Hayati Magufuli katika ubora wake enzi zake

Hayati Magufuli katika ubora wake enzi zake

Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
Sawa, damu itamwagika safari hii ikibidi tukiwa tunamuweka tena kiongozi shupavu wa calibre ya Rais Magufuli. Hatuwezi kukubali hata kwa namna gani kuacha wahuni wachache waturudishe alikotutoa.
 
Sawa, damu itamwagika safari hii ikibidi tukiwa tunamuweka tena kiongozi shupavu wa calibre ya Rais Magufuli. Hatuwezi kukubali hata kwa namna gani kuacha wahuni wachache waturudishe alikotutoa.

Ni lazima tumfukue atuambie 1.5t alipeleka wapi.
 
Utuombee huko uliko baba JPM. Ama kweli tunakukumbuka, siku ya pili baba sijaoga, shida ya maji.
 
Marehemu mapungufu yake makubwa ni kushidwa kabisa ku handle pressure za kisiasa, ikafikia hatua akaanza kuchukulia personal; akaanza ku deal na watu individually kwa kutumia mamlaka yake.. watu waliumia sana sana.

Angeweza ku balance siasa, angekuwa ni kiongozi mzuri mno; ila duh hata legacy kuandika watu wamekata tamaa, haiandikiki.
Alikuwa mzuri sana kwenye kuamua, alikuwa anafanya maamuzi haraka sana. Yawe mabaya au mazuri sijui,ila aliyachukua haraka sana. Sasa jichanganye upinge maamuzi yake.
 
View attachment 2399491

Ukweli usemwe Hayati Magufuli alifanya mengi kwa kadri mwenyezi Mungu alivyomjalia.

Vilevile, yapo aliyoweza kuyatatua kwa u haraka na ama yalikoma au yalipunguka kwa kiwango kikubwa.

R.I.P JPM.
Suzy, asante kutukumbusha, kuna maneno bonaadamu ukiyasema, unakuwa umeumba, mfano sadaka ni kitu cha Mungu!, mtu ukitamka umejitoa sadaka, Mungu anakuwa hana options bali kujitwallia sadaka yake.

RIP JPM
P
 
View attachment 2399491

Ukweli usemwe Hayati Magufuli alifanya mengi kwa kadri mwenyezi Mungu alivyomjalia.

Vilevile, yapo aliyoweza kuyatatua kwa u haraka na ama yalikoma au yalipunguka kwa kiwango kikubwa.

R.I.P JPM.

Kuna siku tutadharauliwa sana na vitukuu wetu kwa kushindwa kumlinda huyu mzee. Hii ilikua almasi mchangani ila wengi hatukuistukia
 
R.I.P JPM.

You were the real front liner in this Nation kwa wakati wako.

You were the real soldier in battle field kwa wakati wako.

-Kaveli-
 
Alikuwa mzuri sana kwenye kuamua, alikuwa anafanya maamuzi haraka sana. Yawe mabaya au mazuri sijui,ila aliyachukua haraka sana. Sasa jichanganye upinge maamuzi yake.

Kwenye kutake action JPM was faster.

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom