Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna njia nyingi za kumuua paka , sasa katika kuwa shughulikia fisadi au mafisadi kuna njia nyingi, mfano alivyo banwa Habinder Singh aliyetumika , wafaidikaji walifaidika na huo mradi, au unapenda kulopoka lopoka Tu, bila kujua njia za kuwa baini na kuwachukulia hatua, kulikuwa na issue ya Sio, Kitilya, na Nancy, walivyo banwa , je wanufaika waliokuwa serikali au Wana siasa walifaidika na hivyo vitu, , kuhusu Escrow, Ile ilichukuliwa lini, na fedha zake mgawanyo wake ulikuwaje, na unajua Magufuli amekaa miaka mingapi madarakani na aliondokaje, au ulitaka ajikite Tu Kwa mafisadi asishughulike na vitu vingine ambavyo Kwa muda mfupi tunaviona na sio kuhadithiwa. Na je unajua hizo za Escrow zilizotoka Stanbic zilitokaje na Nani wahusika na mrolongo wa kuzipata hizo pesa, na wakati huo huo kuna watu Wana kinga za kisheria.Kumbe hakuna? Maana wafuasi wa Magufuli ndio hawa hawa nawasikia wakilalamika kuwa Kikwete na familia yake ni mafisadi, Riziwani ni tajiri wa kutisha, mara Makamba n.k
Ufisadi kama ule wa Escrow kama kuna wafanyibiashara walihusika basi nyuma yao lazima kuwe na wanasiasa, lakini hakuna mwanasiasa hata mmoja aliyechukuliwa hatua
Vyeti feki banaMagufuli alikuwa baba la mafisadi, aliwapumbaza wapumbavu wa nchi hii. Lilikuwa libaguzi lile lihutu
Mpeni UraisMwambie mbowe afanye
Wafuasi wa Magufuli ndio mnataja serikali ya Kikwete na CCM imejaa mafisadi, sasa mbona Magufuli hakuweza kumfunga fisadi hata mmoja wa serikali ya Kikwete? Au kutoka hata CCM?Kuna njia nyingi za kumuua paka , sasa katika kuwa shughulikia fisadi au mafisadi kuna njia nyingi, mfano alivyo banwa Habinder Singh aliyetumika , wafaidikaji walifaidika na huo mradi, au unapenda kulopoka lopoka Tu, bila kujua njia za kuwa baini na kuwachukulia hatua, kulikuwa na issue ya Sio, Kitilya, na Nancy, walivyo banwa , je wanufaika waliokuwa serikali au Wana siasa walifaidika na hivyo vitu, , kuhusu Escrow, Ile ilichukuliwa lini, na fedha zake mgawanyo wake ulikuwaje, na unajua Magufuli amekaa miaka mingapi madarakani na aliondokaje, au ulitaka ajikite Tu Kwa mafisadi asishughulike na vitu vingine ambavyo Kwa muda mfupi tunaviona na sio kuhadithiwa. Na je unajua hizo za Escrow zilizotoka Stanbic zilitokaje na Nani wahusika na mrolongo wa kuzipata hizo pesa, na wakati huo huo kuna watu Wana kinga za kisheria.
Ume mzungumzia Rizwani, je yeye anakampuni ya kuweza kufisadi nchi ?? Au unazungumza tu, Kwa kuwa una Haki ya kuandika hapa. Au kuna mahali alipata tenda ya kujenga au kuleta bidhaa au kutoa huduma. Cha kuambia ongeza na akili zako.