Hayati Magufuli kama alikuwa anapambana na ufisadi, kwa nini asingefanya kama huyu shujaa?

Ila jamaa alikuwa msanii aisee
Na wabongo wanapenda hivyo, na ni waoga haswa
Kweli mkawaogopa wajeda na mafagio
Jamaa aliwaelewa vizuri sana
 
Yale yalikuwa sanaa kama Kaole sanaa group tu.
 
Ukiachana na hii asset freezing ya sasa hivi Mali zake nyingi zlishakamatwa, hisa zake nyingi kwenye makampuni zimechukuliwa na serikali
Na kama huelewi hiyo freezing ni kuw hatua ya mwanzo kuelekea kutaifishwa
Na hii ndio ingeogopesha mafisadi woote. Lakini ndani ya Ccm nani wakumfunga Paka Kengele?
 
Mafisadi wakubwa ndani ya nchi yanajulikana maana yamejazana ndani ya CCM yake ambaye yeye ndo alikuwa anaiongoza, sasa tuambie ni kada gani ambaye alipandishwa mahakamani kwa ufisadi?
Hao akina makonda siwametajirikia chini ya utawala wake?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ulichoandika ni tofauti na hicho chqnzo ulichokiweka kujengea hoja yako.

Kingereza kinakupiga chenga au wajinga ndiyo waliwao?
 
Sasa akina Rugemalira walikuwa pekee yao au kulikua na vigogo wa serikali na chama nyuma yao? Alimgusa hata mmoja?
Ukitoka hapa ukaandike na vile viloba pia habari za sethi na luge!
Ile plea bargain iliyoenda China?
 
Ulichoandika ni tofauti na hicho chqnzo ulichokiweka kujengea hoja yako.

Kingereza kinakupiga chenga au wajinga ndiyo waliwao?
Ndio kinanipiga chenga Labda Kiarabu, lugha ya peponi
 
Tokea kifo cha Kanumba, Tz hapakuwahi kuwa na muigizaji mzuri mpaka pale jiwe alipoingia mjengoni.
Nilikuwa napenda sana pale serikali yake inapotengeneza tatizo afu baadae anatokea na kutatua tatzo hilo wakati wametengeneza wenyewe
 
Sasa akina Rugemalira walikuwa pekee yao au kulikua na vigogo wa serikali na chama nyuma yao? Alimgusa hata mmoja?

Ile plea bargain iliyoenda China?
China?

Aliyekamatwa na kufungwa juu ya hili nitajie..!
 
Chadema mlimpinga Sana eti haki za binadamu au mumesahau pimbi nyie
 
Chadema mlimpinga Sana eti haki za binadamu au mumesahau pimbi nyie
Ww ni mpumbavu kwa hiyo sheria za nchi zinatekelezwa kwa maagizo ya chadema.

Alafu mafisadi wamejazana ndani ya ccm akiwemo akina Makonda ambaye alikuwa mtoto pendwa wa jiwe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…