Hayati Magufuli miongoni mwa viongozi bora kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania

KUNA WAFANYA BIASHARA WENGI WALINEEMEKA KWA RUSHWA AWAMU YA NNE.
AWAMU YA TANO WALIJUA NI VILEVILE, HAWA NDIO WANASAMBAZA PROPAGANDA HIZI.
KATIKA HAO, MO, MENGI, BARESA WALIFANYIWA HIVYO?
Kama aliichukia rushwa kwa vitendo kwanini sheria ya PCCB inayoipa mamka ndogo ya kushtaki hakuibadilisha?
kumpeleka mwanajeshi haikuwa suluhisho maana hata yeye aliletewa rushwa kwenye MAKAPU
 
Naweka Kumbukumbu Sawa mkuu,
Angalau na mimi nilibahatika kuona uongozi uliotukuka.
Pamoja mkuu, yawezekana kwako alikuwa shujaa ila kwa Watanzania wengi alikuwa mtu mbaya sana. Ni mtizamo tu kwani watu mpaka walifunga kumwomba Mungu awaepushie hilo balaa
 
Uko sahihi, lakini kuua raia wako kisa wanakukosoa siyo sahihi hata kidogo
 
Aliwauwa wewe ulimuona? Mbona hukutoa ushahidi akiwa hai? Staki kujua nani alifanya kwa wakati ule niliumia ila baada ya kujua upuuzi wao, ndipo nilipojua uongozi ni mgumu.

Mtetezi anapokuwa rafiki wa siri wa wanyonya nchi ndo utajua hujui.
Jiwe alikuwa mwizi, muuaji na muongo sana
 
Uwehu kitu mbaya Sana
 
Uko sahihi kabisa na huu ndio ubora wake πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-125637.png
    175.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220719-125655.png
    49.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220520-171316.jpg
    154.2 KB · Views: 4
  • 1650491737485.png
    69.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220416-175354_Chrome.jpg
    100 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220415-140726_1.jpg
    61 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220415-072852.jpg
    158.8 KB · Views: 4
  • 2022030133155.jpg
    95.5 KB · Views: 4
Sidhani kama Jiwe anastahili hata kuitwa hayati
BASI SHUJAA WETU NI HUYU
 
Pamoja mkuu, yawezekana kwako alikuwa shujaa ila kwa Watanzania wengi alikuwa mtu mbaya sana. Ni mtizamo tu kwani watu mpaka walifunga kumwomba Mungu awaepushie hilo balaa

As I said earlier, huwezi mfurahisha kila mtu, alikuwa mbaya kwa wachache Katika wingi wao. Majority of minority.
But Overall anakunalika kwa walio wengi.
 
Jiwe alikuwa mwizi, muuaji na muongo sana

Mkuu, hebu tuwe specific
Njoo na madai yenye facts ,
Kwamba alimuua fulani na fulani na fulani kwa idadi hii,
Aliiba so and so and so
Alidanganya hiki na hiki na hiki.
Kwa kufanya hivyo unakuwa unatuaminisha kuwa hutumii hisia.
 
Unaitambuaje hoja?Kwa kuipenda ulivyokusudia au ilivyokukera ulivyochukia?Tafakari,jikune kalio!

I mean hakuna facts kwenye maandishi yako. Sasa nitafakari nini ? Usiwe mpumbavu, andika maandishi yenye facts and we challenge each other. How will I challenge empty words ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…