Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote tunajua alikuwa dictator uchwara kuelekeza dictator kamili wewe unakuja na swaga zako za kula mihogo asubuhi. Punguza kula mihogo mana siyo mizuru kwa afya yakoView attachment 2862194
Magufuli hakuwa Dikteta kama baadhi ya wananchi walivyokuwa wakimlaani
Alikuwa akichukizwa na watu vigeugeu au wasaliti
Alitaka akiagiza tufanye kazi basi tufanye wote sio wengine waende kinyume
Na jambo jema ni kuwa maagizo yake yalikuwa ya kuleta maendeleo
Tatizo la Watanzania 80% ni vigeugeu na wasaliti waliokubuhu
Mnakubaliana jambo wote lakini wote wanasaliti na kwenda kinyume ndio maana Tanzania inasuasua sana kwenye maendeleo
Tatizo hili ndilo lililomchukiza Mh Magufuli na alipokuwa mkali wakaanza kumlaani
Hata Shetani aliacha razi kwa Wanadamu akasema ninyi wanadamu mnanitukana kila siku na kumsifia Mungu wakati amewaandalia moto wa kuwachoma
Mnanitukana kwasababu mpo hai ila mtakapokufa mtatumbukia kwenye moto wa milele aliowaandalia
Siku zenu za kuchomwa moto wake ndipo mtamlaani kuwa ni katili na mtajuta sana mkilia na kulaani kuwa anawakatili
Wakurugenzi mpinzani akishinda eneo lako huna kazi... uchaguzi umepita, tufanye kazi hakuna mikutano mpaka miaka 5 ipite....Spika watoe nje wapinzani, wakijua huku nje nawashughulikia...Mhimili ni mmoja tu uliojichimba chini, Hawa wengine( mahakama na bunge) wanangoja kupakuliwa kilichoiva jikoni...Hapana, utakapokumbana na watu vigeugeu na wasaliti na ukachukua hatua ndipo utaitwa dikteta
Hii nchi kila siku itakuwa ikitamani nchi zilizoendelea kwasababu ya kuwasaliti viongozi wanaojielewaKatika nchi iliyojaa uozo wa maadili,wizi na uhuni,hiyo nchi ni ngumu kwa kiongozi anayejitambua.Katika nchi ambayo kuna kikundi cha watu ambacho kina nguvu kubwa kuliko Serikali,hiyo nchi ngumu sana kwa kiongozi anayejitambua.Katika nchi ambayo vijana wengi wameshughulishwa na kamari,pool table,Simba, Yanga,Man U,Real Madrid,fb,istagram n.k hiyo nchi ni ngumu sana kwa kiongozi anayejitambua.
Nchi ya malaika (mashetani) huko kuzimu.Rais wa nchi gani?
Watanzania gani walikubaliana nini? wapi? kwa namna gani?Tatizo la Watanzania 80% ni vigeugeu na wasaliti waliokubuhu
Mnakubaliana jambo wote lakini wote wanasaliti na kwenda kinyume ndio maana Tanzania inasuasua sana kwenye maendeleo
Kwahiyo Lissu alikuwa ni kigeugeu?View attachment 2862194
Magufuli hakuwa Dikteta kama baadhi ya wananchi walivyokuwa wakimlaani
Alikuwa akichukizwa na watu vigeugeu au wasaliti
Alitaka akiagiza tufanye kazi basi tufanye wote sio wengine waende kinyume
Na jambo jema ni kuwa maagizo yake yalikuwa ya kuleta maendeleo
Tatizo la Watanzania 80% ni vigeugeu na wasaliti waliokubuhu
Mnakubaliana jambo wote lakini wote wanasaliti na kwenda kinyume ndio maana Tanzania inasuasua sana kwenye maendeleo
Tatizo hili ndilo lililomchukiza Mh Magufuli na alipokuwa mkali wakaanza kumlaani
Hata Shetani aliacha razi kwa Wanadamu akasema ninyi wanadamu mnanitukana kila siku na kumsifia Mungu wakati amewaandalia moto wa kuwachoma
Mnanitukana kwasababu mpo hai ila mtakapokufa mtatumbukia kwenye moto wa milele aliowaandalia
Siku zenu za kuchomwa moto wake ndipo mtamlaani kuwa ni katili na mtajuta sana mkilia na kulaani kuwa anawakatili
Sema mzee wakoHuchoki tu?
Mwacheni apumzike huyu mzee
Kwann unamuwekea maneno mdomoni marehemu, yeye mwenyewe aliwahi kutamka kuwa sio dikteta?
Mkubwa sana unamlinganisha na nani?Yule ni raisi mkubwa sana kamwe hawezi kuacha kuzungumziwa
Ushamkimbiza jukwaaniRais wa nchi gani?
Tanzania hatujawahi kuwa na RaisiAlikuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Tanzania hatujawahi kuwa na kiongozi wa cheo cha RaisiRaisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mimi ni aina ya wa watu mfano wa JPM ila wengine Tupo mbali na siasa...View attachment 2862194
Magufuli hakuwa Dikteta kama baadhi ya wananchi walivyokuwa wakimlaani
Alikuwa akichukizwa na watu vigeugeu au wasaliti
Alitaka akiagiza tufanye kazi basi tufanye wote sio wengine waende kinyume
Na jambo jema ni kuwa maagizo yake yalikuwa ya kuleta maendeleo
Tatizo la Watanzania 80% ni vigeugeu na wasaliti waliokubuhu
Mnakubaliana jambo wote lakini wote wanasaliti na kwenda kinyume ndio maana Tanzania inasuasua sana kwenye maendeleo
Tatizo hili ndilo lililomchukiza Mh Magufuli na alipokuwa mkali wakaanza kumlaani
Hata Shetani aliacha razi kwa Wanadamu akasema ninyi wanadamu mnanitukana kila siku na kumsifia Mungu wakati amewaandalia moto wa kuwachoma
Mnanitukana kwasababu mpo hai ila mtakapokufa mtatumbukia kwenye moto wa milele aliowaandalia
Siku zenu za kuchomwa moto wake ndipo mtamlaani kuwa ni katili na mtajuta sana mkilia na kulaani kuwa anawakatili
Huyu tuliokuwa naye haweiz kukemia hata nzi ndo maana kila kitu mambo hayaendi miradi kila siku visingizio kila kona akija kiongozi akaachana na mambo ya mchakato tunaona shida.. lakin tukuenda kwa nchi za wenzetu tunataman miji yao ilovyopangiliwaMimi ni aina ya wa watu mfano wa JPM ila wengine Tupo mbali na siasa...