Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kwa kula mahindi ya kuchoma jukwani amaTokea kifo cha Kanumba, Tz hapakuwahi kuwa na muigizaji mzuri mpaka pale jiwe alipoingia mjengoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kula mahindi ya kuchoma jukwani amaTokea kifo cha Kanumba, Tz hapakuwahi kuwa na muigizaji mzuri mpaka pale jiwe alipoingia mjengoni.
Yale yalikuwa sanaa kama Kaole sanaa group tu.Magufuli tulikuwa tunaimbishwa kuwa ni kipenzi cha wanyonge na kiboko ya mafisadi,
Lakini hakuna fisadi yoyote aliyefumfunga zaidi ya kuwajengea mahekalu Kikwete, Mwinyi, Mkapa, kuteua wake na watoto wao kuwa viongozi, Kama vile mama Salma mbunge, mtoto wa Mkapa kuwa Katibu mkuu, mtoto wa Pinda kuwa Waziri, mtoto wa Mwinyi kuwa Rais, watoto wa Kabudi nafasi Simbachawene kuwa mabalozi na wengine wengi
Rais wa Angola Joaò Lourenco ambaye anatoka kwenye chama tawala cha muda mrefu cha MPLA amemfilisi mtoto wa mtangulizi wake Isabella do Santos, mtoto wa Rais wa kwanza wa Angola Eduardo Do Santos
Isabella alikuwa ndio mwanamke tajiri zaidi Afrika akiwa na utajiri wa haliwezi dola bilioni 2 sawa na trilioni tano alioupata kipindi cha baba yake kwa ufisadi
View attachment 2849468
An Angolan billionaire who has been described as Africa's richest woman has lost a High Court battle to stop her assets being frozen.
Isabel dos Santos, the daughter of a former president, is being sued by telecoms firm Unitel.
The Angolan company is seeking damages of $733m (£580m) arising from financial decisions taken by Ms Dos Santos during her time as a director of the firm.
Ms Dos Santos says the case is a political vendetta.
Na hii ndio ingeogopesha mafisadi woote. Lakini ndani ya Ccm nani wakumfunga Paka Kengele?Ukiachana na hii asset freezing ya sasa hivi Mali zake nyingi zlishakamatwa, hisa zake nyingi kwenye makampuni zimechukuliwa na serikali
Na kama huelewi hiyo freezing ni kuw hatua ya mwanzo kuelekea kutaifishwa
Asante kama na wewe umeliona hiloAmemfilisi au mahakama imemfilisi.
Push upsKwa kula mahindi ya kuchoma jukwani ama
Mafisadi wakubwa ndani ya nchi yanajulikana maana yamejazana ndani ya CCM yake ambaye yeye ndo alikuwa anaiongoza, sasa tuambie ni kada gani ambaye alipandishwa mahakamani kwa ufisadi?Alijaribu kufanya mkasema hana chuki na matajiri,mlifika hadi kuwatetea hakina Lugemaria na kusema fedha alizokuwa hakigawa zilikuwa zakwakwe wakati Zimetokana na zao la utapeli kwa mjibu wa Lissu na Zitto, ukisikiliza michango yao bungeni wakati wa mjadara wa IPTL, Magufuli hata aliowakamata kwa kuhujumu nchi wamekuja kuachiwa na Samia eti anataka kuponya nchi,na ndio Sasahivi wanaanza kusumbua nchi maana wanataka kurudisha walichopoteza wakati wa Magufuli.
