinyume ndo kwanza unaipa nguvu iendelee kung'ara!!! kila mtz aliona kwa macho yake kazi alizofanya Sasa unaanzaje kuwadanganya watu wakuelewe!!??
 
Wapinzani gani? Si mmesema mmeua upinzani? Ukishaona MTU anajiita XXX huwezi kutegemea aongee kitu cha maana
 
Wapinzani gani? Si mmesema mmeua upinzani? Ukishaona MTU anajiita XXX huwezi kutegemea aongee kitu cha maana
Magufuli ndio kiboko ya wapinzani nchi hii ilo lipo wazi.
 
Kuna vitu umeongea nilikuwa nataka kuviongea lkn nilikuwa nashindwa jinsi ya kuviongea.
 
NILEETENI GWAJIMAAAA X3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…