Soma kitabu hicho. Alikuwa anasema yye ni dola hata msipotaka mtamfanya nn jpmHow!
nadhani kuna mambo mengi ambayo yamewafanya wananchi kulisusia bunge.moja ni kwa sababu bunge hilo halitokani na ridhaa ya wananchi,pili bunge kutojadili mambo yanayowakera wananchi katika majimbo yao,na ni mpaka hapo bunge litakapotokana na ridhaa ya wananchi ndipo wananchi hao watakaporudisha matumaini ya kuliangalia live.Miaka ya 2010 hadi 2015 bunge la JMT lilikuwa ni kivutio cha wananchi kulitazama.
Mara baada ya kuingia madarakani kwa utawala wa awamu ya tano wakalivuruga bunge.
Kitendo cha kufunga bunge lisionyeshwe live ilikuwa ni pigo kubwa na ugonjwa mkubwa uliowafanya wananchi kulipuuza hilo bunge.
Na hata baada ya kuruhusu bunge lionyeshwe live bado watu wameendelea kulisusia kulitazama.
Hakika kwa hili Jiwe na Nape mnalo jambo la kuwajibu wananchi kwanini mliamua kutufanyia uhuni huo.
Kipindi kile kama kawaida walikuwa wanafanya kazi ya kumtukuza na kumkubalia mteuzi wao.Hata leo amejikuta mwenyewe hakuna mwenye kutaka msikiliza,lakini alivyofanya awamu ile hakujua mambo yatamgeukia,na ataona atauhitaji tena uhuru wa habari [emoji23]
PamojaAsante sana mkuu kwa kunifumbua macho
Naunga mkono hoja yako mkuu nadhani sasa ni muda muafaka kwa wananchi kujaribu tena bila kuchoka kufanya maamuzi yao 2025.nadhani kuna mambo mengi ambayo yamewafanya wananchi kulisusia bunge.moja ni kwa sababu bunge hilo halitokani na ridhaa ya wananchi,pili bunge kutojadili mambo yanayowakera wananchi katika majimbo yao,na ni mpaka hapo bunge litakapotokana na ridhaa ya wananchi ndipo wananchi hao watakaporudisha matumaini ya kuliangalia live.