Alikuwa mtu sahihi kwa wakati sahih kwa nchi husika, yazingatie hayo ili uelewe kwanini watu wanamkumbuka Magufuli pamoja na kuwa hakuwa na sifa za uongozi na ni dikteta maana wengi mnashindwa kuelewa kwanini watu wamkumbuke ili hali nyie mnamchukia na kumuelezea kwa kila aina ya ubaya.