Hayati Magufuli kama alikuwa anapambana na ufisadi, kwa nini asingefanya kama huyu shujaa?

Ila jamaa alikuwa msanii aisee
Na wabongo wanapenda hivyo, na ni waoga haswa
Kweli mkawaogopa wajeda na mafagio
Jamaa aliwaelewa vizuri sana
 
Magufuli tulikuwa tunaimbishwa kuwa ni kipenzi cha wanyonge na kiboko ya mafisadi,
Lakini hakuna fisadi yoyote aliyefumfunga zaidi ya kuwajengea mahekalu Kikwete, Mwinyi, Mkapa, kuteua wake na watoto wao kuwa viongozi, Kama vile mama Salma mbunge, mtoto wa Mkapa kuwa Katibu mkuu, mtoto wa Pinda kuwa Waziri, mtoto wa Mwinyi kuwa Rais, watoto wa Kabudi nafasi Simbachawene kuwa mabalozi na wengine wengi

Rais wa Angola Joaò Lourenco ambaye anatoka kwenye chama tawala cha muda mrefu cha MPLA amemfilisi mtoto wa mtangulizi wake Isabella do Santos, mtoto wa Rais wa kwanza wa Angola Eduardo Do Santos

Isabella alikuwa ndio mwanamke tajiri zaidi Afrika akiwa na utajiri wa haliwezi dola bilioni 2 sawa na trilioni tano alioupata kipindi cha baba yake kwa ufisadi

View attachment 2849468
An Angolan billionaire who has been described as Africa's richest woman has lost a High Court battle to stop her assets being frozen.
Isabel dos Santos, the daughter of a former president, is being sued by telecoms firm Unitel.
The Angolan company is seeking damages of $733m (£580m) arising from financial decisions taken by Ms Dos Santos during her time as a director of the firm.
Ms Dos Santos says the case is a political vendetta.
Yale yalikuwa sanaa kama Kaole sanaa group tu.
 
Ukiachana na hii asset freezing ya sasa hivi Mali zake nyingi zlishakamatwa, hisa zake nyingi kwenye makampuni zimechukuliwa na serikali
Na kama huelewi hiyo freezing ni kuw hatua ya mwanzo kuelekea kutaifishwa
Na hii ndio ingeogopesha mafisadi woote. Lakini ndani ya Ccm nani wakumfunga Paka Kengele?
 
Alijaribu kufanya mkasema hana chuki na matajiri,mlifika hadi kuwatetea hakina Lugemaria na kusema fedha alizokuwa hakigawa zilikuwa zakwakwe wakati Zimetokana na zao la utapeli kwa mjibu wa Lissu na Zitto, ukisikiliza michango yao bungeni wakati wa mjadara wa IPTL, Magufuli hata aliowakamata kwa kuhujumu nchi wamekuja kuachiwa na Samia eti anataka kuponya nchi,na ndio Sasahivi wanaanza kusumbua nchi maana wanataka kurudisha walichopoteza wakati wa Magufuli.
Mafisadi wakubwa ndani ya nchi yanajulikana maana yamejazana ndani ya CCM yake ambaye yeye ndo alikuwa anaiongoza, sasa tuambie ni kada gani ambaye alipandishwa mahakamani kwa ufisadi?
Hao akina makonda siwametajirikia chini ya utawala wake?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli tulikuwa tunaimbishwa kuwa ni kipenzi cha wanyonge na kiboko ya mafisadi,
Lakini hakuna fisadi yoyote aliyefumfunga zaidi ya kuwajengea mahekalu Kikwete, Mwinyi, Mkapa, kuteua wake na watoto wao kuwa viongozi, Kama vile mama Salma mbunge, mtoto wa Mkapa kuwa Katibu mkuu, mtoto wa Pinda kuwa Waziri, mtoto wa Mwinyi kuwa Rais, watoto wa Kabudi nafasi Simbachawene kuwa mabalozi na wengine wengi

Rais wa Angola Joaò Lourenco ambaye anatoka kwenye chama tawala cha muda mrefu cha MPLA amemfilisi mtoto wa mtangulizi wake Isabella do Santos, mtoto wa Rais wa kwanza wa Angola Eduardo Do Santos

Isabella alikuwa ndio mwanamke tajiri zaidi Afrika akiwa na utajiri wa haliwezi dola bilioni 2 sawa na trilioni tano alioupata kipindi cha baba yake kwa ufisadi

View attachment 2849468
An Angolan billionaire who has been described as Africa's richest woman has lost a High Court battle to stop her assets being frozen.
Isabel dos Santos, the daughter of a former president, is being sued by telecoms firm Unitel.
The Angolan company is seeking damages of $733m (£580m) arising from financial decisions taken by Ms Dos Santos during her time as a director of the firm.
Ms Dos Santos says the case is a political vendetta.
Ulichoandika ni tofauti na hicho chqnzo ulichokiweka kujengea hoja yako.

Kingereza kinakupiga chenga au wajinga ndiyo waliwao?
 
Alijaribu kufanya mkasema hana chuki na matajiri,mlifika hadi kuwatetea hakina Lugemaria na kusema fedha alizokuwa hakigawa zilikuwa zakwakwe wakati Zimetokana na zao la utapeli kwa mjibu wa Lissu na Zitto, ukisikiliza michango yao bungeni wakati wa mjadara wa IPTL, Magufuli hata aliowakamata kwa kuhujumu nchi wamekuja kuachiwa na Samia eti anataka kuponya nchi,na ndio Sasahivi wanaanza kusumbua nchi maana wanataka kurudisha walichopoteza wakati wa Magufuli.
Sasa akina Rugemalira walikuwa pekee yao au kulikua na vigogo wa serikali na chama nyuma yao? Alimgusa hata mmoja?
Ukitoka hapa ukaandike na vile viloba pia habari za sethi na luge!
Ile plea bargain iliyoenda China?
 
Tokea kifo cha Kanumba, Tz hapakuwahi kuwa na muigizaji mzuri mpaka pale jiwe alipoingia mjengoni.
Nilikuwa napenda sana pale serikali yake inapotengeneza tatizo afu baadae anatokea na kutatua tatzo hilo wakati wametengeneza wenyewe
 
Sasa akina Rugemalira walikuwa pekee yao au kulikua na vigogo wa serikali na chama nyuma yao? Alimgusa hata mmoja?

Ile plea bargain iliyoenda China?
China?

Aliyekamatwa na kufungwa juu ya hili nitajie..!
 
Mafisadi wakubwa ndani ya nchi yanajulikana maana yamejazana ndani ya CCM yake ambaye yeye ndo alikuwa anaiongoza, sasa tuambie ni kada gani ambaye alipandishwa mahakamani kwa ufisadi?
Hao akina makonda siwametajirikia chini ya utawala wake?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Chadema mlimpinga Sana eti haki za binadamu au mumesahau pimbi nyie
 
Ww ni mpumbavu kwa hiyo sheria za nchi zinatekelezwa kwa maagizo ya chadema.

Alafu mafisadi wamejazana ndani ya ccm akiwemo akina Makonda ambaye alikuwa mtoto pendwa wa jiwe.

Back
Top Bottom