Hayati Magufuli miongoni mwa viongozi bora kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania

Nasifu msimamo wake kuhusu korona tu,Mengine aliboronga sana,alijenga miundombinu kwa kukopa sana kwenye mashirika ya fedha na dhuruma hapa ndani,hakuna Cha upekee katika hili,alikuwa jambazi tu,
Mkapa,alijenga TRA,alikuza uchumi,aliweka miundombinu ya kukusanya mapato,
Jiwe qliyedanganya kuhusu tilioni 360!!
Alikuwa mwizi tu
 

Amekopa kwenye mashirika yapi!
 
Sijaona mtandao unaomchukia Magu kama huu 86% humu ndani hawamkubali

Ni wachache sana, Hawafiki hata 5%, they are always available to troll. Some are paid for that job na wana multiple accounts.
 

Better ukope ufanye kitu kinaonekana, kuliko kutokopa kabisa, au kukopa halafu usifanyie chochote.
 
I mean hakuna facts kwenye maandishi yako. Sasa nitafakari nini ? Usiwe mpumbavu, andika maandishi yenye facts and we challenge each other. How will I challenge empty words ?
Kuna mtu amekukataza kuandika hizo facts zako?Andika usomwe.Mabinti msioridhika mna shida sana!
 
@Execute the sunk coast fallacy Mnaitwa hapa[emoji1][emoji1]
 
Mk
Mkuu, hebu tuwe specific
Njoo na madai yenye facts ,
Kwamba alimuua fulani na fulani na fulani kwa idadi hii,
Aliiba so and so and so
Alidanganya hiki na hiki na hiki.
Kwa kufanya hivyo unakuwa unatuaminisha kuwa hutumii hisia.

Mkuu, hebu tuwe specific
Njoo na madai yenye facts ,
Kwamba alimuua fulani na fulani na fulani kwa idadi hii,
Aliiba so and so and so
Alidanganya hiki na hiki na hiki.
Kwa kufanya hivyo unakuwa unatuaminisha kuwa hutumii hisia.
Mkuu kama ulikuwa nchini kipindi chake na bado unauliza alimuua nani, je mimi ntakupa ushahidi upi ili uelewe? Unless useme hukuwa Tanzania kipindi cha utawala wa giza
 
Acha uzwaza na unyonge, amini kuwa una akili timamu
 
As I said earlier, huwezi mfurahisha kila mtu, alikuwa mbaya kwa wachache Katika wingi wao. Majority of minority.
But Overall anakunalika kwa walio wengi.
Ukiona unakubaliwa na wajinga jua na wewe ni mjinga
 
Tukienda hivyo nami nitakuletea countless mentions za watu wenye akili wakimzungumzia in a positive way,
Copy?? supermarket shelf talker?
Mkuu mtaje mtu mmoja mwenye akili anayemzungumzia positively Jiwe
 
Mkuu mtaje mtu mmoja mwenye akili anayemzungumzia positively Jiwe

Hapo ndio sasa wengi huwa mnakosea,
Mkuu natumaini walau ulipita madarasani,, mambo mengine sihitaji kukufundisha, you need to have that intelligence.. but atleast you need a free mind, free of emotions.

Nenda kwenye mtandao wowote, YouTube, Twitter au fb, search neno president Magufuli, fungua Habari yoyote inayomhusu JPM from whatever source, local au international halafu soma comments kisha urudi hapa na mrejesho. Nimekuwekea baadhi toka YouTube but you can search more at your convenience. Siku zote ukitaka kujua kama unakubalika pata feedback toka kwa watu, usijupe feedback mwenyewe..





 
Mk



Mkuu kama ulikuwa nchini kipindi chake na bado unauliza alimuua nani, je mimi ntakupa ushahidi upi ili uelewe? Unless useme hukuwa Tanzania kipindi cha utawala wa giza

Sasa kama huna ushahidi huoni kama zinabaki kuwa ni stories tu za vijiwe vya kahawa?
 


What matters is; of those people how many love you, ni idadi ndio inayoangaliwa kujua unapendwa sana na watu au laa, kumbuka hata Adokf Hitler naye alipendwa, Amini naye alipendwa, Firauni (pharaoh) naye pia alipendwa sasa itakuaje Magu naye akose wapenzi??!!
 
Nimekwambia taja mtu mmoja tu mwenye akili anayemwongelea Jiwe positively wewe unaweka link za YouTube. Kwenye hizi link sijaona mtu yeyote mwenye akili akimwongelea Jiwe. Ina maana hakuna mtu yoyote wa mfano hata mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…