Ukitoka hapa ukaandike na vile viloba pia habari za sethi na luge!Wafuasi wa jiwe wanapita huu uzi kama hawauoni vile...😂😂😂
Ulichoandika ni tofauti na hicho chqnzo ulichokiweka kujengea hoja yako.Magufuli tulikuwa tunaimbishwa kuwa ni kipenzi cha wanyonge na kiboko ya mafisadi,
Lakini hakuna fisadi yoyote aliyefumfunga zaidi ya kuwajengea mahekalu Kikwete, Mwinyi, Mkapa, kuteua wake na watoto wao kuwa viongozi, Kama vile mama Salma mbunge, mtoto wa Mkapa kuwa Katibu mkuu, mtoto wa Pinda kuwa Waziri, mtoto wa Mwinyi kuwa Rais, watoto wa Kabudi nafasi Simbachawene kuwa mabalozi na wengine wengi
Rais wa Angola Joaò Lourenco ambaye anatoka kwenye chama tawala cha muda mrefu cha MPLA amemfilisi mtoto wa mtangulizi wake Isabella do Santos, mtoto wa Rais wa kwanza wa Angola Eduardo Do Santos
Isabella alikuwa ndio mwanamke tajiri zaidi Afrika akiwa na utajiri wa haliwezi dola bilioni 2 sawa na trilioni tano alioupata kipindi cha baba yake kwa ufisadi
View attachment 2849468
An Angolan billionaire who has been described as Africa's richest woman has lost a High Court battle to stop her assets being frozen.
Isabel dos Santos, the daughter of a former president, is being sued by telecoms firm Unitel.
The Angolan company is seeking damages of $733m (£580m) arising from financial decisions taken by Ms Dos Santos during her time as a director of the firm.
Ms Dos Santos says the case is a political vendetta.
Sasa akina Rugemalira walikuwa pekee yao au kulikua na vigogo wa serikali na chama nyuma yao? Alimgusa hata mmoja?Alijaribu kufanya mkasema hana chuki na matajiri,mlifika hadi kuwatetea hakina Lugemaria na kusema fedha alizokuwa hakigawa zilikuwa zakwakwe wakati Zimetokana na zao la utapeli kwa mjibu wa Lissu na Zitto, ukisikiliza michango yao bungeni wakati wa mjadara wa IPTL, Magufuli hata aliowakamata kwa kuhujumu nchi wamekuja kuachiwa na Samia eti anataka kuponya nchi,na ndio Sasahivi wanaanza kusumbua nchi maana wanataka kurudisha walichopoteza wakati wa Magufuli.
Ile plea bargain iliyoenda China?Ukitoka hapa ukaandike na vile viloba pia habari za sethi na luge!
Ndio kinanipiga chenga Labda Kiarabu, lugha ya peponiUlichoandika ni tofauti na hicho chqnzo ulichokiweka kujengea hoja yako.
Kingereza kinakupiga chenga au wajinga ndiyo waliwao?
Nilikuwa napenda sana pale serikali yake inapotengeneza tatizo afu baadae anatokea na kutatua tatzo hilo wakati wametengeneza wenyeweTokea kifo cha Kanumba, Tz hapakuwahi kuwa na muigizaji mzuri mpaka pale jiwe alipoingia mjengoni.
China?Sasa akina Rugemalira walikuwa pekee yao au kulikua na vigogo wa serikali na chama nyuma yao? Alimgusa hata mmoja?
Ile plea bargain iliyoenda China?
Aisee aliwachota jamaaPush ups
Chadema si ndiyo mlianza kumpinga Kwamba anavunja haki za binadamu mara Sijui MIGA... Wajinga Sana nyieAmepelekwa mahakamani na serikali, serikali ingeamua kumlinda mahakama isingeweza
Chadema mlimpinga Sana eti haki za binadamu au mumesahau pimbi nyieMafisadi wakubwa ndani ya nchi yanajulikana maana yamejazana ndani ya CCM yake ambaye yeye ndo alikuwa anaiongoza, sasa tuambie ni kada gani ambaye alipandishwa mahakamani kwa ufisadi?
Hao akina makonda siwametajirikia chini ya utawala wake?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ww ni mpumbavu kwa hiyo sheria za nchi zinatekelezwa kwa maagizo ya chadema.Chadema mlimpinga Sana eti haki za binadamu au mumesahau pimbi nyie
Ndio maigizo yenyewe sasaChina?
Aliyekamatwa na kufungwa juu ya hili nitajie..!
Kwa hiyo alikuwa akiwaogopa Chadema?Chadema si ndiyo mlianza kumpinga Kwamba anavunja haki za binadamu mara Sijui MIGA... Wajinga Sana nyie