Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Polepole yuko sahihi kwa kiasi fulani. Magufuli alifanya kosa la kuangamiza wazalendo wa kweli na kuwaacha vibaraka waliokuwa wamejivika kwenye ngozi ya kumsifia.Ndio maana kila siku tunashuhudia maajabu ya upigaji dili maana kumbe bado kuna wahuni kibao bado wapo.
Inawezekana wakatusumbua sana kama taifa hatutakabiliana na wahuni ambao, wanatishia watu maisha, hawalipi kodi, wanazua madili ya kuliibia taifa letu kila kukicha, wanadhulumu wananchi wanyonge.
Lugha iliyotumika ni wazi walikuwa wanasalimia ardhi kila wakiahighulikiwa.Ndio maana kila siku tunashuhudia maajabu ya upigaji dili maana kumbe bado kuna wahuni kibao bado wapo.
Inawezekana wakatusumbua sana kama taifa hatutakabiliana na wahuni ambao, wanatishia watu maisha, hawalipi kodi, wanazua madili ya kuliibia taifa letu kila kukicha, wanadhulumu wananchi wanyonge.
Yeye mwenyewe alikuwa mwizi na mpiga dili ndio maana alitumia cheo chake kuhonga mahawara zake nyumba za serikali wakati hawakuwa na sifa wala vigezo, alifanya ufisadi mkubwa katika manunuzi ya boti iliyokusudiwa kufanya safari zake kati ya bagamoyo na dar,akiwa rais aliamuru kutekelezwa kwa miradi mingi bila kuzingatia sheria ya manunuzi na pia akiwa rais ndiyo zilipotea pesa nyingi kupita ufisadi mwingine wowote uliowahi kufanywa toka nchi ipate uhuru kwani zaidi ya trilioni moja na nusu ziliyayuka kimiujiza,kwa ujumla lilikuwa jizi lilokubuhu.Ndio maana kila siku tunashuhudia maajabu ya upigaji dili maana kumbe bado kuna wahuni kibao bado wapo.
Inawezekana wakatusumbua sana kama taifa hatutakabiliana na wahuni ambao, wanatishia watu maisha, hawalipi kodi, wanazua madili ya kuliibia taifa letu kila kukicha, wanadhulumu wananchi wanyonge.
Tajiri mkubwa kama Mo anatekwa na hakuna jitihada zilizofanyika kukamata hao watekaji
Haya hiyo kama haitoshi, watekaji wamekuja kumuachia Mo upenuni mwa ikulu, sasa wahuni ambao walikuwa na confidence ya kufanya uhuni hadi kenye vibaraza vya ikulu utasemaje kwamba awamu ya 5 ilitokomeza uhuni?
Acha misinterpretations.Lugha iliyotumika ni wazi walikuwa wanasalimia ardhi kila wakiahighulikiwa.
Ogopa sana pale serikali inapokuona wewe ni mhuni
Kweli wale Wazalendo walioharibu Flow meter bandarini,waliokuwa wanalipa mishahara hewa kwa watu waliokufa na kujaza account zao,waliokuwa wanabeba pesa kwenye viroba na kuita vihela vya mboga,waliojaza ndugu zao kazini kwa vyeti vya kufoji huku vijana wenye first class wakisota mitaani.Polepole yuko sahihi kwa kiasi fulani. Magufuli alifanya kosa la kuangamiza wazalendo wa kweli na kuwaacha vibaraka waliokuwa wamejivika kwenye ngozi ya kumsifia.
Kweli awamu ya 5 haikutokomeza wahuni, maana Kama Dr.Ulimboka aling'olewa meno na wasiojulikana,na hawakuwahi kujuli kana.Tajiri mkubwa kama Mo anatekwa na hakuna jitihada zilizofanyika kukamata hao watekaji
Haya hiyo kama haitoshi, watekaji wamekuja kumuachia Mo upenuni mwa ikulu, sasa wahuni ambao walikuwa na confidence ya kufanya uhuni hadi kenye vibaraza vya ikulu utasemaje kwamba awamu ya 5 ilitokomeza uhuni?
Huyu Nyoka wa makengeza ndo waliomuwezesha mzee wa Msoga kutinga Ikulu, alikuwa haguswi.Wahuni na Wapigaji kina Nyoka makengeza, Msoga Family, Home Shopping Centre now GSM, Papa Rostum Ziz, Gabacholi NJIMA and the like kosa kubwa kuwaweka karibu na Raslimali za Taifa tutakuja kuambulia mabua.
Sikatai kuwa aliwashughulikia baadhi. Kosa alilofanya ni kuwakumbatia wengi.Kweli wale Wazalendo walioharibu Flow meter bandarini,waliokuwa wanalipa mishahara hewa kwa watu waliokufa na kujaza account zao,waliokuwa wanabeba pesa kwenye viroba na kuita vihela vya mboga,waliojaza ndugu zao kazini kwa vyeti vya kufoji huku vijana wenye first class wakisota mitaani.
Pragialism, umekopi kwa Polepole au wewe ndiye PolepoleNdio maana kila siku tunashuhudia maajabu ya upigaji dili maana kumbe bado kuna wahuni kibao bado wapo.
Inawezekana wakatusumbua sana kama taifa hatutakabiliana na wahuni ambao, wanatishia watu maisha, hawalipi kodi, wanazua madili ya kuliibia taifa letu kila kukicha, wanadhulumu wananchi wanyonge.
Mfano Nani Kama aliwatumbua hata sukumagang wenzake akina Kangi,Chenge nk.Sikatai kuwa aliwashughulikia baadhi. Kosa alilofanya ni kuwakumbatia wengi.