Marahaba haujambo weye..🤣Sijambo,, shikamoo mzee
Hao lazima walie sana bila yy wasingepata ubungeKesho bunge la JMT litapata fursa ya kumuaga hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania ambaye pia ni sehemu ya bunge.
Shughuli za kuaga zitafanyikia kwenye viwanja vya bunge.
Wabunge wengi wameonyesha hudhuni kubwa akiwemo mbunge wa Morogoro kusini babu Tale ambaye aliahidiwa kujengewa barabara za jimboni kwake na mwendazake.
Maendeleo hayana vyama!
Ushawaita waswahili kwa hiyo achana nao.Mungu ampe pumziko la milele...
Kuna waswahili baadhi wanadai watu wamekodishwa Uhuru + kulia
Hili limekaaje?
Wabunge wengi wamefurahiKesho bunge la JMT litapata fursa ya kumuaga hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania ambaye pia ni sehemu ya bunge.