Hayati Magufuli kama kuna mabaya yake tumwachie, mazuri yake twende nayo

Hayati Magufuli kama kuna mabaya yake tumwachie, mazuri yake twende nayo

Ni mabaya tu maana Hana lolote zuri
Hayo sie hayatuhusu ni ya kwake yeye na Mungu wake kama ilivyo mazuri yako wewe ni kwa faida yako, sie tunamzungumzia katika nafasi ya uongozi.
 
Hakuwa na sifa ya uongozi. Alikuwa ni Nduli na dikteta
Alikuwa mtu sahihi kwa wakati sahih kwa nchi husika, yazingatie hayo ili uelewe kwanini watu wanamkumbuka Magufuli pamoja na kuwa hakuwa na sifa za uongozi na ni dikteta maana wengi mnashindwa kuelewa kwanini watu wamkumbuke ili hali nyie mnamchukia na kumuelezea kwa kila aina ya ubaya.
 
Back
Top Bottom