Hayati Magufuli miongoni mwa viongozi bora kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania

Nimekwambia taja mtu mmoja tu mwenye akili anayemwongelea Jiwe positively wewe unaweka link za YouTube. Kwenye hizi link sijaona mtu yeyote mwenye akili akimwongelea Jiwe. Ina maana hakuna mtu yoyote wa mfano hata mmoja?

Hahaha. Wewe ni mwehu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
well explained, wale vyeti fake na wenye mimba hawawezi kukuelewa
 
leo ningekuwa nalipwa 1.3mil ila nipo kwenye 6k kwaajili ya yule shetani.
 
leo ningekuwa nalipwa 1.3mil ila nipo kwenye 6k kwaajili ya yule shetani.

Mpaka hapo ni wazi Wewe ndio unayakosea maisha yako, Wake up ndugu, umelala usingizi wa porno. Life will pass you by if you don’t open up you eyes.
Kuna watu wana degree moja, wameajiriwa private sector hii bongo, wanavuta home 15m take home monthly salary, Wewe umekaa hapo na 600k unalaumu marehemu. I pity you. Utapoteza sana muda. 600k wenzio wanajaza mafuta kwenye gari.
 
Ht barabara ya buhongwa siku nyingi ingelikua njia 3 kwakweliiii tumepatwaaa
 
Kumbuka hata Jiwe alikuwa anajiona ni mzima na ana akili timamu, so siyo ishu wewe kujiona ni mzima pia. Naheshimu mawazo yako pia
Kwamba na wewe unajihisi una akili, maajabu Haya. Anyways, ni maoni yako [emoji3], nayaheshimu
 
Kumbuka hata Jiwe alikuwa anajiona ni mzima na ana akili timamu, so siyo ishu wewe kujiona ni mzima pia. Naheshimu mawazo yako pia

Hakika mkuu,
Lakini tukiweka kumbukumbu Sawa pengine tutafute nini tafsiri ya Akili,
Reference ni Jiwe:
Jiwe ni mtu mwenye mafanikio, amekuwa waziri kwa zaidi ya miaka 20,
Tangu wakati wa Mkapa, Kikwete na hadi akawa Rais,
Na kama sio kifo angekuwa ni Rais hadi sasa, hayo ni mafanikio ambayo sote tunafahamu fika Wewe kwenye ukoo wenu wote ni ndoto ya mchana akatokea mtu kufikia hata kwa Roo,
Swali ni je, kitu gani kinakufanya uhoji akili za jiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…